Allah atujaalie kila la kheir katika maisha yetu. Awalaze pema penye wema na awarehemu wote waliotangulia mbele ya haki. Yaani hii darsa ni ya kitambo but kila kilichongelewa hapo ndio kinadhihirika wakati kama huu. Betting imetajwa kama bingo zamani keo jina limebatilishwa na wengi katika umma wamepotea ndani ya kamari. Kitu kilichoharamishwa tangu enzi za bwana Mtume Mohammad PBUH. Allah atunusuru na hili janga na mengine mengi katika maisha yetu. Atuongoze katika njia iliyonyooka. Atujaalie mwisho mwema kwetu sote in shaa Allah.
Assalam alaykum warahmatulhahi wabarakatuu Habari, naomba mtuwekee na mada isemayo MADHAMBI YA KUPIGA CHABO aliyoyatoa sheikh nasoro Bhachu, au mengine yasemayo Maudhi ya masikio Alha awalipe kheyri kwa idhini yake
Masha Allah, Allah amjaalie pepo ya Firdaus..
Allah atujaalie kila la kheir katika maisha yetu.
Awalaze pema penye wema na awarehemu wote waliotangulia mbele ya haki.
Yaani hii darsa ni ya kitambo but kila kilichongelewa hapo ndio kinadhihirika wakati kama huu. Betting imetajwa kama bingo zamani keo jina limebatilishwa na wengi katika umma wamepotea ndani ya kamari. Kitu kilichoharamishwa tangu enzi za bwana Mtume Mohammad PBUH.
Allah atunusuru na hili janga na mengine mengi katika maisha yetu. Atuongoze katika njia iliyonyooka. Atujaalie mwisho mwema kwetu sote in shaa Allah.
Amin amin amin
Plz broo badilisha profile yako...
@@bentybenty2343 kwa nini?
@@abuwaleed01 coz haiendani na maadili ya kiislam..
@@bentybenty2343 haidhuru mtu lakini. Sawa nimekusikia
Allahumma ghfillahu war hamhu wasaakinahu fil jannah
Darsa mzur Sana Allah amsamehe makosa yake na sisi atupe mwisho mwema
Assalam alaykum warahmatulhahi wabarakatuu Habari, naomba mtuwekee na mada isemayo MADHAMBI YA KUPIGA CHABO aliyoyatoa sheikh nasoro Bhachu, au mengine yasemayo Maudhi ya masikio
Alha awalipe kheyri kwa idhini yake
Mashaaallah Allah atujalie mwisho mwema inshaallah
Mashaallah jazakaAllah l-kheri
I realize I'm kind of off topic but do anybody know of a good place to stream new tv shows online ?
@Sterling Ronnie Meh try Flixportal. You can find it through google:P -raiden
@Raiden Patrick thanks, I went there and it seems like they got a lot of movies there :) Appreciate it !!
@Sterling Ronnie You are welcome :D
Maa shaa Allah
Naam
Mashaallah my Allah grant him jannat frdows
Wallah nanufaika sana na hizi darsa
Barakallahu fika
Mashaallaah
@@abdulhamidkipweza5978 Tabarakallah
@@maryaamsalim9812 naam
@@maryaamsalim9812 waaleykum msalam .vp hal yak?
@@maryaamsalim9812 M nashkul mzm.vp wey untumia wasap?
Mashallah
الله يرحمه