Manja Hamis kweli wewe ni jinga kupita maelezo, ni mpumbavu kabisa, Dini na Mpira vina uhusiano gani? Je kusuka nywele zake kunakuhusu nini wewe, Je unataka akuoe? Pumbavu mno
Hilo swali la kukamia ni la kijinga sana, hakuna atakaye kubali, japo ukweli unajulikana maandalizi yanakuwa tofaufauti, kama sio kifiziki basi ni kisaikolojia,
Hongera Kmc ! Mlicheza kikwelikweli!
Lekebisheni sauti mbona aisikiki vizuri
Mwamba unajua mpira,🎉
Huyu mwamba nampa maua yake😢jana nilikua namtizama vibaya😂😂 dahhh kama si huyu tungewafunga mengi
Straget
Mkicheza hvy na tean zote mtafka mbali suo kwa yanga2
Yaani tm zote tulizozipiga goli nyingi safari hii tukiwapiga kamoko wanafuraaaahi🤔🤔🤔🤔
Acha kujifariji 😂😂😂😂😂
Hmichezo na dini wapi na wapi
Kweli
Jamaa ni mchezaji
huyu ni mchezaji mzuri natamani atuwe jangwan
Anatoka nchi gani?
Yeye ni mchizaji nchi yake ya nini acha ubaguzi
Waache kupaki bac chezeni mpira mnapaki na mnafungwa
Mchezaj mzur sasa Muslim mwanaume hasuki nywele
Kasuke wewe acha udin we mburula
@@juniornyuki2516kukumbushana muhimu katika dini yetu
Hata kama msomali wewe wa nini
Manja Hamis kweli wewe ni jinga kupita maelezo, ni mpumbavu kabisa, Dini na Mpira vina uhusiano gani? Je kusuka nywele zake kunakuhusu nini wewe, Je unataka akuoe? Pumbavu mno
Hilo swali la kukamia ni la kijinga sana, hakuna atakaye kubali, japo ukweli unajulikana maandalizi yanakuwa tofaufauti, kama sio kifiziki basi ni kisaikolojia,
Hivi huyu mkenya au msomali
Ukijua itakusaidia nini?
Cos acha ufala jibu swali sioujinga kama dem
Umecheza vizuri ila hujapendeza kusuka nywele na kama wewe ni muisilamu basi fumuwa msuko wako haraka sana
Soka haina uislam wala dini nyinginezo !! Kila mtu hujikita kwenye kile anachokiamini.
Mpira,mtindo na din wapi na wapi! Waislam wanakula kitimoto itakua kusuka! Ongelea talent yake not otherwise
Kwan uislam unasema nn kuhusu football??
Ondoa udini kijana
Kila k2 n dhambi dunian c Kwa mkrsto wala muislam