ความคิดเห็น •

  • @RosemaryMalya
    @RosemaryMalya 3 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu kwa zawadi ya mtumishi wako tunakuomba umpe pumziko la milele mbinguni amina

  • @elizabethguga7396
    @elizabethguga7396 2 หลายเดือนก่อน

    Pumzika milele mwanga akuangazie Amina 🙏🙏🙏

  • @theodoramtejeta7901
    @theodoramtejeta7901 3 หลายเดือนก่อน +2

    Padri Thadeus Ponela maisha yako duniani yalikuwa mfano wa kuigwa na sisi kondoo wako uliotuchunga kwa miaka 34. Pumzika kwa amani mbinguni.

  • @CarolineLukindo-jt2tk
    @CarolineLukindo-jt2tk 3 หลายเดือนก่อน +3

    Pumzika kwa Amani Paroko wangu

  • @verotemu4071
    @verotemu4071 3 หลายเดือนก่อน

    Nafasi yako katika utume hakuna wa kiziba,daima tutakukumbuka na tunashukuru kwaajili ya maisha yako,pumzika kwa amani baba😭😭

  • @benedictaroman1074
    @benedictaroman1074 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe pumziko la milele fr Ponera ,na wale wote waliopatwa na msiba😭😭

  • @josephinemahonge2476
    @josephinemahonge2476 3 หลายเดือนก่อน

    Pole sana Baba Askofu Kiangio kwa kuondokewa na Padre Thadeus Ponera. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi amina.

  • @SophiaJey
    @SophiaJey 3 หลายเดือนก่อน

    Pumzika kwa Amani baba yetu mpedwa japo parokia ya Tekwa tunahuzuni😢😢😭😭😭

  • @theodoramtejeta7901
    @theodoramtejeta7901 3 หลายเดือนก่อน

    Sr. Jose Mungu akupe uvumilivu na uwatie moyo ndugu zako.

  • @BenedictaMallya
    @BenedictaMallya 3 หลายเดือนก่อน

    Poleni kwa msiba Baba Askofu na wanajimbo

  • @JuliaChambo
    @JuliaChambo 3 หลายเดือนก่อน

    Pole sana sr Josephine kaka yetu PD Ponera apumzike kwa amani Amina.

  • @RadegundaChambi-ec7yw
    @RadegundaChambi-ec7yw 3 หลายเดือนก่อน

    Uwe na moyo mkuu dada yangu Sr Josephine

  • @theresiamushi5094
    @theresiamushi5094 3 หลายเดือนก่อน

    Pumzika kwa Amani mpendwa wetu

  • @RadegundaChambi-ec7yw
    @RadegundaChambi-ec7yw 3 หลายเดือนก่อน

    Wanajimbo tunapaswa tu sali sana kuongea kaka zetu

  • @DeograsiaMtenga
    @DeograsiaMtenga 3 หลายเดือนก่อน

    PUMZIKA KWA AMANI FR. MTU WA WATU, MUNGU AKUPOKEE MBINGUNI.😭😭

  • @SophiaJey
    @SophiaJey 3 หลายเดือนก่อน

    Pumzika kwa Amani baba yetu mpedwa japo parokia ya Tekwa tunahuzuni😢😢😭😭😭

  • @SophiaJey
    @SophiaJey 3 หลายเดือนก่อน

    Pumzika kwa Amani baba yetu mpedwa japo parokia ya Tekwa tunahuzuni😢😢😭😭😭