VIJANA TUNA WAJIBU MKUBWA NA F. E NYANZA (4K. official video) KWAYA YA MT. MARIA CONSOLATA - SUA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- WIMBO: VIJANA TUNA WAJIBU MKUBWA
WAIMBAJI: KWAYA YA MT. MARIA CONSOLATA - SUA
MTUNZI: F. E. NYANZA
AUDIO: BY KHAKI MEDIA PRO
VIDEO BY: CHARITY STUDIO
ORGANIST: LUCAS NKUWI
@kmcssua Instagram & Facebook
Hongereni sana kwaya ya Mt. Maria consolatha👏🏾👏🏾 MUNGU awabariki🙏🏽
Asante sana mwanafamilia.Mwenzetu karibu sana🙏🙏
wimbo mzuri,, namuona kwa mbali mwamba vedasto
Nawafuatilia vizuri Wana consolata Mungu awabariki sana 🎉🎉🎉
Wimbo mzuri sana❤️❤️ hongereni sana..ila nyanza anajua kutunga nyimbo mzuri hajawahi kushindwa mungu ambariki sanaa🙏
Asante sana
❤️❤️
Hongereni sana kwaya ya mt maria consolata sua hakika mmeupiga mwingi🙏🙏...Bravo👏!
Ahsante
Hongereni sana wanakwaya hakika kazi ya Mungu mumeitenda hakika matumaini hayadanganyi👊👊
Congratulations 👏 kwa utume kwaya ya mt.maria consolata SUA 🙏🙏be blessed 👏
Ahsantee
Asante kaka karibu jiunge nasi🙏🙏
Hongeren sana kwa wimbo mzuri, nmebarikiwa sana🙏
So nyc,,,,mko vizuri kwaya ya Mt. Maria Consolathaa,,,Nimebarikiwa sn na nyimbo zenu🙏👏👏
Ahsante
Hongerenii sanaa Kwaya ya Mt. Maria Consolatha🙌✊
Aminaa
Asante sana former chair wetu
Asante sana🙏🙏
Hongereni Sana... Mmeimba vizuri... Yaani mmetisha.. 💞💞
Amina sana
Kaka yangu na wewe umesoma hapo??
Kazi nzuri sana KMMC-SUA. Ujumbe tumeupata. Hongereni sana👏
Ahsantee
Naipenda sanaa hii kwayaaa❤❤
WiMBO mzuri sana
Mubarikiwe Sana kwaya ya M.t Maria Consolata-SUA kwa wimbo mzuri, mmeimba vizuri Sana 👏👏👏 na ujumbe umefika
Ahsantee
Mziki mzuri umekutana na waimbaji wazuriii🤗😍
Ss tunawaitaga wataalamu wa izo mambo #Kmmcsua you Nailed it🔥🔥🔥🙌🙌
Ahsante
Waooo ni kweli ni watalaam kutoka KMCSSUA
Joyna ukwapi 😮 mtumie na mosha
Nishakutumia 😇😇☺️
Pia yy nimemtumia rafiki angu
Hongereni sana familia yangu Kmcs ujembe mzuri sana kwetu vijana pokeeni maua yenu🌹🌹🌹🌹🌹🔥🔥🔥🔥
Aminaa
Asante sana mkuu sana🙏🙏
Sare 🥂
Tabasamu 🥂
Charity studios 🔥🔥
Maudhui safi ☺️##KMCS SUA##
Amina sana brother
Hongereni sana
Amina 🙏🙏
Keep it up bnaaaa
Mungu aendelee kuwa nasi Kmcs SUA. Hakika tumetisha sanaa..❤
Amina kaka🙏🙏
🥳🏆Hii imeendaa🙌 Hongera sana KMCS FAMILY. 🥁🪘
Asante sana kaka
Makopa kopa kwa KMMC-SUA💕💕💕
Hongereni ndugu katika kristo,, tulijenge kanisa la MUNGU,, Ni vijana wenye nguvu kulijenga kanisa
Nawapongeza kutoka MWECAU MOSHI
Amina sana kaka malkiad karibu pia Sua
Hongereni sana vijana wa Mungu👍👍
hongereni sana jamani mungu azidi kuwatia nguvu na mbalikiwe piah
🙏🙏
Hongereni Sanaa kwaya Mt Maria consolata-Sua.. MUNGU awatikie nguvu katk kumtumikia Yeye..
Amina sana🙏🙏 Kaka
Hongereni Sana KMCS kazi nzuri Sana na ujumbe mzuri,hakika Vijana tuna wajibu mkubwa
Wooh asante sana kaka🙏🙏
Good job 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 nimeguswa sana na huu wimbo kwa kweli mungu awabariki KMC SUA🙏🙏🙏
Aminaa
Amina ubarikiwe pia sana
Amina ubarikiwe sana
Vijana ni nguzo katika ujenzi wa kanisa ❤❤
Hongereni sana Kwa ujumbe mzuri mnoo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mpewe maua yenu🙏🙏🙏
Nguzo!!! Aminaa
Barikiwa sana
Amina sana upewe maua yako pia
Hongera pia 🥰
Lakini bwn. Charles mbona sisi kii sauti yako imefichwa😂😂😂❤❤
Hakika vjan tunawajibu mkubwa katika kanisa tunashkuru kwa kutukumbusha Amina mbarikiwe saana na bwana👏👏👏🙏🙏
Amina ubarikiwe pia
Waooo so nice 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤😊
Karibuni
🔥🔥
Hongereni sana KMCS hakika vijana tuna wajibu mkubwa katika kulinjenga kanisa letu🙏🙏
Amina Amina Kevo🤭😁
Asante sana🙏🙏
Mungu azidi kuwaongoza,,,,,hakika ujumbe ni mzuri 🥰🤗
Asante sana
Hongereni sana Mungu azidi kuwainua katika viwango vya juu zaidi kupitia kumtumikia yeye.
