MAMBO YA KUFAHAMU ENDAPO UTAIPATA RAMADHANI HII YA 2023 || SHEIKH OTHMAN MAALIM || MAWAIDHA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- Ukumbusho muhimu kwa waumini katika kuelekea kwenye mwezi mtukufu wa Ramadhani. Fahamu fadhila na lengo haswa la wewe kupewa fursa nyengine ya kuupata mwezi huu wa kukithiri ibada. Mawaidha ya Sheikh Othman Maalim
Follow Us On:
FACEBOOK:
/ aqonlinetv
INSTAGRAM:
....
TWITTER:
/ aqonlinetv
WHATSAPP:
chat.whatsapp.....
TIKTOK:
vm.tiktok.com/...
TELEGRAM:
t.me/aqonlinetv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2023 Aq Online Tv. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
**********
Video credit:
•Said Salim
•BOS (Blue OX Studio)
Original Source: • FADHILA ZA RAMADHAN..O...
Usikose kuSubscribe ndugu Muislamu ❤
ya Allah nawatakiya wa slam wote mwezi njema mtukufu wa ramazani
Allhamdulillha nikwamapenzi Yaallha kufika mwezi uu mtukufu walamadhani Amin
Mashaalah mwenyez mng akupe umri mrefu sheikh wetu
Mashalla kua usiah mzuri,ambayo uleheta shangamo kueye dini ya kisilam.
Yaraby inshallah atuongoze na atujalie na Imani inshallah
Kuna mwengine hawakufika mwezi huu lakini Kwa uwezo wa Allah Tabarakahu wataala umefika.....mshukuru Mola wako mlezi umeuona tena mara nyengine...... Alhamdulillah
Asante shekhe
Jazzakallahu khayran kwa ukumbusho sheikh wetu Allaah akuhifadhi ww na family yako na mashekhe we2 wote
Mashaallah ALLAH akuhifadhi akujalie umri mrefu pamoja na afya njema na amali njema shekhe wetu
Ameen yaarabbi 👏 sote ALLAH atupe umri mrefu
Allah akuja kauli thabit
🙏🙏
Ameen yaa Rabbil Allamin 🤲
AMEEN
Shukurn Sana mwalimu wetu Allah akusimamia kwakila hatuwa Amin 🤲🙏
Nawatakia RAMADHAN NJEMA waislam wooooteeee ulimwengu mzima,ALLAH atukubalie SWAUM zetu...Aaaaaaaaaammmmmmeeeeeeeennnnn... INSHAALLAH
Ee mwenyezi mungu,tuepushe n maovu ya Dunia tuwe miongoni mwa prophet Wetu Muhammad SAW inshaallah
Allah tujaalie tuipate ramadhan na miezi hiyo mengine....atusameh dhambi zenye tumetenda na twaendelea kutenda amin thumma Amin
Ameen Thuma Ameen 🤲
Amin ya Rabby
،shukran shekhe othumani.Allah amekulita salama insha'Allah.Allah kurudishe salama nakulipe kherizako duniyani na akhera
Masha allah shekhe allah akujalie mwisho mwema kwa sote amin
MashaAllah shukran kwa ujumbe wako mzuri❤
MA SHA ALLAH SHEIKH UTHMAN MAALIM
EWE MOLA UTUJAALIYE MWISHO MWEMA ALLAHUMMA AMIIN.
Allahummah ameen ya rabb🙏
Yah allah tuhalie kufika mwezi mtukufu salama na tuweze maliza salama 🙏🙏🌙✨
Amina aminaa shekhee
Shukran ya shehe ❤
yarabi tunashukuru kwa kutufikisha mwezi mtukufu wa ramadhan ammmin
15:45 mung akubarik🙏🙏🙏🙏❤❤
mashaAllah 🙏Tabaarakallah Allah atuhifadhi na matendo machafu ktk mwezi huu mtukufu wa Ramadan🙏🙏 RAMADHAN 🌙 KAREEM 🌙💫
Allah akupe mazuri yaduniani akuepushe namabaa yadunia sheh tunakupenda sana
Mashaallah Allah atujaalia saum njema ramadhan kareem
Allah atujalie minal ladhina yastamiua kaula tuwe miongoni katika waja wema wenye kukubaliwa swala na swaumu zetu .
