Uko vizuri sana,tunaomba story za seal team 6,naamini kila atakayeona atafurahishwa sana,ukituletwa na picha Kama hii ya Konny hakika utatumaliza, nakushukuru sana kwa kuliboresha,imenoga mpaka nairudiarudia.
Jamani watanzania wenzangu. Pamoja na changamoto zilizopo katika nchi yetu tusiache kuiombea nchi yetu na taifa letu. Mungu akulinde tanzania yangu katika Jina la Yesu
Wasafi...mnatufurahisha sana Pia nina wazo jamali kuna kisa kimoja ambacho kipo arusha cha kijana mmoja marehemu aliyeitwaa nyokaa ukienda arusha...utaipata fulu story ni story moja ya kusisimua na inafudisha pia
Keep scrolling down you will see the comment you are looking for.. I am actually also looking for the same comment so let's scroll together.😂🤝🏾 Be gud listener 🙏
Hizi history ata shuleni hatukufunzwa..Jamal barikiwa sana kwa kutujuza mengi kuhusiana na mambo ya kale ya Dunia🤝
Professor Jamal wewe ni king wa story book tunajifunza mengi sana kupitia wewe🙏👏👍
Wakwanza Leo muzas bey apa naombeni like zenu
The story book 📚📖 kila ijumaa ❤😊👍🏻
Nimekua WA Kwanza,we real love you Jamal huboi na the story Book yetu, natizama nikiwa Helsinki Finland 🇫🇮🇫🇮🇫🇮🇫🇮
Kaka vipi nataka nije Finland tafadhali naomba namba yako ya whatsaap
@@advinofficial6570 karibu
Nenda ubarozi WA Finland Tanzania sasa unataka kwenda Finland unaomba namba inakusaidia NN? @@advinofficial6570
keep it up brother, we learn more from your stories
Nawakubali Sana wasafi munatufanya tujuwe mengi kama tuko wengi tunayo ikubali wasafi gonga like tujuwe the story book ni 💯💯💯💯💯
I really appreciate Professor Jamal. You're very smart 👌 big up
Nice 👌👌👌👌👌 beautiful ♥️♥️♥️♥️
Ok Shukran
🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥
❤❤@@baburashid3708
Nakupata professor loud n clear usichoke kutuelimisha na history za kale.we kiboko nategea nkiwa Qatar doha more love ❤❤❤❤
Jamal the King of Story ✈️✌️✈️
Nimechelewa naombeni like jmn😔😢
Hongereni sana wasafi kutujuza tusiyo yajua
Kama unamkubali jamal april gonga like hapa😅
Wa nane kulike gonga like gonga like twende pamoja wote km unamkubali @jamali april🎉🎉🎉❤
Nakukubar brooo ujawaiii kosea like apo
Uko vizuri sana,tunaomba story za seal team 6,naamini kila atakayeona atafurahishwa sana,ukituletwa na picha Kama hii ya Konny hakika utatumaliza, nakushukuru sana kwa kuliboresha,imenoga mpaka nairudiarudia.
Maeneo ya Marekani Kusini nakupata mbashara Jamal endelea kutupea the Story book❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Duh huyu gaidi ni legend....
Tulio sema mseveni ni dictator naomba tusamehewe kmbe kaitoa mbali uganda😢😢😢🙏🙏
Mi wakwanza😊
Mwenyezimungu atulinde sisi Tanzania 🇹🇿daima milele amin
Jamal The Best of All Time
Niko hapa wa kumi na moja 11 pongezi kwako kaka Jamal
I repeat who subscribed to this channel because of Jamal April professor
I passionately did
I’m number one
Jamal april ntakupa dada ❤🎉🎉
Wa Kwanzaa mm hapa leo
Yani M7 anahaki kukaa pka mwisho wa maisha yake wamemtesa sana kweli M7 ametoa Nchi ya Uganda Kwa wakora wakatili
Umeona eee kwa style hii wamwache tu aendelee kutwala aisee 😢
Kama unampenda uyu jamaa gonga like
Big up sana. Wasafi munatufahamisha mengi sana kupitia "The storyBook". Hongera sana Jamar kwa narration nzuri na yenye mvuto wa hali juu ❤❤
Joseph kony Mtu katiri Bado anapumua mpaka sasa, Haya Maisha Bado yanasiri kubwa sanaa
History, facts and logics that the story book will keep teaching us
jamali we ni noma na una IQ kubwa sana
Wa 19❤❤❤
hongera Kaka Kwa kutujuza ,hapa marekani nakupata vizuri Sana Leo nimejua mengi kupitia story book
Asante sana professor ❤❤❤
Wa kwanzaa
Jamani watanzania wenzangu. Pamoja na changamoto zilizopo katika nchi yetu tusiache kuiombea nchi yetu na taifa letu.
