MAPENZI YAMLIZA BIG | PART TWO 2.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น •

  • @Ivan17_tz
    @Ivan17_tz  3 หลายเดือนก่อน +27

    Fumanizi La Usiku la Goba Part Two Nipost lini?? Samahani kwa kuchelewa ndugu zangu Chuo kimefunguliwa Mambo Mengi📌

    • @Tashmaorg
      @Tashmaorg 3 หลายเดือนก่อน +3

      Saiv ile tam ile😂😂😂😂

    • @mackysuphian
      @mackysuphian 3 หลายเดือนก่อน +3

      Kila siku unatuuliza jmn c upost tuu jmn leo😢

    • @habeelqabeel9403
      @habeelqabeel9403 3 หลายเดือนก่อน

      Iyo hotel iko wapi mkuu.

    • @habeelqabeel9403
      @habeelqabeel9403 3 หลายเดือนก่อน

      @Ivan17_tz naomba mawasiliano kwenye iyo hotel

    • @veronicaally4426
      @veronicaally4426 3 หลายเดือนก่อน

      Post now

  • @SalimKikoti
    @SalimKikoti 3 หลายเดือนก่อน +22

    7:10 sema Ivan mnafiki kweli eti Bora tuishie hapa hapa, wakati anataman ashuhudie mpaka mwisho😂

    • @Neemamtey
      @Neemamtey 3 หลายเดือนก่อน

      Ni mnafiki kichizi😂😂😂

    • @maryamoTanzania
      @maryamoTanzania 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂​@@Neemamtey

    • @adelinaomani9012
      @adelinaomani9012 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Chezea umbea wewe

    • @marrykigabimk
      @marrykigabimk หลายเดือนก่อน +1

      Mnafki sana kwanza kwanini akubali iyo challenge kama alikuwa nampenda rafiki yake

    • @SalimKikoti
      @SalimKikoti หลายเดือนก่อน

      @marrykigabimk hatari

  • @SalimAlly-d8o
    @SalimAlly-d8o 3 หลายเดือนก่อน +6

    I come from from America😂😂😂

  • @ABDALLAHMSHAMU-n8r
    @ABDALLAHMSHAMU-n8r 2 หลายเดือนก่อน +2

    Daaah mwnngu ivan nakua appreciate xnaa na kaz good work keep raising

  • @ByamunguGentil-su8ox
    @ByamunguGentil-su8ox 3 หลายเดือนก่อน +5

    Watu hatu lali kwajiliyako ivan 😂😂I’m from 🇺🇸 saizi ni şah 1:58 night

  • @HabibaBb-d3s
    @HabibaBb-d3s หลายเดือนก่อน +3

    Shoga una apo ww dada ume changia kuaribu mapenzi ya wenzako ume msha waishi sana sio vizuri kabisa dada uricho fanya mabinti wa sas iv sijuw aka wana weza kula taa ata iyo Alfu ishirin msifanye ivyo wa dogo zetu😢

  • @musaernest3490
    @musaernest3490 3 หลายเดือนก่อน +2

    Daaaa hatari sana mmefanya mpaka nimeingiliwa bando,😂 umbeya huu

  • @LeukajaMavika
    @LeukajaMavika หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂😂duh jamni nimecheka kweli

    • @Nasma-wk3zh
      @Nasma-wk3zh หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 kabisa

  • @happymwakajila499
    @happymwakajila499 24 วันที่ผ่านมา +1

    Itakuwa shoga anamtaka mumewe😂😂

  • @Smartboy-wt1es
    @Smartboy-wt1es 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kwnza huwezi kumjaribu mwanamke na pesa na hiki kipindi ni htr sana tena sna

  • @YassirOmar-s1l
    @YassirOmar-s1l 3 หลายเดือนก่อน +7

    Mwanagu unani frahisha kinoma yaan good work brother Ivan 17

  • @LeukajaMavika
    @LeukajaMavika หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂duh ila wadad kazi ipo mbinguni hatuendi 😂😂😂to

