Hii muvi imebeba kila mauzui yaan inafundisha sana yaani mapenzi ya dhati utapel maisha magumu uchawi na kilak2 kwakwel maua yenu na bila kendi mivi isinge noga km unaamin gonga like hapa 😂😂
Kwanzia mv imeanz niliiangalia sehem ambay cand atakapo jirekebisha nipale mam yake atakapokuf but tok nimeanz kend alifika mpk kutokuongea na mam yake Ila akujutia Ila saiv nangoj mwazan akif ndokend atajutiaa pia tumpe moyo kilamb kwa mazito yanayomsumbua next atakuw zuri maan maan shid ni boss nikichek kwaupand wakilamb Ila kwachiko ataanz na Tasha sidhan Kam bif ya chiko kilamb anaingia au nanyie mnaonaj jamn tujue kwa like❤
Mm nilitegemea chiko yamkute wakt zatiti ashaolew na ana mimba ya tasha ili aumie vzur jmn, na ww chiko😂 ko ulivyogundua hun kizazi ukaon zatiti nd anastahili kuvumilia hali yk ila ww ulishindw kumvumilia zatiti kw kuzan hazai loooh
Good Job All My Teams. Kazi Nduri Sana . Kai Umetumia Akili Yakiutuuzima Respect Bila shaka Ushamjua Chiko ndio Mwaribifu Mana Alishindwa Kumlea Zatiti Kwaiyo Akae kwa kutulia
Mama cend kalale acha n cend ipo siku hatakuja kutafuta wakati Kisha Chelewa subir vichenji vishe 😂😂 hatarud tu miguu juu kichwa chini cend cend cend 🔥🔥🔥 Hila Sania sio rafik mzuri
Mwanaume akiwa na mke kwa nyumba anaona hafai na akitoka ndio anajua alitupa kitu cha maana wanaume wenye munagalia hiki kipindi mujifuze kupitia chiko
Chico chico unajidagaj ww Kwa maan msr Tasha yup n mizimu ya kwao kibiti Hila zatiti uwumtendea aki wallah hata siku Moja kumpa mwezio k yake duuh ww zatiti upo makin kweli bibi zuuu bibi zuuu nn tatizo mbona wiki unazigu San au ndyo uzeee sasa jaman
Mama Tasha Mungu akubariki sana ❤❤ watoto wako watakuwa wanajivunia sana wewe kuwa mama yao 🎉🎉 Mamas tujifunze kuwasikiliza watoto wetu kabla ya kuwakaripia ili tuweze kujenga urafiki nao ili hata wakipata shida wasiogope ❤❤❤❤ hicho ndo nilichojifunza 🙏🙏🙏💗
Napia Chiko, Candy, Kamkonde, na Batuli, Mungu atawa ayibishaa tu, kwa sababu yeye ndie muweza wakila kitu,Mr Tasha na Zatiti wataowana tu,Candy na Kamkonde wataishia kulewa tu, Chiko ataishia kutowa pessa zinakufa bure mwisho aumbuke, na pia Mbumpanvu mwenzetu mkorea atapatikana Insha"Allah tunamuomba Mungu uko alopelekwa awe yupo salama, napia Kiramba wetu atarudi kua mwenye Furaha, Ninawapenda saaan 😘😘😘😘😘😘
Kai sio kweli .nivigum San mpumbavu mwezetu kuwa saw kabis Siri ya mtungi ajuwaye kiramba mchuzi juu u mpumbavu mwezake kiramba mchuzi anvyopenda kula lkn pia kwa mshinda sio poa chezea miguu mnne ww pole San kiramba mchuzi 😢😢 Hil hyoo bibi zuu upo wap jaman
