Hongera sana mwalimu mgeni 🤝umefanya nilie 😂😂😂nakupenda sana patronize kwa kmjali mwalimu ♥️❤️❤️❤️niwanafunzi wachache sana wanaoweza kuwa kan patronize na mwenzake asant sana 🙏kwamafunzo mazr nice
Bro baaba joan nimeanza kukuelewa sana tangu mwanzo wa hii movie na leo imenifanya nitoe chozi kwa hisia kali sana kwan unaigiza uhalisia wa watu baadhi ambao wanapitia mambo haya kwenye jamii yetu keep it up bro we are behind you MWALIMU MGENI,patronize ✅️✅️✅️
Ino episode nalia sana mwalim mgeni umenigusa kwa hyo Hali na patronize na huyu mdada ndio wameua namchukia mwalimu magesa bt you know what mwalimu mgeni never give up Sr.God atakuokoa utarudi Kwa Hali Yako ya kawaida big up sana kwa elimu unayo tupa duh😢😢😢
Kazi nzuri mwalimu ntusuvile, unafanya kazi Kwa moyo mkunjufu sana aiseee nakukuba Sana, na kampuni umeiyeyusha mwanangu stika umeitoa kabisaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂big up bro, God bless you
Huyu mtoto madam Vicky kweli yupo vizuri nipe namba yake kwanza naona nikipata Raha duniani size yangu kabisa sijui atanijukulia vipi ila mapenzi hayana mibaka ❤
Baba John nafurayi sn kwaiyi movie inanifundisha mambo mengi kwenye Dunia nimetizama kadogo mu Facebook nikajisikiya nifate mu youtube inamafunzo sn Mungu akupe maarifa sn mini ninakaa Congo iyi movie ni yenyewe 🙏🙏🙏🙏
Sijawahi comment kweli page hiiii ila kwa style hii ya mwalimu magesa na nadamu vick Dah nimechek San 😂😂😂anavyo jieleza magesa aty hilizi inakaa wapi kauwa San
Patroniza na nasha hongera sana kwakumjali mwalimu mgeni ❤❤
Baba Joan kweli umejua kucheza vizuri katika nafasi ya kichaa good work💖💖💖
Hongera sana mwalimu mgeni 🤝umefanya nilie 😂😂😂nakupenda sana patronize kwa kmjali mwalimu ♥️❤️❤️❤️niwanafunzi wachache sana wanaoweza kuwa kan patronize na mwenzake asant sana 🙏kwamafunzo mazr nice
Bro baaba joan nimeanza kukuelewa sana tangu mwanzo wa hii movie na leo imenifanya nitoe chozi kwa hisia kali sana kwan unaigiza uhalisia wa watu baadhi ambao wanapitia mambo haya kwenye jamii yetu keep it up bro we are behind you MWALIMU MGENI,patronize ✅️✅️✅️
Yani yuko vizuri sana mungu amtunze move zake zinamafunzo yakutosha
Kazi nzuri Na inatoka Kwa wakati big up Kwa wote mliohusika especially baba Joan ❤
Ino episode nalia sana mwalim mgeni umenigusa kwa hyo Hali na patronize na huyu mdada ndio wameua namchukia mwalimu magesa bt you know what mwalimu mgeni never give up Sr.God atakuokoa utarudi Kwa Hali Yako ya kawaida big up sana kwa elimu unayo tupa duh😢😢😢
Kutoka kakamega-kenya,kazi yako ni ya kipekee sana na ina mafunzo tele.mungu akusitishie akili na uendelee kuelimisha dunia kupitia kwa sanaa.