Mungu akulinde tanzania yangu katika Jina la Yesu
Aminaa
Mungu ibariki Africa 🙏🤲
More talented and creativity
Kazi safi Jamal SASA tuletee the story book ya idi Amin n the genocide ya Rwanda.
Zote hizo ashawahi kutoka tafuta tuu
Shukran Jamal kwa kunijuzaa ni sio ya Jua....😊😊🇰🇪🇰🇪
Ameen , kisa kizuri kabla ya story
big up Jamal 🫡🇰🇪💞💯
This man is really incredible at story narrating indeed.greetings from Ug 🇺🇬🇺🇬
Yaani toka Jamal arudi tena na nenepa mie asante sana kwarudi
😂😂😂umenenepa
The story book ibaki milele...!!
Tanzania ishukuru sana haikupitia haya mapito na msiombe yatokee mana ni zaidi ya mbaya
Mashaallah Mashaallah Maalimu Jamal
Upewe maua yako Kaka kwa ghalika la stoli 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Yan hizi makala zinatufungua Sana macho Yan..
Vraiment nakubali jamal saaanaa
Tupe story ya Burundi 🇧🇮 CNDD FDD vs FNL pleas🙏🏿
My idol @jamal april
Nakubali sana
Umetisha
Mwamba sana. professor jamal mustapha.
Wasafi T V nawakubali sana
Asante sana fundi
Please jamal naomba unisaidie sura halisi za malaika 😢
Hapo sawa prof Jamal....sasa tupe simulizi za Yasser Arafat, Benjamin Netanyahu, king Bokasa, Thomas Sankara, Grace Mugambe
Wasafi...mnatufurahisha sana
Pia nina wazo jamali kuna kisa kimoja ambacho kipo arusha cha kijana mmoja marehemu aliyeitwaa nyokaa ukienda arusha...utaipata fulu story ni story moja ya kusisimua na inafudisha pia
Naqbal hapo Professor Jamal🫴🎥
nishadunda wa kwanza😂😂piga thamps
Ooooh thamps 😢😢😢😂
🇧🇮 tunataka the story Book ❤❤❤❤
Welcome back bro I love your work from Kenya ❤❤
Mashallah❤❤
Mashalla tunajua mengi kuusu ww bro Mungu akupe umri mrefu ❤❤❤❤
Excellent reporting Jamal!
Good story book
Tuzidi kuziombea nchi zetu
🎉 good job
Ur the great
Keep scrolling down you will see the comment you are looking for..
I am actually also looking for the same comment so let's scroll together.😂🤝🏾
Be gud listener 🙏
Uko vizuri sana bro..... Unatupa elimu ndugu.... Naomba siku utuletee story ya mwanafalsafa Nicole Makavele...
Kazi nzuri mno Mh.Jamal, tunaomba uzungumzie vita ya 1972 na vita ya 1988, na 1993 YA NCHINI BURUNDI
Yesu akuokoe Jamal
Mola akulinde brother
Karibu
NAMBA MOJA JMANI LEO
Huyu kony n genius sanaa
Nakupata kutoka kenya ..jamal...heko kwa kazi mfuti
Attractive work 🎉🎉
Ahsante mh Prof Jamal
We jamaa n nomaa sanaaaaa yaan zipo story nying sana za huyu mtu ila ww unakuja kitofauti sanaaaaa
Kuna ajali ya meli ilitoka in south Korea at 16 April 2014 ningependa kufahamu mengi na wakutujuza ni wew professor please tuletee🙏🙏
The best of wasafi tv 🔥✌️
Big up jamal 🫡🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Naombeni hata likes mbili 2 😢
Umepata zaidi ata ya mbili 😊
Acha ushamba
L'es congolais vous êtes là svp laissez votre j'aime❤❤❤❤
On fire 🔥🔥
❤❤ nakubali professor Jamal
Daah huyu mwamba aliwatesa sanaa wana uganda 😂😂
Tanzania nchi yangu❤
Nimefatilia kbs,nakubali sana jamal, ila historia hii kama aijaisha ivi.
We like your story thank you so much brother🇿🇦🇧🇮
Kaka mungu akupe mwisho mwema
Jamal April plofesal nakupenda saaaaana kaka ❤
The story book 🥰🥰
Big up jamali jitahid ziwe kila week mbili walau usipotee sana
Hadithi kuntu kabisa mnyama huyu Joseph Konny
💯💯💯💯💯
Mr PROF. JAMAL SIKU IKIPENDEZA TUDONDOSHEE STORY BOOK YA MARTIN LUTHER KING 👑📌📌📌
Mbona ipo itafute