Mungu awbarik waimbaj kwa ujumbe mzuli endeleeni kuihubiri ijili ya kristo YESU kwa mataifa yote.ili ajapo YESU asibaki mtu nyuma sote tukaingie katika ufalme wa MUNGU maana Ufalme umekwa tayali kwa ajili yetu.MUNGU wabariki katika huduma yenu isonge Mbele.Amen
The lovely mum singing with sister Bukuku is a Mkuria / Omotende of Tanzania. I understand most words bcoz its like Kisii/ abagusii of Kenya language..Mkuria, Kisii and Maragoli were brothers and separated during migrations at KEROKA. Mkuria went further south even to Tanzania. Blessings for the good work for the two sisters.
Bonjour a tous vraiment cette musique me plait beaucoup,je narrive pas comprend cette langue c cool je suis senegalaise. que jesus vous fortifie gloire a Dieu toujour
Amen...kazi nzuri sana Bahati Bukuku na Penina...mimi niko Kenya 🇰🇪 sielewa maana ya maneno kwenye wimbo lakini nazidi kubarikiwa...nimeutazama wimbo huu mara saba
Sitobaki mimi🙅♀️,, Tumgunge mnene weito💃💃,, The moves of the two boys in white on the sand though 🥰🥰. I honestly cant get enough of this,,, barikiwenii Sighning in From Saudia.
Mama una uwezo mkubwa sana pamoja na neema.... Mimi ni mtumishi wa mungu kutoka Kenya sielewi hiyo lugha lakini Ndani mwangu Roho wa Bwana Ana Chemka sana na nahisi kuzama zaidi kiroho Kwa Maabudu mungu a kutende mema zadi Kueneza injili, Mtumishi Bahati Bukuku mungu akukumbuke asanteni Kwa Kazi Nzuri Amina
A great song there about the coming of the Lord .This song is a song given by the Holy Spirit to our mum Nyaisare. God bless you bug. The young dancers are fabulous - God bless you.
Hongera sana mama jeni, twende wote kwa baba mbinguni asiwepo wa kukosa. Barikiwa sana mama. Mimi mama mchungaji EAGT Keko machungwa. Wote tumeona na tumefurahia. Hauchoshi wimbo tunatamani tuendelee kuangalia... Barikiwa sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
For Pennina, Bukuku and your dancers you are singing and dancing to this from your inner heart, I mean you do it with passion. Too blessing. God continue to uplift you. Amen
Akajapo uju aikusyara. Ndagha gwakukaja kumwitu kumbeje kutukuju
Huu wimbo mzuri sana, umenibariki sana. Mimi ni mkenya sielewi mengine ya maneno unayosema lakini naipenda kazi hii!
Amina
Asant
Bahati Bukuku Wewe Mungu amekupa. Urembo mwingi sana sifa na utukufu wake yesu kristo Karama hiyo safii
Who is watching from Kenya 🇰🇪 ❤️
Sisi hawa, so nice. Tamu sana
I am watching from Kisumu City /Kenya 🇰🇪
Tuko huku
We are here
Me here from Vihiga
Hakuna mwenye atakubali kubakia dunia kabisa Mungu tusaidie
Hawa ni wakisii wa Tanzania kama wewe ni mkenya na unakubaliana nami gonga like .hII Lugha inafanana na kikisii ya Kenya
Asante sanaaaa
Kuria
I thought so too...but i was wrong..ni wakuria
Tanzania hakuna kabila la wakisii
@@dodwiedwin3944 😀😀😀
Wakuria mpo💃💃💃💃🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tupo
Tupo
Tupo kwa yesu tena tunakosaje
yea tuko kabisaa ka kishindo
Enokwi wetu tumughunge Safi sana bahati bukuku karibu kurya 💪
Safi kumukaribisha bahati
Wimbo Nzuri sana mona wetho
Amina
Mungu awbarik waimbaj kwa ujumbe mzuli endeleeni kuihubiri ijili ya kristo YESU kwa mataifa yote.ili ajapo YESU asibaki mtu nyuma sote tukaingie katika ufalme wa MUNGU maana Ufalme umekwa tayali kwa ajili yetu.MUNGU wabariki katika huduma yenu isonge Mbele.Amen
Asante sana ubarikiwe na wewe
Daah, bonge la collable Yan. Asanteni sana watumishi wa MUNGU
Amina
Kazi yenu ni njema sana,Yesu awabariki mno,mmenibariki sana
Asante
Musubhati weto mbuya ulingi ighasi ni inchiya kimwiii 💪
Mbuya
Kazi nzuri saana Nimebarikiwa kwakweli
Amina
Asante san
From 🇰🇪,likes zishuke,love the song.
Asante
@@peninanyaisare mama collabo zije
Nimebarikiwa sana,na uvumilivu umeshinda,nikucheza tuu,wakola buya mukungu wane.
