Mbowe, BoniYai Wakacha Lissu Kukabidhiwa Ofisi, Lissu Asema

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ม.ค. 2025
  • Makala inahusu masuala mawili. La kwanza ni tukio la Mwenyekiti mpya wa Chadema Taifa Mheshimiwa Tundu Lissu kuwasili makao makuu ya chama hicho na kuanza rasmi majukumu yake. Hata hivyo, si Mwenyekiti wa zamani Mheshimiwa Freeman Mbowe wala Mwenyekiti wa chama hicho jimbo la Pwani Bwana Boni Yai waliojitokeza kwenye shughuli hiyo.
    Kadhalika, katika hotuba yake, pamoja na mambo mengine, Mheshimiwa Lissu aliongelea kuhusu mkinzano kati ya 'No Reform No Election' na ushiriki wa chama hicho kwenye uchaguzi mkuu.
    Ikukipendeza, tembelea jasusi.com kwa ajili ya albamu mpya ya Jasusi ambayo pia inapatikana Spotify, Apple Music, TH-cam Music, Amazon Music, Instagram, Facebook, TikTok, Snapchat, nk
    Pia unaweza kujipatia nakala yako ya kitabu bora kabisa cha kukusaidia kujikinga dhidi ya #WatuWasiojulikana, tembelea jasusi.com/mwo...

ความคิดเห็น •