ROASTING NDARO VS LEONARDO BONGO MOVIE VS BONGO FLEVA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 29 ต.ค. 2022
- #chekatu #standupcomedy #Swahili #Coymzungu #diamondplatnumz #jolmaster #dogosele #comedy #comedyshow #comedyvideo #standupcomedy #comedy #comedia #comedian #comeback #comedyshorts #comedian
- ตลก
Ndaro na Leonard zote mashine za kazi.... Nawapenda mno🤣
Au sio
Kwakweli Leonardo amn ambaye anamuweza nihatali Sana nakukubali leo
Yaan leornado ukimuona anavyokaaga kwa utulivu kichwa kainama chin unawez jua ni genius flan ivi kumbe anawaz vituko😅
Jamaa anajua sana
Ni msomi kweli huyo
Yeah. Bwana mdogo yuko safi.@@emmanuelmakaya7604
Ni engineer huyo kasom kwl
Ausio
😂😂😂😂Nimecheka kifara sana leo ila ndalo ulikuwa unasoma apo mwenzio alikuwa anatoa apo apo kakuzidi uwezo ila mnajuwa kuchekesha 🎉🎉🎉🎉🎉
Leonardo Kwa Standup Uwa Ahanaga mpinzani🙌🙌
Alikaa kwa kipotoshi
@@ilomogold1715leonardo ni mwandishi mzuri sana!ila kwenye uwasilishaji nadhani eliud ni mkali sana..
Eliudi marda baby
humjui mc madevu ww
Hii ndio maan halisi ya TABASAM 🤣🤣🤣 endelevu
Ahahaha.....Leonardo huwa anajua sana huyu fala daaah.😀
Daah nawakubali sana mana wote wawili vichwa vibovu mmetishaaaaa😆😆😃😃
Leonardo is very smart and funny in case unajua comedy
Mno.
Jamaa yuko smart.
Leonardo hizi Roast huwa unaua sana 👏🏻
Leonardo sijawahi kuona 😂😂
Kuna yule NYANDA KABUNDI Mzee was Ogopa no hatari asaiv anaigiza na akina Brother K😅😅😅
Leonardo Ni mwamba Sana🤣
Ndaro unachekesh had unaeshindan nae mwenyew nae anachek
Ndaro boy wa makwetu 🔥
a comedian from kenya i love that thing your doing big up here kenya
We si hip hop mwanetu😁🙌
Right kwenye uigizaji ndo kila mtu ila musician hakuna atakaejiweka music ni kipaji
Nawashauri wapunguze bangi 😃😃😃😃
Msenge wew
@@rajabuabubakar411 we unalo?acha shobo
Broo na hisii ninakituu katika comedy lakin sijui nianzee vipii broo
Leonard 😂😂😂
Leonardo vs Ndaro (the best duo in cheka tu)
Ndaro amechagua upande wa bongo movie sabab nae ana vi-clip vyake TH-cam, imagine yeye angekuwa anaiponda bongo movie
1
Ndaroooooo
1@@godasisoni9284
Anaiigiza move iweje aiponde
Leonardo msenge sana piga kazi acha usenge wew bado bwa mdogo sana ndaro umuwezi kichochote vile acha ushamba
Kizazi Sana🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 nakubali cheka
Leornad is fireeeee
Ndaro mashine ya kazi hakika kwa kuchekesha nomaa
Kwaiyo hiyo juzi uliangalia movie ngapi😅😅😅
Saboti kwenu wote brothers 😂❤❤❤
kwakofia hiyooo Ndaloooo mmmh sijuiii
Both are very funny but Leo is bad ass
Aaaaaaaa leonaldo mkal
Muinguliano wa hawa jamaa umetulia kweli
Leonardo wee your are the best🙏🙏🙏
Ndalooooo the best comedy 😂😂😂
T
Watu wa serikali tuaruhusiwa kuwa taja😂
Leonardo the best 😂🎉
Mbona siku hizi hamuoneshi wateja kma zamani au kma Wanavyofanya wenzenu Kenya 🇰🇪
Bwana Leonardo umesahau kitu broo,,,bongo movie wanatuhitaji Sana adi kwenye background sound lazima usikie ngoma zetu😂😂😂
hata nyie mnawaitaji kwenye video zenu wawe ma video queen au video king au wawe ma director
