TAZAMA MKUU WA GEREZA LA MAHABUSU SEGEREA ALIVYOAGWA KWA SHANGWE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 ม.ค. 2025
- Wakati Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikiadhimisha Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanziba ya Januari 12 1964 Askari Magereza Nchini wametakiwa Kufanya kazi kwa Mujibu wa taratibu kanuni na Sheria za Jeshi hilo bila kumuonea au Kumdhalilisha Mhalifu
Nelson Munema ameandaa Taarifa ifuatayo.....
Wito huo umetolewa na Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Magereza ACP Gibson Mwakibibi wakati wa Hafla Ya Kumuaga Baada ya Kumaliza utumishi wake wa Mkuu wa Gereza la Mahabusu Segerea Jijini Dar es salaam na kuhamishiwa Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini Dodoma ambapo amesema Uzingatiwaji wa Maadili ya Kijeshi umesaidia zoezi la Urekebu kwa Mahabusu kufanikiwa kwa kiasi Kikubwa
ACP GIBBON MWAKIBIBI
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Magereza
Naye Mkuu mpya wa Gereza la Mahabusu la Segerea Kamishna Msaidizi Hamis Ngaukia amesema ataendeleza yote mema yalifanywa na ACP Mwakibibi ili kuboresha Gereza hilo
HAMIS NGAUKIA
Mkuu wa Gereza la Mahabusu Segerea