Kila siku nyinyi ndo wakwanza leo mm niwa mwisho😅much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥✊
😂😂wamwsho nimm npewe mm
@@florencekanze 😂😂✌️
Kazi nzuri mwalimu ntusuvile, unafanya kazi Kwa moyo mkunjufu sana aiseee nakukuba Sana, na kampuni umeiyeyusha mwanangu stika umeitoa kabisaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂big up bro, God bless you
Yaaan hii move najifunza mengi sana good job baba joan nakupenda bure♥️
Hakika na vutiwa sana na hii kazi Ujumbe ni Mzuri sana Mungu akuzidishie zaidi na zaidi
Mnachonifurahisha mnaachia Kwa wakati alaf vipande vilrfu so kazi nzuri 🎉
Sema baba Joan kuna Jean moja hapo linafaa kubaki duniani nipe connection basi 🤣🤣🤣🤣🤣
Team WA mwisho tujuane😢
Much love mwalimu mgeni❤
MH
Kazi nzuri bba Joan maua yako 🎉🎉🎉🎉love you much from Burundi 🇧🇮 ❤❤❤❤❤
Congratulations baba Joan and great work to your able manager... Venye mnatoa next episode haraka ... It is commendable 💯
Dalodl
Huyu mtoto madam Vicky kweli yupo vizuri nipe namba yake kwanza naona nikipata Raha duniani size yangu kabisa sijui atanijukulia vipi ila mapenzi hayana mibaka ❤
jamni kwani kenya mwakesha TH-cam ...Kenya NI BIG SUPPORT
Congratulations mwalimu mgeni
Love you from BURUNDI 🇧🇮 ninawapenda sana❤❤❤
Kazi nzuri Kenya tunaenjoy still following
Ubunifu mwafaka Sana mwalimu mgeni, congratulations.
Jamn nmechelewa lkn mnipee like zangu pia love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 team strong mko wapi
Kazi mzuri Baba Joan ❤❤ from mozambique 🇲🇿💪 Goodbye
😭😭😭😭umejua kunliza hongera san baba Joan na partronaiz🎉🎉🎉mauwa yenu
😢Mpaka majoz inanitoka kweli ba Joan ww n bazuu 💪💪
Waoooo kama unaikubali mwalim mgeni kama mm tujuane kwa like apa❤❤❤
Nimelia Sana patronaisi una kipaji Mungu akusaidie
Kweli dunia sometimes haiko fear kwa binadamu
Patronize nakupenda bure ww mtoto Allah akuzidishie ufike mbali
😢😢😢KAMA MTU HATOJIFUNZA KUPITIA HII MOVIE BASI KAROGWA
Duuu hawa wanafunzi Mmmh yaani wamenifurahisha kwa kumjali sana mwl wao
mwalimu unatutiya uzuni kabisa❤️🇨🇩🇨🇩🇨🇩
I can't hold my tears oooh😭😭
Namchukia mwalimu magesa ingekuwa izini yangu ningemuua magesa😢😢😢
😂😂😂😂
Kweli
Baba John nafurayi sn kwaiyi movie inanifundisha mambo mengi kwenye Dunia nimetizama kadogo mu Facebook nikajisikiya nifate mu youtube inamafunzo sn Mungu akupe maarifa sn mini ninakaa Congo iyi movie ni yenyewe 🙏🙏🙏🙏
Wakwanza Leo ebu nipeeni like zangu much love from Kenya 🥰Baba Joan much love
Baba Joan uko vzr kaka nakkbal sna ila naomba namba yko kaka ❤❤❤❤
We love you to people from #Kenya mnatusaport kazi zetu sana🎉 Mungu azidi kuwabariki muendelee na Moyo huo huo 🙏
@@dokoratiAmen
I love you ❤❤❤
Jamani kua kichaa sio kazi ndogo huyu jamaa kabalikiwa na mengi mungu amuone kweli 🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️😢😢😢😢😢😢😊
Leo me wa mwisho jamán nipen makopa❤❤❤❤❤ yangu
Leo mm ndio wa qwanz kutoka kenya so much love ❤ 😍 💖 ❣ ❤❤
Yaani Fetty ana maringo mpaka raha 😂😂😂❤
Shart la kunya sokon nalo gumu nyie 😢😢😢😢 c mubadili jaman lkn mkibadili haitaendelea😂😂😂😂😂bc ongeren ❤❤❤
nampenda sna mwalimu mgeni na nahuzunika sana shida iliyokuta kupitiya mwalim magesa😂😂😂😂😂
Hongera San baba joan nakuombea Kila La kheri ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Sijawahi comment kweli page hiiii ila kwa style hii ya mwalimu magesa na nadamu vick Dah nimechek San 😂😂😂anavyo jieleza magesa aty hilizi inakaa wapi kauwa San
Leka bhigende ibhindi bhiloza big up San baba joan you have new talent every day. imana ilakubhona bhatwaregize
Mwalimu mgeni bravoo,❤❤❤umecheza vyema nmejifunza mengi.
