Mungu akubariki sana yohana kwa uduma yako licha ya majaribu mungu yuko nawe nimeona kuna comment apo chini 👇 watu wakutaja kimapenzi kuwa mtumishi wa mungu kuna majaribu na delaila ni wengi hod bless you yohana antony na babu na baba yako napia familia yote
Jina la bwana libarikiwe sana,tunashukuru wazazi wa Yohana babu na baba kwa kuendeleza shughuli hii na kumlea kijana kwa maadili mema,,kazi ya mungu ni nzuri
Yohan hi Kwani ww Ni mkamba,,ama Ni marafiki Wa kiroho Mungu akubariki Sana aendelee kukuza kipawa ili watu waendelee kufunguliwa,, nakutakia huduma njema Na Neema ya Mungu iwe ndani yako 🙏🙏
Hata Mimi natamani sana kuonana na mtumishi yohana tuabudu nae pamoja tufulahi pamoja tucheze pamoja jamani maaana nyimbo zake zinatubaliki sana mungu awatangulie familia yenu
Oh Sasa wewe dada unaruka mpaka hayo ni mawazo Gani kwa mtoto ambaye ni mchanga na anasoma pado naomba uombe musamaha baba yohana napenda unavyo mwangalia mtoto shetani ni mwongo.

Feel at home yohanaa Antony I like your songs
Brother Yohana Antony be blessed in Jesus name, thank you so much for coming to Kenya 🇰🇪 let God protect you in your work
Asante sana yohana ukirudi Tz wasalimie watazania wote
We love u kamuya ......yohana learn something from this man....he is a great man
Yohan hi Kwani ww Ni mkamba,,ama Ni marafiki Wa kiroho Mungu akubariki Sana aendelee kukuza kipawa ili watu waendelee kufunguliwa,, nakutakia huduma njema Na Neema ya Mungu iwe ndani yako 🙏🙏
Barikiwa sana yohana uko ukambani ndio nyumbani
Kamuya wiva weee indi ukona bidiii ssna kamuya keep it up
Good job,naomba niku join,please
Yohana babu yako ni mkamba
Karibu sana uku nyumbani
Natamani pia Kwa imani siku moja nitakuona
God bless you yohana
Nyota yako inang'aa Tu ✨🥰❤️ love you
Babu nami nakuja pia , turudi huko Tanzania tena
Mbalikiwe sana familia ya Robert mubarikiwe sana kwa kumpokea kwa mikono miwili mtumishi yohana amina
Hata Mimi natamani sana kuonana na mtumishi yohana tuabudu nae pamoja tufulahi pamoja tucheze pamoja jamani maaana nyimbo zake zinatubaliki sana mungu awatangulie familia yenu
❤❤❤❤❤ good job
Barikiweni saaana❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤ Good job
Mungu awabaliki sana 🙏🏽🙏🏽
Good yohana kaka yangu
Yohana nakuona mkono wamtoto mzuri uwachii mapema vipi ushapendanini kisa kakwambia nakupenda pic Kali hiyo chukua Namba wakenya Kuna warembo oya Yohana Antony huyo Kenya wanakubali
Oh Sasa wewe dada unaruka mpaka hayo ni mawazo Gani kwa mtoto ambaye ni mchanga na anasoma pado naomba uombe musamaha baba yohana napenda unavyo mwangalia mtoto shetani ni mwongo.
O
Yohana atony be blessed
Blessings servants of God
Good job
niite kaa translator wa huyo shosho.. 😅😅😅
shosh ako sawa ak🤣🤣❤️
Good job bro
Tunapenda huyu mtoto sana
Sina neno Hila kuachia Mungu tu atende,,,,tunakupenda sana sana kama familia
Alaaaa,karibu ukambani
Pia mm nataka kwenda qwa kina Yohana 😂
Utaenda kwa imani 🙏
@@shalom455 kabisaaa Tena sana ndo naanza kuimba lakini ile speed nataka nipeleke Yohana 😹😹😹😹😹ni Mungu anajua
Yohana karibu nyumbani. please feel at home
❤
Kikamba
When you go back to Tanzania say Hi to them
Ata mimi nitakuona tu siku moja
Bona uyu mama anaogea kikamba
Kikamba
mungu awabariki,zaidi hudumayako yohana uinuliwe zaidi najengwa nanyimbozako