jamani mama nimefurahia show. lakini Kwa umri Sasa wa faa kufikiria Din I letu. Tusielewane vibaya,sijasema uache muziki.Bali Katina muziki watu Wengi wanakufuatilia kimapambo Na mavazi,mie hapa nisipo uskiza wimbo wako Kwa siku nita pata homa. Lakini wafaa kwanza kuvalia stara kama wale waimbaji WA Sudan wanavyo fanya.w anapendeza Na Bado wamelipatia heshima nataadhima dini letu tukufu...Niko Juba South Sudan.asante.
Umenikumbusha nyumbani uku Nairobi hakunaga mambo ya taarab.Ningoma za akina Njely naKamau mense Kikuyu na Kamba Asante mama naona nikonyumbani apa.❤
Waaaapi mamaamukubwa upo juu mama
sio kwa mauno hayo mama la mama upo vzr sana
Umetishaaa mamaaa kiboko yao
Nakubali saana shoo zako bint omary
Jamani waume aibu, taarabu ni ya wanawake, siku hizi taarabu hazina utamu Tena Maana waume wamejivaa kwenye taarabu, aibu
Hapana chezea mama wa Mipasho, uko vizuri
Mama bas na mziki mrudie allah muda una ixha mumy
Hadi siku hizi wanaume wanakata mauno daah
Nakukubali sana mama Khadija kopa
nakubali mama
Bi Khadija Masha Allah bado wasikika.
MWANAHALIMA MWACHILI
I love #KhadijaKopa how can I get her contact please
Iam- Martins Her Instagram account officialkhadijakopa maybe it can help you to contact her
tisha sana na shoo yako
Nayakubali sana mashali yako pambana
jamani mama nimefurahia show. lakini Kwa umri Sasa wa faa kufikiria Din I letu.
Tusielewane vibaya,sijasema uache muziki.Bali Katina muziki watu Wengi wanakufuatilia kimapambo Na mavazi,mie hapa nisipo uskiza wimbo wako Kwa siku nita pata homa.
Lakini wafaa kwanza kuvalia stara kama wale waimbaji WA Sudan wanavyo fanya.w anapendeza Na Bado wamelipatia heshima nataadhima dini letu tukufu...Niko Juba South Sudan.asante.
Pambeeee
bora tumia salama
Astaghfirullah
khadija sio mchezomchezo
Hahahaha eti Kama kimelala kimeharibu mapaja
Mwanaume harogwi ....😄😄😄😄😄
akuna anaekuweza tena Kuboko yako alikua nasma tu
Aibu kubwa, bi kizee
Hussein Karim mmm kuimba akuna chamzee
Nice mama mukubwa
Poa