Mashallah shkuru kwa mawaid mazuri
Ishallha tunakuomba mwezi mungu utufikishe mwezi mtukufu🙏
Ya Allah tufikishe mwezi mtukufu wa Ramadhani pia namiyezi mingine mingi ijayo napia tupokelee funga zetu pia tuajaalie malipo mema pia tujaalie tushikamane na ibaada Amiiin Amiin Amiin ya rabil, aalamin
Yarab tujaalie mwisho wema🤲🤲
Ishallah ❤❤❤❤
Mashallah tabaraka llah 🥰 Shukran sana ❤❤
Ma Sha Allah
Sheikh ni nge omba pepo wala singe sita maana hiyo ni nafasi haipatikani nadra sana mashallah
Mashallah alah barik
Allah tujalie uzima tufikishe mwezi. Mtukufu wa ramadhani
Allahumma Amiiyn. Baraka Allahu fiiQ.
Nigechagua kufufuliwa n mtume Muhammad S.A.W kesho peponi
Mungu akuhifadhi fi dunia hasana wafir akhera hasana
Yarabb tunakuomba utujalie Atufikishe Salam ktk mwezi mtukufu wa ramadhani Na utujubarie Na toba zetu
MashaAllah MashaAllah Allah akujaalie kila la kheri Shukran yaa sheikh kwa kutuelimisha in shaa Allah
Shukran jazakah llah
Ma Sha Allah Tabaarakallah Akuhifadhi mola na Mashekh zetu wengine waaminifu🤝🤝🤝🤝🤝
In shallah Allah atujalie uzima tuipate ramadhani sheikh Allah ana mahali pako kesho pema amekuweke wala sio sisi binadamu tunao bashiria waja wenzetu ila dua zetu in shallah ziwe kabul kwako na jamii Islam
MashaAllah shukran
Amiin ya rabbi
Mungu hakupatie mwisho malefu utupe mawaidha
Asante sana
Aaalllahtufikishe ramadhAni utupe mwisho mwema
Inshallah tufike Ramadhani tufinge na iwe maqbul
Allahu akbar!!
Alhamdulilhah
mashaAllah nimekuelewa sana sheikh Allah akuzudishie ummri
MUNGU atufikisha Ramadhan ijayo
Inshaallah tunakuombea mwisho mwema shekh☪️🖊️
Amin
Alihamudulilah tunashukuru Alaah kwakila hali Yarabi tunaomba tukubaliwe miogoni mwaja wema
Yarabi tupe uzima tuweze kufikia mwezi mtukufu wa ramadhan 🙏🙏🙏🙏
Amiiiin
Amin inshallah
Ya Allah atufikishe salama inshaallah na atujalie mwisho mwema
Allah akuhidhi sheikh wetu na Allah atufikishe kwenye mwezi mtukufu wa Ramadhan soote InshaAllah
Allahumma Balighna Ramadan 🙏
Allahumma Amiin
Aamin yarbilaamiin
Mungu pokea funga zetu inshaallah
Mashallah Allah akubariki shekhe 🙏🙏
Allahuma jaalin
Ewe Allah tufiksh twz kufunga ramadhani 🪴🥰🤗 jazakumllahu kw ukumbsho🙏🙏🙏🌙🌃🌠
Ya rabbi tujalie tuwe miongoni mwa hayo makundi matatu ambao wakiomba Dua ni maqbul 🙏🙏
Mashaallah Allah akupe fi duniya hasanah wafil akhiratul hasanah
Tunamuomba ALLAH atufikishe mwezi wa ramadhani. Na atujaalie tufunge kwa amani. Na atupokelee swaumu zetu, swala zetu na ibada zetu zoote. ❤️
Amiin thummah amiin
Amiin yareeb
Mw, mungu atujalie mema mwezi wa Ramadhan
Mashallah Mashallah allah atuwezeshe kuyafata tuliyoyasikia❤❤
Yarabi tufikishe mwezi wko w ramadhani n utupe nguvu ishallah
InshaaAllah amin
Aamina Yarabbi kwa sote isilama shukran sheikh jazaka Llahu l Kheir.
