Msondo Ngoma Music Band Sumu Ya Ufukara Official Video

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 11

  • @joelnassari105
    @joelnassari105 7 ปีที่แล้ว +3

    Msondo ngoma baba ya Music. ..Pumzken kwa Amani Mwagwiji wa Msondo mliotangulia mbele ya haki ...R.I.P Tx Moshi William. ..R.I.P Gurumo

  • @RehemaAbdi-k1w
    @RehemaAbdi-k1w 15 วันที่ผ่านมา

    Daindond

  • @macherathomas6474
    @macherathomas6474 6 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna ajuae siri ya maisha mwenyezimungu ndie ajuae siri maisha,tujifunze kupitia kwa mzee wa saut ya zahabu karama maregusu.

  • @SurprisedCricket-gh4hj
    @SurprisedCricket-gh4hj 4 หลายเดือนก่อน

    Ni hatari hii nyimbo 😢

  • @rodrickchonde
    @rodrickchonde 2 ปีที่แล้ว

    Napata faraja sana kusikiliza muziki wenye maneno na uchezaji wenye maudhui, kulingana na dunia inavyokwenda.

  • @machelepatrick7116
    @machelepatrick7116 5 ปีที่แล้ว

    Nyimbo za zamani zilikuwa na maudhui tofauti na za siku hizi watu hujitungia tu ili mradi wapate pesa.

  • @ogetoj6245
    @ogetoj6245 2 ปีที่แล้ว

    Ufukara ni uvundo wa maisha. Mbele Wala nyuma ni nadri lakini zote wapitaji wa wakati. Laiti tupendane kwani Siri ya maisha ajuaye ni Maulana. Pata potea ndio mutindo. Dr. Ogeto International

  • @manywelemanywele7621
    @manywelemanywele7621 7 ปีที่แล้ว

    Wazee wa kazi

    • @macherathomas6474
      @macherathomas6474 6 ปีที่แล้ว +1

      Msondo kitu ya watu wazima,tujipen pole wadau wa msondo kwa kuwakosa magwiji hawa,Tx,momba,mahina,mbwembe na kamanda ngurumo,mngu awaweke pama peponi.

  • @HemedDalal
    @HemedDalal 11 หลายเดือนก่อน

    dhch

  • @allymonella1096
    @allymonella1096 6 ปีที่แล้ว

    Karama Regesu sauti 'ghali'