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 3 หลายเดือนก่อน +4

    Daaah..!! Kingerez Ndo Kimenihuman Xana Mim😂😂😂😂😂😂

  • @JosephatBernad
    @JosephatBernad หลายเดือนก่อน +1

    Yaan nakubali sana kazi yako bro, picha linaanza kwanza unajiamin kwenye kingereza

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 3 หลายเดือนก่อน +6

    WEWE LAFIKI WA MADAM UNAKISU CHA UCHOCHEZI KIKALI 😂😂😂

  • @jamesofficial89official48
    @jamesofficial89official48 7 วันที่ผ่านมา

    Amna party tena 😅😅

  • @ChimamyShine-k2v
    @ChimamyShine-k2v หลายเดือนก่อน +2

    Kanafiki aka ety😂 usichelewe akagaili

  • @HamissaAbassi
    @HamissaAbassi 3 หลายเดือนก่อน +7

    Hayu rafiki mjinga Sana yn ameshindwa hata kumtumia mcg mwnzie kuwa huo n mtego daah wanawake mbn tunakuwa hivi jmn

    • @lucasgedy2500
      @lucasgedy2500 3 หลายเดือนก่อน +1

      Nyie nao mumezidi tamaa

    • @Charity-v6d
      @Charity-v6d 21 วันที่ผ่านมา

      Et kashindwa ata apooo

  • @FloraMbuya
    @FloraMbuya 18 วันที่ผ่านมา +1

    Ungekuwa rafiki wa kweli ucngefanya huo upumbavu. Au ungemtumia msg acje loohh. Rafiki mnafki

  • @husseinswaleh9581
    @husseinswaleh9581 12 วันที่ผ่านมา

    Sema dem alikua na msimamo shida ipo kwa huyo shoga mnafki mamaeee zakeeeee

  • @AsumaniMAtanga
    @AsumaniMAtanga 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yeah 🎉🎉

  • @JanethDerick-u6x
    @JanethDerick-u6x หลายเดือนก่อน +1

    Ivan anasemeleye kbx et naona ampigie anachezea tu simu 😂😂

  • @AbuuClassic
    @AbuuClassic 3 หลายเดือนก่อน +2

    Duuuuh ila hako kadad kanafiki sana duuuuh me kwanz Bado mdogo kwenye mapenz 😂😂😂

  • @Saidindenya
    @Saidindenya 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mm nahc mapenz hayajaribiwi kwa kweli

  • @jasminejuma-s6r
    @jasminejuma-s6r 2 หลายเดือนก่อน +3

    uyo rafik ni mnafki sana

  • @UmmyJumaa
    @UmmyJumaa 26 วันที่ผ่านมา

    Ila challenge nyengne za kutiana tamaa😅

  • @ElygbolMwanantara
    @ElygbolMwanantara หลายเดือนก่อน

    Kua makini et mjumbe auwawiiiii ooooh 😅😅😅😅😅 utakua mfan wa kuigwa

  • @kajairolancaster7028
    @kajairolancaster7028 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hapo kwa ruzungu 😂😂😂😂😂😂🙈🏃💯 kaka weeh 😂

  • @EstarPoul-e6u
    @EstarPoul-e6u 14 วันที่ผ่านมา

    Ata ingekuwa kwel lakitatu ukiachiwa na magonjwa juu

  • @EmanueliPantaleo
    @EmanueliPantaleo หลายเดือนก่อน

    Aaaaaaah kama
    Ni
    Mm
    Namwacha amna huaminifu tena

  • @rosekadzokillian9700
    @rosekadzokillian9700 26 วันที่ผ่านมา +1

    Wa TZ nyinyi na usaliti no1 mbaya io

  • @mkamaboy2016
    @mkamaboy2016 3 หลายเดือนก่อน +4

    Sit over here air conditioner switch on , my name is jackson am come from United States of America 🇺🇸 😂😂😂 I will be tz from

    • @RashidiMdee-s3p
      @RashidiMdee-s3p 3 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂

    • @RashidiMdee-s3p
      @RashidiMdee-s3p 3 หลายเดือนก่อน

      Kingereza cha kunywea maji kweli

    • @mkamaboy2016
      @mkamaboy2016 3 หลายเดือนก่อน

      @@RashidiMdee-s3p kajitahidi sana

  • @hamisahodari9229
    @hamisahodari9229 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa kingereza ichooo ningejua tu we n naniiiiii😂😂😂😂

    • @yusufuheri6524
      @yusufuheri6524 หลายเดือนก่อน

      Kwamba ungejua tu l VAN

  • @MarthaKanjel
    @MarthaKanjel 3 หลายเดือนก่อน

    😂,😂😂😂😂ivan jmn en don worry mara nyingi kichizi.

