⚡MUZIKI-BUKAVU MSANI BABU JOHNSON ATAJA IDADI YA WASANII AMBAO ANA WAKUBALI KIMZIKI TARAFANI !

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • Babu Johnson, moja kati ya wasanii wanao faa vizuri katika sekta ya Mziki Tarafani Fizi ( Baraka ) ame tangaza kufanya colabo naye msanii mwenzake Afande Redy, mwana Hip Hop piya.
    Katika interview yake na wahandisi wa habari wa BENOIT ONE TV, msanii Babu Johnson ame lahumu hatua mbaya ya viongozi wa inchi ambao wana tumia maslia yao binafsi kuliko matakwa ya raiya walio wachagua.
    Kwengineko, bwana AK Malùba Mùmbùka ame fikia atua ya kutaja idadi ya wasanii ambao ana wakubali kimziki katika tarafa la Fizi na jiji la Baraka.

ความคิดเห็น • 5

  • @EsaoheraniLebon
    @EsaoheraniLebon 3 วันที่ผ่านมา

    Ongera sana Kaka tv yangu hata piya kwa mwana mziki wa tarafa la fizi John son

  • @RoonywabyakePro
    @RoonywabyakePro 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MronenainoceGeromekiregeza
    @MronenainoceGeromekiregeza 14 วันที่ผ่านมา

    Ok❤❤❤❤😢😢😢

  • @padridramaboy110
    @padridramaboy110 2 หลายเดือนก่อน

    Big up sana Maloba mùbùka

  • @Omari-rt1yo
    @Omari-rt1yo 2 หลายเดือนก่อน

    Maloba mwanaramu