UNDANI AJALI ya NDEGE 'FUNGA MWAKA' - JEJU AIR- NI YA WATU WA KIPATO CHA CHINI- YAUA 179 kati ya 181

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 30

  • @gaagwasaugustino2584
    @gaagwasaugustino2584 2 วันที่ผ่านมา +2

    Poleni Ndugu zetu mliyopata ajali,poleni wafiwa, Mungu azilaze roho za Marehemu mahali pema, AMENI.

  • @mamakayla6697
    @mamakayla6697 2 วันที่ผ่านมา +2

    Oooh! Yesu wangu,Baba Mungu tusamehe makosa yetu yote.

  • @Khamishamadhamic
    @Khamishamadhamic 2 วันที่ผ่านมา +2

    Muungu tupe mwisho mwema amiin

  • @GiftMwandosya-uf7pf
    @GiftMwandosya-uf7pf 2 วันที่ผ่านมา +1

    Poleni sana ndugu,jamaa na marafiki MUNGU awatie nguvu katika janga hili la ajali

  • @Rashidmchopa
    @Rashidmchopa 2 วันที่ผ่านมา +1

    Wapumzike kwa aman....Mungu atulinde kwa kweli

  • @ChausikuAli
    @ChausikuAli 2 วันที่ผ่านมา +3

    Ewe mola wetu tusaidie sisi ambao tuko kwenye nchi za watu tukirud makwetu turudi salama inshallah

    • @abdullatifhassan9399
      @abdullatifhassan9399 2 วันที่ผ่านมา +1

      Ameen yaa rabb

    • @rukkysayid6613
      @rukkysayid6613 2 วันที่ผ่านมา +1

      Allahummah Ameen Ya'arabb maana mpaka unaogopa M.Mungu atulinde InshaAllah 😢😢

  • @NdookiJacob
    @NdookiJacob 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kweli Ajali Ya Ndege Mwaka huu Imezidi Inaitaji Uchunguzi kikamilivu na Safari ya Ndege Waistopshe kwanza

  • @MosesMzakwe
    @MosesMzakwe 2 วันที่ผ่านมา +1

    poleeeee Yao. ila Jeju wake na Tanzania kutoa huduma

  • @mahabaclassictwentyseven27mjeu
    @mahabaclassictwentyseven27mjeu 2 วันที่ผ่านมา +2

    😢😢😢 hadi kurudi nyumbn naogopa kwakwel

  • @HGvv-bh1ig
    @HGvv-bh1ig 2 วันที่ผ่านมา +1

    Allah atujalie mwsho mwema kwakweli

  • @ellyjacob9897
    @ellyjacob9897 2 วันที่ผ่านมา +1

    Tulijua hizi ajali ni huku barabaran tu loooh 😢

  • @ElisabethKenny-u4j
    @ElisabethKenny-u4j 2 วันที่ผ่านมา +1

    Ingekuwa Tanzania watu wangeanza kulaumu serikali, ajali hutokea kila sehemu

  • @AgiripinaNisiphory
    @AgiripinaNisiphory 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hata barabarani tunamalizika ila waja wanasema ni uzembe wa madereva ni kipindi tu cha ibilisi jamani

  • @ErickMacha-sb2ot
    @ErickMacha-sb2ot 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hakika Ee MUNGU uturehemu

  • @ElizabethNyabu-q1x
    @ElizabethNyabu-q1x 2 วันที่ผ่านมา +2

    Dah Mungu tusaidie maana ukitaka kurud nyumban unawaza tena

  • @pendokiliopa4924
    @pendokiliopa4924 2 วันที่ผ่านมา +1

    Necta

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mmmh dunia imeisha zaman ningum kusikia ajali zandege ila huu mwaka too much

  • @remigiuswilla881
    @remigiuswilla881 2 วันที่ผ่านมา

    Wapumzike kwa amani

  • @MiwagoTz
    @MiwagoTz 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hii ni ajari nyingine?jamani kulikoni angani huko

  • @maryammaryamm9548
    @maryammaryamm9548 2 วันที่ผ่านมา +1

    Innallillah waina lillah rajiun

  • @IsmailJuma-zb5ni
    @IsmailJuma-zb5ni 2 วันที่ผ่านมา +1

    Innalillah wainna ilayh rajiuun

  • @JeniferMsafiri
    @JeniferMsafiri 2 วันที่ผ่านมา +1

    2:17

  • @MohammedBwanga
    @MohammedBwanga 2 วันที่ผ่านมา +3

    Tuisubiri black box lkn km mm naona maringi ya hii ndege hayajatoka.

    • @husenahusena2660
      @husenahusena2660 2 วันที่ผ่านมา

      Subhanallah wabihamdih subhanallah llaadhiim ❤❤❤