  • @KemilememailSuzani-r6e
    @KemilememailSuzani-r6e หลายเดือนก่อน

    Kaka kwel kingeleza ni cha kunywea maji😄😄

  • @hanifasaidi8395
    @hanifasaidi8395 3 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂Ivani hyo ni Ingiliz

  • @AgnessTarimo-w1x
    @AgnessTarimo-w1x หลายเดือนก่อน +2

    Rafiki ni mnafiki kwa tamaa ya elfu

  • @adrixflame
    @adrixflame 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ivan mnafiki sana anachekelea tuh😂🤣

  • @TreasureMagumba
    @TreasureMagumba หลายเดือนก่อน

    Laki tatu tu kaaah😂😂😂 by the way asifike mkenya hapa na hichi kinge cha ivan tumeisha🙌🙌🙌🙌

  • @YonaMashaka-xb2ym
    @YonaMashaka-xb2ym 2 หลายเดือนก่อน

    Iven mnafiki sana mshikaji wangu mwenzio anaumie alafu wewe unafurahi kaka sema nakukubali sana

  • @chriskalega4348
    @chriskalega4348 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂ila wanawake hapana kwakwel

  • @ElianeNininahazwe
    @ElianeNininahazwe หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂shoga kamuuza shoga yake

    • @Charity-v6d
      @Charity-v6d 21 วันที่ผ่านมา

      Ushoga Kaz mie akaaa😢😢

  • @AllyMasud-b9w
    @AllyMasud-b9w 3 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂chibongee mwepesi

  • @georgeelnico4784
    @georgeelnico4784 หลายเดือนก่อน

    nyie waongo mnacheza kwanza kama muvi halafu ndo mnatuletea hapa matapeli nyinyi😂😂

  • @UmmyJumaa
    @UmmyJumaa 26 วันที่ผ่านมา

    Ila utakuja kupigwa weww ivan😅

  • @rosekadzokillian9700
    @rosekadzokillian9700 26 วันที่ผ่านมา

    Mmmmh hicho kingoso mzee

  • @MoannaMzigua
    @MoannaMzigua 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂Ivan Ivan nakuita tena ningekua Mimi ningekimbia mana ningekutambua tangia mwanzoni. I come from from America? Really???

  • @ShaaAl-rawahy
    @ShaaAl-rawahy 3 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂 kiengereza 😂umejidahid lkn

  • @NoreenKaaya-e2u
    @NoreenKaaya-e2u 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ukixkia kazin Kwang Kuna Kaz ndo hii ,,, Eeeeeeh Sir God niepushie mbali

  • @BeatusKLeon
    @BeatusKLeon หลายเดือนก่อน

    Hiyo kiingereza ya Vingunguti Kiembembuzi bado msichana hajashituka tu?

  • @Piusprotacemondosonalimuch-i4d
    @Piusprotacemondosonalimuch-i4d 3 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂 Sio kwa icho kigerezaaaa

  • @JanethKassim
    @JanethKassim 2 หลายเดือนก่อน +3

    Yaan ww kaka ni shetan pamoja na huyo dada

  • @lucybahane8490
    @lucybahane8490 2 หลายเดือนก่อน

    Dada mnafiki angetuma sms kwa rfk yake uokoe mahusiano yao ili usiwe sababu ya kuharibu mahusiano yao😢