Eti dada kasema ongea kiswahili wakati kingereza chenyewe chakawahida tu😂
Msenge anajiskia sana no wonder ndo mana wanasema ni choko 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 ndaro u'r so funny aisee
Dah nime injoy sio poa
Ndalooooo 👏👏👏👏👏😂😂😂😂😂
Et watu waserikali tunaruhusu wa kuwa taja, mmmmh, dogo angalia shauli yako
Leo and ndaro .... Makin sana ✊✊
Hahahahahaha navyo penda cheka tu umenigusa penyewe
Ndaro and leonaldo the best😅😅😅😅😅😅
Hhhh ndalo jameni puwa linanini😅😅
Ndaroo sauti yake tu hoi😂😂
Naleo tena🤣🤣🤣
Adi Nmecheka kwa sauti..🙄🙄
Yeah for sure wanajua sana kutunga comedy script lakin naona wanasoma kwenye karatasi hii sio sawa Kwenye industry saiz
Daaaah ndaro is the baddest
Ndoroooooooo unawez your a👹 umetixh bab i❤ u xo murch💞💓🤜🤛
Leonardo he is so funny 😂😂😂
Leonardo umetishaaa
Ndaro alikua namba 6 ila ndo best saana saiiv
Lazima uongee kiingereza au kuonesha kua umesoma
Best duet😂😂🙌
Ndaroooo😂😂😂😂
....Hahahahaha hawa jamaa ukitaka kuwakodisha ili waje ukiwa na hall upange show kama kenya ni how much???
Leonard always the best
Unajua ucheshi leonard the best
Sana bro 😂😂😂
real😂😂
The best leonardo
Leonard for the life
unamsema harmonize wewe 😂😂😂Ndarob
😅😅😅😅 Noma Sana.!!!
Ndaro umepigwa apooo😁😅🤣😂😂 mwamba umemtangazaa uyoo nomaa
Leonaldo we ni kichwa afu unabusara sana
😂😂😂 big up sana Leonard
sema Leonard live kafanan na lango
Ni kweli kabisa kkkk
Ndugu naombeni
10 subscribe tu
Big UP BROTHER 💙
Bro mpeni ushauri boss wenu coy kizungu chake kinatudharirisha watanzania azungumze tu kiswahili bro but I come in peace 😂😂😂😂
Hio ndo maana ya comedy
Kwani mkiongea Swahili mtazaririka
Hawa wana chemistry nzuri sana
Makinisana number 2 aise wape makofi basi
noma sana hawa jamaaaa
😅😅unyama
Noma sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hizi bangi😂😂😂
Ndaro na Leonard mnaendana man 👊👊👊👊👊
Watu sikuizi wanahashu hawaongei lugha yao kiswahili, wanaongea English tunakipoteza kiswahili chetu
Leornado ni mtu na nusu. Ndaro ni machine
Ndalo ana content sana 🔥
Hawa jamaaa tooo much 😂😂😂😂
Leo unajuaga sanaaa mwanetu inabid update garii
Ndaro is on fire
Opo umeua mwanangu karinda karinda umeniacha hoi sana
Ntakupa sumuu nikuuueee😅😅😅
Leo wametukumbuka wa utube😔,,,
Ndarooooooi🎉😂😂😂😂😂😂😂😂 yaan ni🙅kwixh your a🤴🤴 by kenex queen 053
Unaweza broo
Leonardo ana akili nyingi san 😂😂
Uyu leonard anakuja kupiku akina steve mweus na akina ndaro
So far sio mbaya lakin tujitahidi wingi wa punch kweny content sio mtu unaongea mtu anakuja ku smile baada ya dkk 5 na sio kucheka lakn i like leonardo ana punch nying
Leonard my favory
Bwana Leonardo ni pure talent and sensation
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Wotee mupo vizurii haki sawaa😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
Afu we coy uzungu wakoo peleka ukooo kiswanglish hueleweki banaa ongea kiswahili2
Aaa muhaa ninomaaa sana ndaro umetisha
nimesheka bavuzinaluma😂😂😂
Nawapenda san leonard and ndalo