Asante
What a bless song 👏👏adi malaika wakiwa mbinguni wanacheza🙌🏻🙌🏻
Amina
Director Banjiman noma saana
Hhhhhhh kwer
Aiseee mmi sikuelewa ila Mbarikiwe Sana watumishi wa Mungu love you mama bahati bukuku ft mama mgeni kwangu ila kwa bwana unajulikana 💕🔥🔥🕺🕺🕺🇰🇪🇰🇪
Haha kwer tunajulikana kwa mungu asante
@@peninanyaisare ubarikiwe mama ❤
Asant
Asante sana Dada mnatuonesha njia ya kwenda mbinguni kwa njia ya uimbaji tunasema asante
Aminaa
Barikiwa mtumishi wimbo mzuri yaan ni 🔥
Asante
Umurundi 🇧🇮🇧🇮arikuyiraba iyindirimbo iryosh atayitahura nkanj ampe like😃😃😃😃
Hhhhhhh
Asante
@@peninanyaisare nimeipenda saaanaa atakama sielewi
Hongera sana mama ubarikiwe kwa wimbo mzuri
Asante mwanangu
Bahati sasa, huyu mama yupo tofauti sana, Mungu akubariki
Asante saaaaana
@@peninanyaisare mama barikiwa sasa, sisi Watanzania tunakupenda, na tumejisikia vizuri.
The lovely mum singing with sister Bukuku is a Mkuria / Omotende of Tanzania. I understand most words bcoz its like Kisii/ abagusii of Kenya language..Mkuria, Kisii and Maragoli were brothers and separated during migrations at KEROKA. Mkuria went further south even to Tanzania. Blessings for the good work for the two sisters.
Thanks, be blessed.
I thought it's a kisii song
Wimbo mzr sana mungu akabaliki
Assnte
Umetuakilisha wakuria vizuri mama may God bless you watching from kenya.
Asante saaaan mwanangu
Amina
Wakulya mpooo
Asante
Tupooo
tupo kabisaa
Am here too from kenya
Wakuryaa mpo jamani
hotore tigahenokwi agongwe
Hamang'a morhaaa
Amina Mungu ni mwema
Amen nice one ❤
Ubarikiwe sana mamaangu siachi kuitazama❤❤
Nani atakubali kubaki? nani?....💃💃💃💃💃
Hakuna wakubak Amina saaan
Kindly translate, am just loving the voices. congratulations
Thanks
From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 big up mama bukuku,much ❤️❤️❤️😘
Asante
Bonjour a tous vraiment cette musique me plait beaucoup,je narrive pas comprend cette langue c cool je suis senegalaise. que jesus vous fortifie gloire a Dieu toujour
Ndio Maana Napenda Sana Songs Za Kikurya Zinavutia
Amina
Hhh kwer ubarikiwe
Nakupenda bure mama bakuku nigetamani collab na wewe jemeni.🇰🇪🇧🇭
Congratulations finally find a singer with a same name as mine 😌😌❤️❤️❤️😘😘 love from USA 🤲🏻🤲🏻🥰team #Penina
Amina
Asante
Heko kwako mama simama fanya Kasi ya Mungu unawe za usijidharau
Sielewi but I feel Good listening from kenya
HII NYIMBO NZURI SANA MAMA KEEP IT UP♥️
Amina
Asante sana
Amina
Ugweeeeeeeeeeeeeeee mweeeeee dady
Bahati Bukuku hongera kwakumsupport Mama
Ubarikiwe mwanangu
Asant
Amen...kazi nzuri sana Bahati Bukuku na Penina...mimi niko Kenya 🇰🇪 sielewa maana ya maneno kwenye wimbo lakini nazidi kubarikiwa...nimeutazama wimbo huu mara saba
Asante saaaan mungu akubariki
@@peninanyaisare Nashukuru sana 🙏🙏🙏
Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu
Amina
Aise omobhari umuya kweli mama tajitahidi bhokong'u
Asante
Hahhh amina
Tutampokea mungu angani #Kuryani bœ
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 from 🇰🇪 in 🇸🇴 watching
Wakora bhuya mosubhati waito
Mbuya
Wakulya 🇹🇿😘😘🙏💖
Ee wakulya
Kwl tyumtyukuze barikiwa san
Asante
Hongereni sana
Amen nimebarikiwa sana,natoka Kenya lakini napenda sana nyimbo zenu
Asante san
@@peninanyaisare tafadhali ujumbe huu umfikie
From 🇧🇷,though I can't understand but still like the song✊
Bahati bukuku Asante kwa kampan kubwa ambayo umempa mama
Nikweri nikubwa sana mungu usimsahau bahati bukuku
Through sielewe hiyo tribe but Dada bahati hunibariki na nyimbo zake sanaa
Sawa
Moto sana....from Kenya
Kazi nimeipenda kuliko kawaida saaaaafiiii saaana jamani
Asante saaaana
Asante
Waakurya tunaweza mungu akubailiki dada
Sitobaki mimi🙅♀️,,
Tumgunge mnene weito💃💃,,
The moves of the two boys in white on the sand though 🥰🥰.
