UKWELI KUHUSU MAPEPO/MAJINI NA NAMNA YA KUYASHINDA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • Maelfu ya watu wamekuwa wakiteseka sana hali mbovu za Kiroho, Kimwili, Kiakili, Kihisia, Kiuchumi, Mahusiano na Kijamii. Kinachoshikitisha ni kwamba wengi hudhibiti na kutibu matokeo bila kujua chanzo cha tatizo ni nini. Ambapo mara nyingi ya matatizo hayo huwa ni shambulio kutoka ufalme wa giza.
    Katika vitabu vya Injili ya Mathayo 8:28-34; Marko 5:1-20; Luka 8:26-39. Tunamuona Yesu anaingia katika seti mpya ya hali isizowezekana. Anakutana na mtu mwenye maelfu ya mapepo. Maskini huyu, mwenye mapepo katika hali ya kukata tamaa, hawezi kujisaidia, na watu wanaomzunguka hawana uwezo wa kumsaidia pia. Hebu Mtazame Yesu namna anashughulika naye na kumpa Ushindi wa Maisha, kisha mruhusu Yesu atumie mbinu hizo hizo kuushinda ufalme wa giza.

ความคิดเห็น • 2

  • @EmmanuelFurahini
    @EmmanuelFurahini 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amen 🎉🎉

  • @KayegoEstate
    @KayegoEstate 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen ujumbe mzuri sana