MASHAALLAH 🙏🙏🙏 sheikh uthuman maalim mawaidha yako wallahi nayapata na naomba MUNGU atujaalie Inshaallah tuyazingatie masharti ya RAMADHAN na funga zetu ziwe zenye kupokelewa bila hofu na Inshaallah kheir tuipate Ramadhan ya mwaka huu
Allahummah ameen ya rabbi 🙏
❤❤❤
Yarabi tufikishe ktk mwezi mtukufu wa ramadhani waisilamu wote ulimwengu tupate mfungo mwema wa ramadhani Ameen
Allah atuepushe na mambo mabaya katika mwezi huu mtukufu wa ramadhani.....na pia Allah (S.W) insha Allah atujalie tuwe watu mwema katika mwezi huu wa ramadhani
Shukran Jazzaka Allah Kheir...Allah atujaalie kufikia mwezi wa Ramadan,hali yakuwa radhi nasi🤲🏼
Amiin yaa Rabbal Ng'aalamiin
Yaa ALLAH atujaalie kuufikia utukufu wa Mwezi Ramadhani. Tumuombe msamaha hali inatisha dunia inatupa mkono (haituhitaji tena imetuchoka ya RABI tunaomba tusamehe ummat MUHAMMAD.
Inshaallah.
Allah atufikishe tukiwa na afya njema
Allah atufikishe mwezi mtukufu wa Ramadhan
BarakaAllaah feelakum
Asante Mungu akupe nguv n afya njema uzdi kutuelimisha INSHAALLAH
Yarabi tufikishe ktk Mwezi mtukufu wa Ramadhani Ammmmmin
Amiin
Amiin
Ameen yaarabbi
amiin
Ameen yarab ❤
Allah atuwezeshe kufika katika mwezi mtukufu wa ramadhan.nawalo tangulia mbele za haki Allah awatilie mwangaza katika makaburi yao
Amiin
🙏🙏🙏
Amiin
Amiin Allahumma amiin
Amiiin
Shukran Jazzaka Allah Kheir. Allah atujaalie kufikia mwezi wa Ramadan
Yarabi tuajalie tupate kuona mwrzi mtukufu inshallah
Inshallah
Huyu sheikh nampenda saana. Mawaidha yake ni mazuri saana. Namuomba ALLAH amlinde na ampe umri mrefu Yaarab. 🤲💕🇴🇲
Amin ya Rabby ukiskiza mawaidha yake kama umefunga moyo watulia baridi mashallah Allah atekil afiya Inshallah
Alhamdullilah twashukuru kwa kufika mwezi tukufu wa ramadhan
shekhe nakupenda sana mm naitwa sadick inshaallah siku moja uje geita msikiti wa ijumaa
Allah tujalie mwisho mwema
Inshallah
Alhamdulillah Alhamdulillah Alhamdulillah
Nakupenda kwa ajili ya allah, allah awape umli mlefu mashekhe wetu
Allahumma balighna shahra ramadan
Maa shaa Allah shukran cheh wetu Allah akulipe kila la kheri
Mungu atuondoshee maradhi hayo ya dhurmat.
Mashallah! Shukrani kwa Chakula hichi cha Ubongo Sheikh Wetu. Allah, akulinde na kila aina ya shari🤲 Na sisi hadhira yako Allah, atupe wepesi wa kufahamu na kuofanyia kazi Elimu hii muhimu. Amiin🤲
Ishanllah mung atuwek tuiyo ramadhn
Masha Allah asante kwa ukumbusho