Mm nikiwa na mwanaume x Wangu akijileta nimpiga nanga na chiko anastahili maan alijisahau kuwa mapungufu s ya 1 alijisahau kwasababu alipta mwanamke wanaume tkisema s watu kuamini na hawa mawifi siwapendi hata kidogo na wao ni chanzo kama kuzana rahisi tusinge umwa na uchungu mufahamu wanaume msitudhalilishe zatit mm nimepgia hyo mpka leo ctamani ndoa, nahivyo anavyokufuatilia chiko na mm hivyo hivyo ila cna Hbr nae msimamo Wangu uko kwa mwengine anaejua thamni yngu big up tsh na ztt
Tunao wapenda Kai na tash tujuan zatiti na zuu tujuan tunawaombea was hind h vita
Waa Kai uko na akili sana adi ushaa sikia kila kitu mpango WA chiko
🎉🎉🎉🎉🎉
Dah namuonea huruma rafik angu kilamba Pole Sana wanao ungana namm like hap
Muziwe wajoyo tunaolia na mbumbavu mwenzetu 😢😢😢 kidogo gonga 🤜🤛🤜🤛
Wowowowowoooo tuelimishen sana ndgu ztu
Mpumbavu mwenzetu pole
🤛
Luga Gani hi😅😅
Chapia mama
Wanay penda penzi la zatiti na Tasha laiki basi❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉❤❤
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
Yes💪💪 kai nimekukubali fanya kitu chiko haumbuke
Inaumiza sanaaaa kilamba huyu Leo anatoa chozi la uchungu 😅omba kuondoka SIO kuondokewa
Wanaopenda urafiki WA kweli WA Kai na Tasha kama Mimi gonga like hapa💪
Wangap watamci Jasmin jaman
Mimi ninaamini chiko hatoweza kumteka Tasha wa zatiti
Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 nimeingia mungu mukumbuke kilamba
Anayeamni kinga ya bbi kwa kai na zuu gong like
Sio rahisi kma unavyofikiria kai Kwa kilamba kuwa sawa
Nikweli
Kilamba pole sana ijapo co rahisi kiivo ila kuna namna jomon... Jasmine tulimzoweya sana 😥😥😥😥
Leo nimewah naomba like na mm
Kiramba unanifanya niliye mwenzako umesha kuwa uzuni mtuwaku chekesha 😢natamani kuliya tu namm😢wanao a mini tujuwana ❤❤❤
Chiko unatumia nguvu nyingi wenzio wanatumia akili! I love you Kai.
😊😊😊😊😊😊
Nipeni like Leo jamani nimekuwa wakwanzaaaaaaaaaaaaa kabisa musiwe wachoyo
Jamani kai umetumia magazijuto gani Hadi ukapata jibu CHIKO
Wasomi awoo jmn
@@MustyNgongo kwakweli cyo rahisi kaupata Hilo jibu
Wa 50 jamani watu mko chap Cleopatra hapa gonga like Kwa zatiti
Naombeni hata like 10 jaman 😂😂
Nmefatilia thanaa. Umu at ukoment nn aupewi like kwaiyo tuanglien too tusilalamike
Hii muvi imebeba kila mauzui yaan inafundisha sana yaani mapenzi ya dhati utapel maisha magumu uchawi na kilak2 kwakwel maua yenu na bila kendi mivi isinge noga km unaamin gonga like hapa 😂😂
Kabisa
Kumbe tupo wengi tunaokubali kendi
Mpaka Tasha kaitwa kipochi manyoya 😂😂😂
Kabisa
Kabisa
Hongera Kai kwa kazi nzuri umemsaidia saaana rafiki yako tasha
Nimewai kutoka zangu 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 naomba like ata 10 tu
Yaani mzazi n mzazi no matter the situation❤,, jinsi kendi anavyo treat mamake,, she is still caring about her❤,,🎉🎉
Watu wamekuwa na urafiki kama kai na tasha udungu ugedumu sana pogezi sana tasha na kai kufunza watu jinzi ya urafiki
Jaman kiramba kua na subra utampata mkeo
