Uhuru hadi ruto

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
  • Hakuna aliyejua kilichomo nafsini mwake lakini ni dhahiri kwamba ilikuwa siku nzito kwake na kwa wafanyikazi wengi wa ikulu ya Rais kwani ilikuwa siku ya mwisho kwake kama Rais wa Jamhuri ya Kenya. Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta alifuatilia kwa makini na kutekeleza wajibu wake wa kikatiba, kumkabidhi mamlaka Rais wa tano wa Jamuhuri ya Kenya William Ruto.

ความคิดเห็น • 22