Being a home owner especially huku is something you should be proud of. Na vile I am happy for you! Also mimi ata wakiongeza Kindergeld siwezi zaa tena 😂.
Wewe endelea kuzaa wir haben genug kinder .Tembea pole pole kabla umalize twenty yrs hapo ujeremani uta ambia watu story zingine zenye azieleweki😂😂😂😂😂😂🤦🇰🇪🇩🇪
Ni mimi siko updated na your videos ama bona niko nyuma hivi 😂😂😂aki you've given us alot of mucene na hiyo time kidogo hivyo😂😂😂 wacha kuharibu contents wewe
Huko Ujerumani tunafika 2025 InshAllah. Now vile unasema I think ni poa a couple wapate watoi wakiwa Kenya then they move. Juu paying that money ya nannies seems supe-expensive for three years.
Maajabu ya Musa! Yaani pia Germany gari huibiwa? Maybe whoever sold you the car alibaki na copy then wakaikujia wakaenda kuuza in the East European countries. Pole sana 😢
Kuwa na watoto ni vizuri, but weeeh! mimi siwezi dhubutu kuongezea, watoto wengi ni balaa tupu utajikuta umewaste alot of your time ukiwalea usisahau wakati na masiku haimgonjei mtu, halafu hawa wenye hawatupendi rangi yetu nimafala hao ni wale watu hawawezi dhubutu kuenda kuishi nchi za nje kwa ajili hawajiamini ni waoga they won't make it, unajuwa waafrika tumepitia hard life tunaweza survive kwingi, lakini hawa wazungus bure kabisa tu kupayukapayuka humu nchini mwao, but are cowards!😂
@@b.3940 That's very true, hapo kwa kurun the goverment thumps up👍🏾👍🏾 to them, they don't steal ndoo kwa maana nchi zao zimesimama imara the system is working like it's supposed to be. Africa kwa ujumla iko under walafi inatawaliwa na wanadamu mfano wa hawa wanyama ambao wanajulikana kama fisi. Fisi hata kama tumboni mmejaa chakula that hawezi pumzi tena wala kutembea afadhali atapike au apasuke matumbo afe akingangangania more food instead ya kuwaachia wengineo ambao hawajala, our gov in Kenya has reached to that point.
I have never watched a very annoying TH-cam video. Thousands of unnecessary veering off the main topic, coughing, shouting, annoying background noise, a - nimefika the 10th minute nikahama 😂😂😂
Hallo Guys thank you all for always coming back to watch my videos. Like and feel free to share your opinion
Finland pia by 4pm ni usiku,depressing days of darkness are here again.
Being a home owner especially huku is something you should be proud of. Na vile I am happy for you! Also mimi ata wakiongeza Kindergeld siwezi zaa tena 😂.
Hapo kwa kuibiwa gari, it’s very scary, I think that’s the only thing Dubai ina stand out compared na Europe ama USA, I hope Insurance itasaidia.
I love your mindset.That despite benefits you still work hard.Ladies in diaspora,emulate this gal❤💪
Watching from Huku Dubai
Poleni Sana manze juu ya gari....hapa UK it's the order of the day especially high end cars are stolen daily.
Weee it was not easy aki
Hope you are safe following the Christmas market attack.
The story is so amazing 🤩🤩 like to visit Garmany one day one time thank you for sharing that amazing stories
I stay in Germany also,and i have 4boys,,so it depends on person
I like your content very much. Ist possible to use English more often for us non-Swahili speakers. Thank you and good job so far
Pole sana for the stolen Car 😮😢......it's shocking but hope itapatikana or insurance will help 🙏🏽
Wewe endelea kuzaa wir haben genug kinder .Tembea pole pole kabla umalize twenty yrs hapo ujeremani uta ambia watu story zingine zenye azieleweki😂😂😂😂😂😂🤦🇰🇪🇩🇪
Ni mimi siko updated na your videos ama bona niko nyuma hivi 😂😂😂aki you've given us alot of mucene na hiyo time kidogo hivyo😂😂😂 wacha kuharibu contents wewe
You look amazing Ruth, wueh yani hadi majuu gari inaibiwa kwa parking😮😮 anyways you have alot to tell us tuko hapa tunakungoja,
Huko Ujerumani tunafika 2025 InshAllah. Now vile unasema I think ni poa a couple wapate watoi wakiwa Kenya then they move. Juu paying that money ya nannies seems supe-expensive for three years.