Daaah!! Sijawahi toa machozi kwa sababu ya movie. Ila kwa hii chozi halijazuilika 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Kazi safiii,,,,,,ila tatizo ni kuna mahali pajirudia kwa mazungumzo kati ya mwalim magesa na madam asha,,,,,check on that producer
🎉🎉🎉 nipo TANZANIA, Endelea kuelimisha jamii mwl mgen
😭😭😭aky Baba Joan mungu yupo,,,aky patronizer hiyo wimbo 😭😭😭
Mungu ambariki mtunzi wa stori hii na wote walio shiriki katika filamu Iko vizuri sana.
Kazi nzuri kwa Nasha na patronize kwa ukarimu
Baba Joan good job Bro👏👏👏👏👏🌹🌹🌹🌹🤝🤝💯💯
Mungu ni muweza wa vyote. Nimeguswa mno ns ujasiri wa huyo mwanafunzi msichana
HONGERA magesa kwa WIVU aaa hakika 😂😂😂😂😂😂 wataka mwenzako abaki chizi
Kazi nzuri sana 🎉🎉🎉 Baba Joan
Kazi mzuri sana ❤❤❤ tatizo muda ni mdogo angalau wekeni dakika 25
Baba Joan mungu hakusaidie shaa allah
Magesa lakn noma yup poa na uigizaj wak wanaomkubali gongen like
MR magesa unajua sn kuact ww n 🔥🔥🔥 fire, bg up sn Mr magesa.
Kaz nzuri sana baba Joan
vraiment je valide ce film c'est un film qui vient de me faire pleurer malgré mon âge
Hongera yako mwalimu kwa kazi nzuri
Leo wa Kwanza naombeni like zenu hata kumi tu jaman 😢
😂❤😂😂
Nataka vídeo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kwan we like zinakusaidiana nn we mwenye move?
Ningependa nipat no yako
Jaman baba Joan 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
For real partronaiz love mwalmu so much
Ukiwa mtu muzuri kazini usizanikwamba utapendwa nawenzako unatumikanao ukiwakazi zifanye wakawaidatu ju hautapendwa nawote ukiwamuchapakazivizuri asante mwalimu mugeni nanamwalimagesa kwamuchezohuo tumepatamengikutokakwentu bado nasibiri final
Kaz nzuri ❤❤❤❤ baba joan
Kwa majibu hayo ya mwl Magesa mbona jibu liko wazi tu😅😂😂
❤❤❤😂😂😂jomon story ni nzuri san
Mr Joan today you make me cry.
Mr Joan 6:41
jueni jina la mungu litukuzwe. Bwana atampigania.
Wewe uko na roho mbaya mwalimu magesa
Mwalim mgen anajua sana anakupaji
Amazing 👏 kazi nzuri sana ❤❤❤😊
Wivu ni mbaya sana
Good job.....tunajifunza mengi ❤
Kazi nzuri sana 🎉🎉
Mungu akubariki sana kwakweli umewaliza ingawa inatufundisha
Noma sana kaka hungejaribu basi kupiga moja tu na clam or steve
Bro nimependa sana moves zenu nawatakia Kila laheri
Daaa!!Ni nzuri japo inalizaa
Baba Joan uko juu hongera❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Daa 🥲🥲🥲🥲nimelia mimi🥲🥲🥲mwalimu mgeni kwelii hivi
Mwalimu makesa unaroho baya sana kitakuramba karibuni
Jamani mwalimu mgeni ananiliza
Vita huiwezi mwalimu mgeni hana baya.
❤❤❤ vizuri saana patronize
Daaah,,, huo moyo ndo unatakiwaaa
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Umetisha Baba Johan❤
Huyo mwalimu magesa anashangaza sana 😮
Kazi zuri sana❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hongera sana kwa kazi nzuri
Aki mimi nimtu kutoka kenya lakini hii mvi vile nimengalia machozi😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 jamn mwalim mgeni mpeni laik 10000
Kama umel❤movie hiii naombeni 5❤❤❤❤❤
pole sna mwalimu mgeni😂😂😂😂😂
duh! sa ndo hadi kaka mtu anye sokoni..!! 😮😯
Kazi nzuri
Mwalimu magesa unavaa uwusika wako vizuri sana big up bro