Wakwanza leo naombeni like hata 10 naombeni jamani
Kwanzia mv imeanz niliiangalia sehem ambay cand atakapo jirekebisha nipale mam yake atakapokuf but tok nimeanz kend alifika mpk kutokuongea na mam yake Ila akujutia Ila saiv nangoj mwazan akif ndokend atajutiaa pia tumpe moyo kilamb kwa mazito yanayomsumbua next atakuw zuri maan maan shid ni boss nikichek kwaupand wakilamb Ila kwachiko ataanz na Tasha sidhan Kam bif ya chiko kilamb anaingia au nanyie mnaonaj jamn tujue kwa like❤
Jaman me ni Mnyakyusa mwenzie na zuri jamn naombeni like zenu wapendwa katika bwana nawaombeni 😢❤
Zina kunenepesha au za nn😅😅😅😅you
Like za nn khumbav😏
Wa kwanza leo jamani team strong mpo ndani,,,yaani candy utahangaika
Jmn ki kiramba anaurumisha jmn Mungu amusaidia kiramba😢
Chikoooooo,,, ulitukana mamba ili hali bado hujavuka mto,,,muache zatiti wawatu
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
Naomben like namm pia
Kilamba jamn pole mkeo atarud mpumbavu mwenzangu atarud jamn usilie sana tumemiss ukitaj Kai bei uko na Raha jamn pole
Nipeni Iyo Nafasi Ya Jasimini Kma Amtojali Naimani Kilamba Ukwaju Atojutiya Kuwa Nami😂😂😂😂
Kwasha me ua napeana like bt me sijawai pewa aki nipeni leo pia❤
Leo nimewahi naomba like,woiyee mzee kiramba nakuonea huruma jameni wapi like zake ❤❤❤❤😢
Kai Bay,kai Bay,kai bay...kilamba😂😂😂 haki ya Mungu wanimaliza mm ila pole mpumbavu mwenzetu # burudani bila kikomo🎉🎉🎉🎉
😂😂😂Chiko et kipochi manyoya🤣🤣🤣kwaiyo Tasha ni ku...ma😂😂😂
Banaeeh labdha hajuw maana yake 😂😂
😂😂😂😂😂😊😊😊😊😊
🤣🤣🤣 ila nyie aya tuu
Wa pili asubui kabisa
From Mozambique 🇲🇿
Japo nimechelewa naki uliambiwa chelewa ufike nami nimefika naomba likes japo 15 tu nijue nko Na wenzangu
Jamani mwenzenu namuurumia mpumbavu mmoja,kapoteza mpumbavu mwenzake😢
Kai ni genius kashajua kila kitu kama unaamini gonga like apa
Mm nilitegemea chiko yamkute wakt zatiti ashaolew na ana mimba ya tasha ili aumie vzur jmn, na ww chiko😂 ko ulivyogundua hun kizazi ukaon zatiti nd anastahili kuvumilia hali yk ila ww ulishindw kumvumilia zatiti kw kuzan hazai loooh
Kweli kabisa umeongea vema
Waburundi hebuuu tuko wangapi humuu kirambaaaaa😢😢😢😢😢pole jamaniiii😢
Tupo ❤️❤️
Tupo❤❤❤
Tupo jamani
Tuko hapa🎉
Tupo mpenzi
Kai katika moja na mbili❤❤
Halafu kai yani umefanya kazi nzuri sana chiko ataumbuka tu hebu chukua maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Jaman mimi simpendi sania wanaoniunga mkono gonga lik za kwenda
Nimeipenda iyi jmani Kai umefenya vizur sn 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤🥰🥰🔥🔥♥️♥️💯
Good Job All My Teams. Kazi Nduri Sana . Kai Umetumia Akili Yakiutuuzima Respect Bila shaka Ushamjua Chiko ndio Mwaribifu Mana Alishindwa Kumlea Zatiti Kwaiyo Akae kwa kutulia
I love you kai for nothing bro keep it up.