I honestly cant get enough of this,,, barikiwenii
Sighning in From Saudia.
Asante
nakupenda sana bukuku from kenya
💃💃💃💃💃💃💃💃💃Wow tumugunge... Hata cjui maanake lkn nimeenda Lol
Lakini nimetafasili agalia Tena asante
Sounds like kikuria 🥰😍❤️ nice one
Asante ndugu yangu
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪from kenya more blessings
Asantee
Though can't understand the language,,, it's a wow song,,,
From Nairobi Kenya,,,Much love from Kenya🙏
Continue ministering the word of God 🙏
Amen
The so good
Mama una uwezo mkubwa sana pamoja na neema.... Mimi ni mtumishi wa mungu kutoka Kenya sielewi hiyo lugha lakini Ndani mwangu Roho wa Bwana Ana Chemka sana na nahisi kuzama zaidi kiroho Kwa Maabudu mungu a kutende mema zadi Kueneza injili, Mtumishi Bahati Bukuku mungu akukumbuke asanteni Kwa Kazi Nzuri Amina
Asante sana mtumishi
Amina penda bule ujumbe wa ck za mwisho
Asante saan
Amen 🙏 mungu awa Baliki from America 🇺🇸
Asante
Hapo sawa
@@peninanyaisare tttr
Amee
Balikiwe sana
dada angu kwa ulichokifanya kwa huyu mama mungu akutie nguvu na akupe yale yote umuombayo
Nashukulu
Hongera Sana jameni, hata Kama sielewi lugha yenyewe, wimbo umenibeba Sana, God bless you brethrens.
Baba yetu akija tutampokea, wanawake wabibi wote kwa pamoja
Wow! Wow! Ameen
Asante saaaasn
Aaaaaaaaaaaameeeeeeeeen kwa sana much love from Kenya in Saudia
Ameeeen
I don't understand the venacular but trust me I enjoy d song more than the natives❤❤😘😘
Amina
I don't underatand the language but I'm in love with this song may God keep blessing you ladies🙏🙏
Asante
Hongera sana Unakipaji kikubwa ndani yako akinogesha na dada Bahati mmeua walai🥰
Asante san
Beautiful blessing song....watching from kenya
A great song there about the coming of the Lord .This song is a song given by the Holy Spirit to our mum Nyaisare. God bless you bug. The young dancers are fabulous - God bless you.
Amina
Oooooh hallelujah nice songs watching from Dubai balikiwa i love you mama bahati i wish to meet you one time
Amin
Km imenishawishi iviii🙆🙆🙆 Hongera xn mamangu na kwa Banjiman kwa bonge mj la vidio mzee💪💪
Asante
Ongera mama kwa nyimbo yako nzuri
Amen kubwa MUNGU awabariki sana kwa nyimbo nzr
Luga gani hiyo jamani?hongera sana
Kuria
Bonge la Baraa
Hhhhhh asante
Sweet and blessing song
Hongera sana mama jeni, twende wote kwa baba mbinguni asiwepo wa kukosa. Barikiwa sana mama. Mimi mama mchungaji EAGT Keko machungwa. Wote tumeona na tumefurahia. Hauchoshi wimbo tunatamani tuendelee kuangalia... Barikiwa sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Asante
Hongera sana mamangu.....nmebarikiwa sana sana
Asante
Hongeeera saaana mamaang
Support 👏👏👏
Kwer
Bure tu bio dance niakipekee,God bless you all
Asante nashukuru sana
Nimeipenda Kazi yako sana tens zaidi,ongeza zaidi nakuombea uzidi kutoa nyingi
Asante ndugu nyangu
For Pennina, Bukuku and your dancers you are singing and dancing to this from your inner heart, I mean you do it with passion. Too blessing. God continue to uplift you.
Amen
Wao AMEEE
Amen
Wimbo mzuri sana
Asante
Mamangu bahati mungu akutie nguvu
Penina May the almighty God bless you abundantly. To Siz Bahati please release your new ulbum. I'm just waiting hapa Kisumu Kenya....
Good bahati my favorite mama
Upo vizuri Sana mama
Wow nice bahati wangu nice beautiful songs nani atabaki yesu we usiniashe kwenda Mbinguni
Wow this is beautiful can’t stop watching . Barikiwa sana mama mungu akubariki unapozidi kulitukuza jina lake .
Aminaa
So amazing God bless your ministry watching from Lebanon Beirut 🙏🙏🙏
Can't understand the song....OMG ....bt I really like I feel it's a good song 🙏🙏
Amina
@@peninanyaisare nataka COLLABO mama
@@Limmieofficial saw
@@peninanyaisare kindly text me what's please 0791996074.
Na Mungu akubariki.🙏🙏
@@Limmieofficial amin
Am from Kenya working in Saudi bt c elewi iyo lunga ni Tata, wooow nice
Kuria
Naomba siku moja nikutane na mwimbaji Bahati Bukuku jamani
Mungu awabaliki Sana Bahati Love so much
Asante
Best of all