  • @MwasitHassan-cv8um
    @MwasitHassan-cv8um หลายเดือนก่อน

    Sijui hata nacheka nn 😂😂

  • @albestboy
    @albestboy 13 วันที่ผ่านมา

    Yan tok nione clip zako Kila siku bando langu linaishia kwako

  • @ScoviaJoseph-um8xg
    @ScoviaJoseph-um8xg หลายเดือนก่อน +1

    Rafiki mnafiki huyu duh

  • @FaudhiaSwalehe-tp9ox
    @FaudhiaSwalehe-tp9ox 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hicho kingereza au kimasai 😅😅😅

  • @marrykigabimk
    @marrykigabimk หลายเดือนก่อน

    Ohhhhh pesa na mapenzi abihusiyani ukimpenda mtu unampenda tu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @bellasi349
      @bellasi349 หลายเดือนก่อน

      Nani kakidanganya

  • @ReginaJumanne
    @ReginaJumanne 3 หลายเดือนก่อน

    Duuuh hii contect inanichekesha San 😂😂😂😂😂 mambo ni moto mambo ni 🔥 pesa ni mshipa wa damu watu hatueleweki tunataka Nini 😂😂😂😂🎉🎉

  • @ElianeNininahazwe
    @ElianeNininahazwe หลายเดือนก่อน

    Nahiyo hôtel unayipenda😮😮😮.mapenzi shikamo

    • @SamirPeter-t4u
      @SamirPeter-t4u หลายเดือนก่อน

      Ni baloz wa hiyo hotel pia nahis kuna baadh ya challenge n kutangaza biashara

  • @GraceGerald-n8u
    @GraceGerald-n8u 3 หลายเดือนก่อน +3

    Sit over hiyaaa😅😅😅 kwisha

  • @Hemedi-m9m
    @Hemedi-m9m 21 วันที่ผ่านมา

    Huyu mdada ana tamaa sana yeye ndo ka sababisha kila kitu

  • @sekemiolesandoni2167
    @sekemiolesandoni2167 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ivan, huu upuuzi kuna siku mtakuja kuwaua watu au ww mwenyewe.
    Kuna viashiria vingi visivyo salama. Take this otherwise Kodi security and wana saikolojia pia for safe.

  • @LailyaRashidi
    @LailyaRashidi หลายเดือนก่อน

    Don’t worry sit over 😂😂😂😅

  • @EmmyEwadi
    @EmmyEwadi หลายเดือนก่อน

    ivan mungu anakuona mhm kwamba huyo dada hajawah ona clip za ivan

  • @EstherJuliusLukindo
    @EstherJuliusLukindo 2 หลายเดือนก่อน

    Dada mnafiki sana ameshindwa hat kumtumia.rafiki ake sms kwel

  • @Tashmaorg
    @Tashmaorg 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mapenz yanaum nyie😢😢ah csubt kufany uu unyama😂😂😂😂😂

  • @maryamoTanzania
    @maryamoTanzania 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kingereza kimeniuma sana kimi😂😂😂😂😂😂

  • @albestboy
    @albestboy 13 วันที่ผ่านมา

    Ivanny m demu Wang ananikubari hata umfanyie challenge ya ndege atanichagu mm2

  • @clamvevo2024
    @clamvevo2024 หลายเดือนก่อน

    we msenge unazingua na kingereza chako 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Hapygideon
    @Hapygideon 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂hicho kingereza Cha wapi

  • @naomilumolwa7864
    @naomilumolwa7864 หลายเดือนก่อน

    Yani mm binafsi hi haya machalenji siyaelewi yana faida gani kwenye jamii. Ww unaefanya kz hii, ngoja uje siku moja usababishe mauaji watu wamechomana visu ndo ukome.