Nipen bas hizo like namie mana nimelia kilamba alipokua analia 😭😭
Mama cend kalale acha n cend ipo siku hatakuja kutafuta wakati Kisha Chelewa subir vichenji vishe 😂😂 hatarud tu miguu juu kichwa chini cend cend cend 🔥🔥🔥 Hila Sania sio rafik mzuri
Tunatakiwa kuwa makini sana na uchaguzi wa marafiki
@@maria5514-u2g San my
Tena sana
@@MalkaNinik yaan Kuna Cha kujifunz wallah Tena kweny hz movie cend kiboko
Bora ata candy anakwao je huyu sania ataenda wap vichenj vikiisha😂😂😂
Hello na mm Leo nimewahi kilamba ukwaju kula ww mwenzio Kenda kusoma
Kutekwa kwa Jasmine kunahusika vipi na zatiti, hpo haikosi kua kendi, alfu napenda urafiki wa kai na Tasha, udungu ni kufaana kweli na si kufanana🎉
Chiko chiko chiko Kaka wewe mungu anakuona ndizi inamenywa ndio inaliwa wewe ukaamua Kula namaganda bado unanitafuta mchawi wako kumbe mchawi niwewe mwenyewe zatiti humpati kakojoe ulale
Toka Nimeanza Kuufuatilia Mchezo Huu Mr tasha Sijawai Kumuona Yuko kitandan Leo ndio moja 😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣mm pia
🤣🤣🤣🤣jmniii
Chezea mahaba ya zatiti wewee
Atakaaje kitandan angali hakuwa na bebe😂😂😂😂😂😂😂
Shida scene moja mnachukua mda mrefu Sanaa
Kaamae n full move😮
Jaman wenzetu wanaenda kuwandaman aandamano ya amani 😢😢😢😢😢😢😢😢sisi tunapambana na house girl 😅
Jasmine tuna taka arudi 😂😂😂😂😂
😅😅😅😂😂😂😂
wa kwanza kenya naombeni like ata moja❤❤
Kilamba msaidieni anatia huruma😢
Kiramba mkewe ameondoka kwenye muvi kabsaa ko hatorud tena jana nliona tangazo fb
@@CesiliaStephano-p7t Kuna mbadala wake itakuwa hujamuona
Hapana kama tungeambiwa amefariki hapo ndio hatunge muona kwa movie tena ila tutamuona@@CesiliaStephano-p7t
Wakwanza mimi nahomba like please 🙏
weee una homba gaii
😂😂😂😂😂@@Viviano-z6i
😂😂😂😂😂@@Viviano-z6i
😂😂😂😂😂😂😂et wahomba
Hapà kutekwa kwa jasmine ni candi ndo maovu anayooangia zuu yasilipuke juu kaleta batuli kwa kai😢
❤❤❤yani nyiye watatu Kai Kilamba na Mr Tasha ulafikiwenu niwakweli i like it
Eee Mungu msaidie mpumbavu ameshindwa had kula jaman 😂😂😂😂😂
Na anavyopenda kula😢
@@sesiliahussein7774 balaaaa kwisha habar yake
Mwanaume akiwa na mke kwa nyumba anaona hafai na akitoka ndio anajua alitupa kitu cha maana wanaume wenye munagalia hiki kipindi mujifuze kupitia chiko
Yaan nyie kuomba like tu kuwaliki wengineee aaaaah
Watu wamejaa yaan hata chai sijanywa jamn 🎉🎉🎉🎉
Eti kipochi manyoa😂😂😂😂😂utaumwa na dawa hakuna 😅😅😅tsulia chiko
Huwa wanasema kupoteza kazi sio kazi ila kupata kazi ni kazi
Chiko ndio anaregreat
Jamani hizi like munapelika wapi ama munauza munabooh 😏😏saa zote ati nipee like kwan unalazimeshwa kuwatch hii house girl 🙄
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@JescaLoi-h4s😂😂😂😂😂 wanabooh kweli
😂😂😂
@@irinemmasy8387 🤣🤣🤣🤣kila siku ati nipee like wananikela kweli 😏😏😏
Kaz nzur San wapenda WA house girl tunawapend tunapat Ving San vya kujifunza asanten tunajifuanza meng San busati TV asanten san tunawapenda
Jaman mmesema Jasmin kaenda kusoma sasa mnaendlea kunung'unika nn c kilamba awe na mwanamke uyo aliebadala ya Jasmin tunachoka sasa
Swal la uzushi likes zinasaidia Nini
❤❤❤❤❤ wa Kwanza naombeni like 😢
Jamani Chiko 😅kwaio Mr Tasha wetu leo kawa kipochi manyoya etieeee😅
A. K. A kipochi kuma
