MAMA MLEZI WA TAJIRI CHUII AIKATAA ZAWADI YA MWANAE KISA YEYE NI FREEMASON

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 36

  • @AbduliBilali-d7y
    @AbduliBilali-d7y 5 วันที่ผ่านมา

    wazazi wetu tunaomba m2ombee maombi kwajili ya maisha ya vijana wote mungu skype maisha malefu mama wote tanzani ameen

  • @zakayombuba8953
    @zakayombuba8953 4 วันที่ผ่านมา +2

    Jamaa kweli ameimba nyimbo nyingi2 ila hazijavuma search tajili chui mtaziona ziponyingisana

  • @JosephKingwere
    @JosephKingwere 2 วันที่ผ่านมา

    Mie sjaelewa hiii sendo chui ndio nani yani na huyu ni mama ake nani naona anatrnd tu sio gari sio gari mhmh ni jeneza jamn Mungu tusaidie sana kweli lkn alivyo ongea mama kama humtuz mama alfu leo hii unampa gari mhmh

  • @GodlistenJohn-c6g
    @GodlistenJohn-c6g 4 วันที่ผ่านมา +3

    Mm naona hii nikiki tu hamna Lolote

  • @RahmaOmar-k3c
    @RahmaOmar-k3c 6 วันที่ผ่านมา

    Asante mama mungu akufanyie wepes in shallah nakuombea

  • @SalumSaid-w8i
    @SalumSaid-w8i 6 วันที่ผ่านมา +2

    Usanii ndani ya usanii

  • @JosephKingwere
    @JosephKingwere 2 วันที่ผ่านมา

    Shida la wasan kitu kdgo mtandaon sasa ona mlivyo zalilika duuh mama hatki gari jmn muwe munahudumia wazazi

  • @JosephKingwere
    @JosephKingwere 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hiyo kiki tu mie naona

  • @HalimaKassim-yz3we
    @HalimaKassim-yz3we 6 วันที่ผ่านมา +1

    Zawadii au jenezaa jamaniii mama uyoo

  • @LucasyNgelela
    @LucasyNgelela 3 วันที่ผ่านมา +1

    Nikajua meneja kumbe bodgady au mm ndo sjaelewa

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mama swala tano gani kuja kucheza drama mbele ya macamera, wazazi mnapangwa mpaka kutenda zambi ya uongo na watoto ili wapate kiki.

  • @SalumKimolo-s2m
    @SalumKimolo-s2m 4 วันที่ผ่านมา

    Kwa maezo ya mama nisahihi hats yeye mwenyewe chui ameulizwa kuhusu tuhuma hizi za yeye kuwa mwanachama wa frimason amesema kwasasa hayuko tayar kulizungumzia hilo Kwanza unampa mama yako zawadi halafu unamtuma meneja wako na waandishi wa habar aisee unajua wanachama wa frimason wamebeti sana kwenye kufanya Jambo lolote wanapenda Sana kujionyesha kwamba kafanya hiki na hiki,nampongena mama kwa msimamo wake

  • @WendeMposola
    @WendeMposola 7 วันที่ผ่านมา

    Jamani hata kama ni kweli ndo umdhalilishe mbele ya Uma duh 😢😢😢

  • @MaryamuMakengwa
    @MaryamuMakengwa 3 วันที่ผ่านมา +1

    Hilo gali anipe mimi tu maana sasaivi duniani kugumu jehanamu kugumu hakuna penye afazar zambi zimekua nyingi sana

  • @JudithNgula
    @JudithNgula 6 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂😂 Mama katema cheche live bila chenga

  • @InesRubakare
    @InesRubakare 6 วันที่ผ่านมา

    Tajiri kakiri eti mambo yapo lakini hayaweze yakamzuru maman.hata nyumba kajengewa ila kakataa kuhamia

  • @NaomiMwampondele
    @NaomiMwampondele 4 วันที่ผ่านมา

    Duuu mhhhh

  • @Shekhahamed-v2f
    @Shekhahamed-v2f 6 วันที่ผ่านมา

    Wee mama pokea gari .acha imaniza kishirikina

  • @tinotana9411
    @tinotana9411 5 วันที่ผ่านมา

    mnaigiza kifara wazee..nitafuteni niwatengenezee jambo muende town

  • @jeritagakye3200
    @jeritagakye3200 4 วันที่ผ่านมา

    Hiyo nyimbo inatoka lini ??

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 6 วันที่ผ่านมา

    Hata ingekuw mim nisinge chukuw mavituy ya kumaliza familiy

  • @livingstonekabantega
    @livingstonekabantega 5 วันที่ผ่านมา

    Boss wako unasema aeleweki anakilipa ?

  • @ChausikuAli
    @ChausikuAli 6 วันที่ผ่านมา

    😅😅😅Kazi ipo hapo mama Kama kweli ni freemason usichukue na wewe usije ukachanganywa kwenye freemason

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 4 วันที่ผ่านมา

    Kiki tu hizo hamna lolote

  • @Urahotv
    @Urahotv 6 วันที่ผ่านมา

    Mama endelea hvo hiv usikubal msimamo wako huo huo

  • @AlabdbFoone
    @AlabdbFoone 6 วันที่ผ่านมา

    Kwan chui ndo nani

  • @mwanakombopopo5117
    @mwanakombopopo5117 7 วันที่ผ่านมา

    Ata ukikataa kama ni mwanachama kweli atakuchukua tu

    • @Urahotv
      @Urahotv 6 วันที่ผ่านมา +1

      Hapan haiwezekan

    • @RahmaOmar-k3c
      @RahmaOmar-k3c 6 วันที่ผ่านมา

      Kabisa ​@@Urahotv

  • @Ruu974
    @Ruu974 2 วันที่ผ่านมา

    Script

  • @xirloomdepie2951
    @xirloomdepie2951 4 วันที่ผ่านมา +1

    Script hizi

  • @KURYABOYTV
    @KURYABOYTV 6 วันที่ผ่านมา

    Meneja anatoa siri

  • @NiceJoe-oq1bw
    @NiceJoe-oq1bw 4 วันที่ผ่านมา

    Kiki

  • @msouthdablack
    @msouthdablack 4 วันที่ผ่านมา

    Kiki zakijingaaaa hiziiii ,,, dogo anatafta umaarufu kwa hizikiki .. usuper star utauskia kwenye bombaaa