  • @maryamoTanzania
    @maryamoTanzania 3 หลายเดือนก่อน +1

    Lakin hatimae wanaume wamefikiwa😅😅😅

  • @FazohMedia
    @FazohMedia 3 หลายเดือนก่อน

    Kwani mpaka unajifanya Mzungu huwa hakufuatilii😂

  • @vicenttunzo8612
    @vicenttunzo8612 3 หลายเดือนก่อน +4

    Nilikua naisubiria 😂😂

  • @albestboy
    @albestboy 13 วันที่ผ่านมา

    Dah huyu Dem alikuamije mbn hata kingereza hakielewek huyu Dem msenge m Dem wangu usingetoboa

  • @AgnessTarimo-w1x
    @AgnessTarimo-w1x หลายเดือนก่อน +1

    Kamshawishi mwenzake

  • @EvahManoti
    @EvahManoti 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hicho kingeleza sasa😂😂😂😂

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 3 วันที่ผ่านมา

    Challenging 😂😂😂😂😂😂😂

  • @maryamoTanzania
    @maryamoTanzania 3 หลายเดือนก่อน

    Ila aivani mchawi sana😂😂😂

  • @ManyamaBituro
    @ManyamaBituro หลายเดือนก่อน

    Wanawake wa siku hz nyoko

  • @shannarsaidSwahili
    @shannarsaidSwahili หลายเดือนก่อน

    Daah!!!

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 หลายเดือนก่อน

    Hizo pranks muache, lafudhi ya kingereza naifananisha na mtu kutoka buza kwani ye hajashituka tu? 😂😂😂😂

  • @Baira240
    @Baira240 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa hii nikuvunja urafiki siyo mahusiano tena😅😅

  • @neemachonya8083
    @neemachonya8083 3 หลายเดือนก่อน

    Ila huyo dada hajui kusoma hata picha kingereza hicho😅😅😅😅

  • @MsuyaMgeta
    @MsuyaMgeta 2 หลายเดือนก่อน

    Mbn hiki chumba kila siku ndimo unafanyia kila challenge,alafu hy hotel kila mtu anaingia tu kwenye room

  • @RahemaJumany
    @RahemaJumany 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hata hawa kitu na shem wake Nina wasiwasi kama wanadate coz picha linaanza walikuwa wameshikana mikono kipindi wanaingia apo ndani ndy Ivan kawastop eti shem wangu😂😂😂😂

    • @Idahduncan
      @Idahduncan หลายเดือนก่อน

      Kweli 😂😂😂

  • @johnsonwilliam2146
    @johnsonwilliam2146 หลายเดือนก่อน

    Sema huyu jamaa kazi yake ngumu sana😂

  • @Evodia-nk9jr
    @Evodia-nk9jr 9 วันที่ผ่านมา

    Huyo shoga yake ni mbea jmn na tena ni mnafiki duuh😢

  • @stephenernestkaforongo7585
    @stephenernestkaforongo7585 3 หลายเดือนก่อน

    Yan kwa English hyo mm ningeelewa tu hli ni game🤣🤣🤣

  • @ednahumazi777
    @ednahumazi777 หลายเดือนก่อน

    Wewe jamaa.una shida

  • @Jacksonnziku-kg5zo
    @Jacksonnziku-kg5zo 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa Jackson imeingiaje apo 😅😅😅daah

  • @sahilnassir1308
    @sahilnassir1308 หลายเดือนก่อน

    Ww ivan watoto wakiume kama ndio wanafirwagwa mbwa ww

  • @davidmwandenuka1712
    @davidmwandenuka1712 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo Ivan mwenyewe anawenge sana duuuuu

  • @Jessica-i6n6v
    @Jessica-i6n6v หลายเดือนก่อน

    Wakenyaaaaaaaaa😅😅😅😅😂😂

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 3 หลายเดือนก่อน

    Daaàaah jamaa analia 😂😂😂😂 dadeki walahi pesa ,

  • @ZawadiMuhunzi
    @ZawadiMuhunzi หลายเดือนก่อน

    Yan mm naangalia tu naishiwa nguvu uyo big yupoje moyoni

  • @givenkyando929
    @givenkyando929 2 หลายเดือนก่อน

    Nakaa usiku natrade (forex trader mko wapi?😢😢😢

  • @ZekaniS
    @ZekaniS 3 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂jaman sitaki Shoga mie challenge nakutafutia jambaz akuoididi

  • @EstherJuliusLukindo
    @EstherJuliusLukindo 2 หลายเดือนก่อน

    Ivan utakuja kufa vibaya ww engine hawana uvumilivu kina siku utakula chuma ya kichwa