😅😅😅Chiko akili zake yuazijua mwenyewe
@RachealMashamba alfu kakazanaa kweriii kipoch manyoya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Pongezi kai kwa hilo 💪👏
Jaman chuki ety mnashindwa kukipata hiki kipoch manyoya😂😂😂😂😂😂😂😂😂
nkumbukeni namm kw like japo tano 2
Leo nimewahi wa kwanza nipeni liki 😅❤
Guys kend akitoka naacha kuangalia nakupenda kend dram Queen like gigy😊😊
Ata nn
Ata mm
Mh wa hovyo sana huyoo mdada😏😏😏
Chico chico unajidagaj ww Kwa maan msr Tasha yup n mizimu ya kwao kibiti Hila zatiti uwumtendea aki wallah hata siku Moja kumpa mwezio k yake duuh ww zatiti upo makin kweli bibi zuuu bibi zuuu nn tatizo mbona wiki unazigu San au ndyo uzeee sasa jaman
Wa kwanza Leo jamani nipeni likes
Utekwaji wa Jasmin ausiki chiko tunao Amin boss wa Kai ndo atakuwa anahusika gonga like
Kilamba pole sana inaumiza sana ukipoteza unacho kipenda nigutoe wasi wasi mupumbavu mwenzio atarudi tu muda sio mulefu inshallah ❤❤❤
Jman gonga Like kwa zatiti
Kai beri nitafurahi San ukimkig Mr Tasha na balaa la chiko ili tu atuachie zatiti wetu tufurahiy ndoa 🎉🎉🎉🎉🎉
Jaman hii part mmeni😢😢😢😢sna kwa yliojirii na yajayo yaan fire 🔥 juu ya 🔥
Kwan hamuendagi kazin jamn dkka 12 tu mshaa jaa hamna hata nafasi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Huko huko kazin tunaangalia Jana kidog nifukuzwe kazi
Kuwa makini jmn usifutwe kazi bn🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😊😊😊😊😊😊😊😊😊❤❤❤❤❤❤❤❤❤@@MancerNkya
Jamani hata like moja tuu naombeni mnisaidie make tangu nianze season 1 sijawahi pata like nawapenda jaman ❤❤❤❤❤❤❤
Mama Tasha Mungu akubariki sana ❤❤ watoto wako watakuwa wanajivunia sana wewe kuwa mama yao 🎉🎉
Mamas tujifunze kuwasikiliza watoto wetu kabla ya kuwakaripia ili tuweze kujenga urafiki nao ili hata wakipata shida wasiogope ❤❤❤❤ hicho ndo nilichojifunza 🙏🙏🙏💗
Nawapenda sana mama candy na mama tasha 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@@Orenj-l8d yaan kwakwel Mama Candy anateseka na mtoto ila bado upendo uko palepale
Hongera Kibendu. Wewe ni kijana mwenye utu sana. Endelea hivyo hivyo usiishie kwenye usanii tu.
BUSATI TV, ninawaombea kwa Mungu muendeleye mbele siku zote, mzidi kusonga mbele. 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Kwan hizi like mtu akipewa ndio hatii Tena mb jamani 😅😅😅😅
Hata sielew make wanaomba like adi wanaboa
Jamani uyo JASMIN si apatikane tu hata akiletwa mwengine.,🪛🔨🔨tumechoka vilio vya mpumbavu mwenzangu 😢🪛🔨
Mashalaah nawapenda sana
Napia Chiko, Candy, Kamkonde, na Batuli, Mungu atawa ayibishaa tu, kwa sababu yeye ndie muweza wakila kitu,Mr Tasha na Zatiti wataowana tu,Candy na Kamkonde wataishia kulewa tu, Chiko ataishia kutowa pessa zinakufa bure mwisho aumbuke, na pia Mbumpanvu mwenzetu mkorea atapatikana Insha"Allah tunamuomba Mungu uko alopelekwa awe yupo salama, napia Kiramba wetu atarudi kua mwenye Furaha, Ninawapenda saaan 😘😘😘😘😘😘
Kai sio kweli .nivigum San mpumbavu mwezetu kuwa saw kabis Siri ya mtungi ajuwaye kiramba mchuzi juu u mpumbavu mwezake kiramba mchuzi anvyopenda kula lkn pia kwa mshinda sio poa chezea miguu mnne ww pole San kiramba mchuzi 😢😢 Hil hyoo bibi zuu upo wap jaman
Hongera yaani kila siku mambo yanazidi kuwa moto🎉🎉🎉❤