Amen
Hongereni sana.... Hakika vijana tuna Wajibu Mkubwa sana katika Kanisa na Taifa kwa Ujumla.
1 Yohana 2:14 "Nmewaandikia Ninyi vijana kwa sababu mnayo Nguvu na neno la Mungu linakaa ndani yenu nanyi mmemshinda yule mwovu"
Nimebarikiwa.
Ubarikiwe sana kaka
Congrats 🎉🎉🎉👏,God bless u all
Kazi nzuri sana Mungu azidi kutuongoza na kututia moyo wa upendo
Amina sana kaka🙏🙏
Amina sana kaka🙏🙏
Sensational voices, God bless you .
Amen 🙏🙏
Congratulations my kwayaa
Tamu sanaaah... Hongereni sanaaa kwakweliiiii😋❤️💪✊✊
Ahsante
Asante sana
Hongerani sana....this is so huge...Rafiki zangu Rhoda,Jack ,,Hekima,,,congratulations for real
Aminaaa
Asante sana my frendoo
Asante sana hakika tunafurahi
😅😅 sawaa ahsantee
Nice😊...hongeren kamati ya muziki🎉
Asante sana
Hongera sana kwaya ya Mt. Maria Consolata SUA, MUNGU awabariki sana
🙏🙏🙏
Hongereni saaanaaaas Wana KMCS 🔥🔥🔥🔥
Amina
Asante sana maestrooo
Vijana na wajibu katika kanisa... Be blessed wanakwaya🙏🏾
Amina
Amina sana M/kiti kazi vijana ni hazina ya kanisa kaka
Amina kiongozi
Congrats 🎉🎉🎉,
Waooooo, wimbo mtamu saaaan
🙏🙏
It's really a good song keep it up to praise the Lord.
🙏🙏
Hongereni sana wimbo mzuri sana video pia Nzuri ❤❤❤
Asante sana🙏🙏
nyimbo nzuri hongera
Hongera sana. Mumeimba vizuri na ujumbe umefika
Amina
Amina sana
Kazi nzuri Sana👏👏👏
Ahsante
Asante sana
Big up brethren ❤❤
Asante sana kaka
🔥🔥🔥 congratulations Kmcs
Amina
Amina sana kaka
The best of all!!! Congradz❤💪
Asante🙏🙏
Hongereni sana Kmmcsua
Asante sana kaka
👏👏👏👏
Hongereni Sana.
Kazi nzuri...!!
Asante sana
Halooo! Hii ngoma ni ❤❤🎉🎉🎉mbarikiwe sana
Amina sana
Hongera sana tumebarikiwa
Amen,🙏🙏
Wakuluuuu🤗🤗
Asante wakulu
the choir i like 🥰
Hongereni sana❤❤
Asante sana
Hongereni sana kwaya Mt. Maria consolata wimbo umebeba ujumbe mzuri sana ❤
shukrani sana🙏🙏
Ujumbe mkubwa sana, organist mkubwa @Lukas 🙌🙌🙌🙌 na wengine wote I acknowledge your presence, you've made it 🙌🔥
Ahsantee
Asante
Keep up the good work 👏
Aminaa
Amina sana kaka
Vizuri sana ladys and gents....
Amina🙏🙏
🙏🔥
Nakuona pepetua kipenzi
Yupo karibu pia
Bravo 👏👏👏🤞🤞
Up up
Nice👍
Hongereni sana🎉🎉🎉🎉🎉
Asante sana
I Love this family i will be looking all the time ❤
Amina sana kaka🙏
Mimi kama kijana huu wimbo umenikamata 🤲
Amina
Big up my family ❤
Top top
Asante sana dada
Amen...so mwaaaaa!!
Aminaa
Tunakupenda karibu tena kaka wana KMCS tunakuhitaji
KMCS mnaendelea kubampa
🙏🙏
Congratulations.....all the best 🌹🌹
Thank you so much 😊
Amina sana🙏🙏
Amina 🙏🙏
This is the best🥰 Mungu awabariki
Amina sana🙏🙏
🎉🎉🎉🎉❤❤❤
❤️❤️
Nice
Hongereni sanaaa vijana wa mungu
asante sana
Ni nzuri sanaa
Amina
Amina
Hongereni sana vijana ..Mungu awape nguvu zaidi mlijenge kanisa lake
Aminaa
Ameni mkuu atupatie nguvu kwa pamoja tulijenge kanisa kwa pamoja
Asante hakika tutalijenga🙏🙏
Hongerani sana mungu awabariki
Ahsantee
Amina sana
Congratulations 💐👍
Thanks a lot
Asante🙏🙏
Hongera xana 🙏
💥🔥
Ahsante
Asante sana
Hongeren sana wanakway wa maria consolatha..
Ahsantee
Mungu awatie nguvu katika yote
Amina sana🙏🙏
Amina sana
Hongereni kwa kutukumbusha wajibu wetu vijana
Ahsantee
Amina sana
Congratulation, may our god bless you all
Amina🙏
Congratulations ❤
Be blessed
Amina
🎉🎉
Congratulations
Amina
Asante sana🙏🙏
Ahsanteni Sana wanakwaya , mtumikieni Mungu vyema, ujumbe mzuri Sanaa 🔥🔥
Ahsantee
Asante sana kaka yetu na mtoto wa baba wa imani 🙏🙏
Big up sana bro angu Jack with your relative members
Appreciated
Asante
💪💪
Amina
Asante sana