ALLY KAMWE AWACHANA AZAM TV NA NYIE MNAIHUJUMU YANGA?/WAMEPOKEA RUSHWA WENGINE/MUWAPE PRESHA WATU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • #hersisaid #mayele #yangaleo #alikamwe #azizki #live_ #yangasc #yanga #yangatv #msuva

ความคิดเห็น • 35

  • @MwanaidiMwekubi
    @MwanaidiMwekubi 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    kila mwananch anafahamu ubola watimu yake

  • @IshaKhamis-v3p
    @IshaKhamis-v3p 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Mm shabiki wa yanga lkn kwa sasa mpira tunao cheza kwanza wachezaji wana cheza kistaa sana na sio mpira wa kasi kama tulivyo zoea ni maoni tu Wana yanga

  • @MussaKitaluta
    @MussaKitaluta 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Ally hakuna posho, ila yanga wenyewe walituzoweshwa kupata ushindi mkubwa. Usipende kulaumu. Naongea kama shabiki wa yanga

    • @aminaomari2312
      @aminaomari2312 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kwa Nabi alikuwa anashinda goli 5,cha muhimu ni kuiombea timu isidondoshe alama na wachezaji waendelee kuwa na morali ya kuipambania nembo ya club,hii timu itachukua ubingwa na itafika mbali sana club bingwa.

  • @MwanaidiMwekubi
    @MwanaidiMwekubi 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    hatuna lawama kwenye timu yetu sis kama wananch hatuna was was kikubwa Dua tupo pamoja

  • @KatumbiMozee
    @KatumbiMozee 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sasa anataka watu waseme anavyotaka yeye kama anajua kunapisho kumbe tumegundua wao ndio ilikuwa tabia yao

  • @SweetbertMadeleke
    @SweetbertMadeleke 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Washabiki wengine hamjui,mpira

  • @matrida.lunyilija5196
    @matrida.lunyilija5196 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Azam ni branch ya panya road huoni hata wakiwa wanacheza nao wanavyocheza,lkn wakicheza na Yanga wanajifanya kukamia,wasubiri tu dawa yao ipo jikoni acha wajifariji wajione wamewin

  • @SakinaLinjende
    @SakinaLinjende ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hii ni kwa sababu ya level na standard ambayo yanga imejiwekea ndio maana haya yote yanatokea inabidi tu sustain our levels

  • @dr.edmundbmgeni486
    @dr.edmundbmgeni486 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Gamond ni kocha Bora. Time will tell.

  • @LinuslusianLinuslusian
    @LinuslusianLinuslusian 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Lakini mimi naona Gamondi timu nnamshinda kwa mbinu hana mbinu yoyote ya kubadilisha game kwa hizi timu zinazo kaa nyuma

    • @deograsiassteven9262
      @deograsiassteven9262 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kafundishe wewe

    • @HusseinAbdallah-n7x
      @HusseinAbdallah-n7x 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Upewe wew team

    • @JohnErenest-f9h
      @JohnErenest-f9h 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wee unajua nini hata kadi ya wanachama huna lipia ipi ukamchukue gadiola

    • @KS-iw7qv
      @KS-iw7qv 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Msimpinge...

    • @KS-iw7qv
      @KS-iw7qv 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mi naina haikuwa bahati tu... maana magoli yamekosekana.....

  • @maliadii4829
    @maliadii4829 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mashabiki maandaxi wakati wa Nabi ilikua magoli mangapi kila mechi? Waache upumbavu pamoja na nyie wote naomba mtuache

  • @HusseinAli-i9n
    @HusseinAli-i9n ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yanga bingwa

  • @abedymtore2707
    @abedymtore2707 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Navyooona mim atucherewi kuanza kupoteza match mda slefu watani wao wanazd kupisua angaa Kwa ushindi mzito mzito yawapasa viongoz bench laufund ikiwemo gamond mwenyewe watafte ufumbuzi wa tatzo hili inaboa

    • @alexbayingana7879
      @alexbayingana7879 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe sio yanga kwakua kiukweli ukiwa shabak wa timu yako la msingi ni kushida nakuongeza poit, angalia ulaya mpira ukoje?

  • @LukasMakunda
    @LukasMakunda 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Na mutalia sana msimu huu hama uko time ujazaliwa mayo Rudi Simba Kwa baba ako

    • @Abbasbaro
      @Abbasbaro 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ata kuandika hujui

  • @emmanuellupiga
    @emmanuellupiga 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kocha asikariri wachezaji bwana afurumue tu timu zimeshajua namna ya kuwakabili yanga vinapark mabasi sana

    • @IssaMsalama-k6x
      @IssaMsalama-k6x 34 นาทีที่ผ่านมา

      Kila timu inayo kutana na yanga inajua watafungwa kwa hiuo wanahingia kupunguza magoli,

    • @IssaMsalama-k6x
      @IssaMsalama-k6x 32 นาทีที่ผ่านมา

      Kule A,kusini,nne kombe tumechukua,hapa azam moja yanga nne,ngao tumechukua wasubiri 19,

  • @AlfredRutaguza
    @AlfredRutaguza 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dogo ukweli usemwe yanga Haina kocha

    • @abdunnurahmedsilim7456
      @abdunnurahmedsilim7456 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe kolokwinyo acha udunduka huo. Tumewakanda mechi 3 tukiwa na kocha huyo huyo na bado tutaendelea kuwatesa tu

    • @abdunnurahmedsilim7456
      @abdunnurahmedsilim7456 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hivyo kweli una akili wewe eti UKWELI USEMWE. Nyinyi mnajaribu kujifariji na timu lenu bovu na siku zenu zinahesabika. UKWELI anawaambia Mchome na nyinyi mnamuita mnafiki kwa sababu mmeshikiwa akili na viongozi wenu mazezeta

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Unalaumu ushindi wa magoli machache, je hao wanaofungwa na kukosa hata point moja wasemeje?.

  • @matrida.lunyilija5196
    @matrida.lunyilija5196 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Msemaji wetu achana nao ipo siku watakubali uwezo wa wachezaji wetu

  • @ckevents3593
    @ckevents3593 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sijui ninkwa nn yanga inaandamwa hivi .lakini ss wenyewe Tunashukuru kwa kupata point tatu

  • @YohanaWanda-v7d
    @YohanaWanda-v7d 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ni kweli kabisa azamu tv wanatuhujumu sana vile wanavyoonyesha makosa ya yanga hata mimi nahirisha kutumia biashara za azam

  • @ckevents3593
    @ckevents3593 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hatu a shaka kwa tumu yetu. hayo ni madongo tu hayana madhara kwa yanga