Wakishafikisha 6 years Masomo hadi University ni free hakuna mambo ya students loan
Sasa Ma Long Time!!😂😂😂 Ujeru kunawaka moto hier WE Go for 2025
You are so interesting and real Ruth. Just got ur channel. J live it italy 10urs plus and still learnt alot from you. Bravoo.
Hiyo ni kweli kabisaa💯
I love your mindset girl. You are so cute.
Maajabu ya Musa! Yaani pia Germany gari huibiwa? Maybe whoever sold you the car alibaki na copy then wakaikujia wakaenda kuuza in the East European countries. Pole sana 😢
Nimeishi US for 26 years….one time nitatembea Germany. First time on this channel.
Ausbildung ya nursing ama IT specialist ndio iko poa in terms of job na pesa
thank you for these lively vids, we get lots of info
😂😂😂😂 du bist echt lustig ich habe früher in Niedersachsen gewohnt jetzt nicht mehr lakusalimia my dear
So "Kinder statt Inder" didn't work?Dein Auto soll irgendwo in Osteuropa auftauchen;etwa Polen,Ukraine oder Macedonien..
Hi my favorite youtuber❤
I love what you're sharing 😅
You can get in trouble for this you know!
Tumeskia vizuri sanausijari zaeni kabisa kenyans😅😅😅😅😅
As a nurse what do i require
Let me know educating kids in Germany n Europe at large ni stress considering you are a foreigner, do state in Germany pay you for giving birth.
Vlogs zako hubamba❤
Hata Canada huibwa sio majabu
Hizo tyre zina kelele mingi.
Sio tyre ni Ac ilikuwa on juu ya baridi 😂
50 euros cheap aki!
Good morning Ruth! I would to inquire some information from you. Can I get your e-mail so that we can schedule an online meeting. Thanks
Amen
Well they are happy now that they are young but later they will regrets it & it will be too late!!!!!
😅😅
Reason nini ??? 😮😮
I love ur presentations..vis it possible to get ur wats up namba?
You drive too fast first time in your chanero
Kuwa na watoto ni vizuri, but weeeh! mimi siwezi dhubutu kuongezea, watoto wengi ni balaa tupu utajikuta umewaste alot of your time ukiwalea usisahau wakati na masiku haimgonjei mtu, halafu hawa wenye hawatupendi rangi yetu nimafala hao ni wale watu hawawezi dhubutu kuenda kuishi nchi za nje kwa ajili hawajiamini ni waoga they won't make it, unajuwa waafrika tumepitia hard life tunaweza survive kwingi, lakini hawa wazungus bure kabisa tu kupayukapayuka humu nchini mwao, but are cowards!😂
But they know how to run government waheshimiwa wao si wezi kama wa Africa, kwanza Kenya.
@@b.3940 That's very true, hapo kwa kurun the goverment thumps up👍🏾👍🏾 to them, they don't steal ndoo kwa maana nchi zao zimesimama imara the system is working like it's supposed to be. Africa kwa ujumla iko under walafi inatawaliwa na wanadamu mfano wa hawa wanyama ambao wanajulikana kama fisi. Fisi hata kama tumboni mmejaa chakula that hawezi pumzi tena wala kutembea afadhali atapike au apasuke matumbo afe akingangangania more food instead ya kuwaachia wengineo ambao hawajala, our gov in Kenya has reached to that point.
I have never watched a very annoying TH-cam video. Thousands of unnecessary veering off the main topic, coughing, shouting, annoying background noise, a - nimefika the 10th minute nikahama 😂😂😂
Hey Ruth I like your videos will like to get some tips from you do you have what's up. So I can call you right now I'm in USA