Magu hakuwa mda huo jamani msichanganye mambo kila mtu anamchango wake kwa wakati wake hapo kasema huko chini alikoanziya ndio ka.taja muhimili wake ni karume tuelewe jamani
Kwenye bunge la katiba ni kikwwte ana nafasi yake na magufuli ananafasi yake hapo alipomtowa na kufika huku kote ila mizizi ni karume jamani mbona hakuna la kusema watu wazozane hapo?
Magufuli anaingia madarakani mama samia tyr ameshawiva kiuongozi, halafu kuwa makamo bara haukuw uteuzi wa magufuli ni nafac ya kikatiba iliyopendekezw na chama
Wenye suzuki tujuane
Nzuri sana mh Raisi wetu.
Huyu mama Mungu anitunze
Mngu tufundishe kulipa fadhira kwa watu wakiwa hai mama umefanya mema mngu tupe moyo wa kujua tulipo toka amen
Siyo wale wengine hawana fadhila
Our humble president.....wewe ni mfano wa kuigwa
Magu hakuwa mda huo jamani msichanganye mambo kila mtu anamchango wake kwa wakati wake hapo kasema huko chini alikoanziya ndio ka.taja muhimili wake ni karume tuelewe jamani
Wewe mama ni hodari
Amani SAFI UNAMKUMBUKA NAKUONA UNAPIGA TASBIIHI UNAMTAJA MUNGU HATA KAMA UKIWA KATIKA VIKAO VYA SHEREHE
Hongera mkuu wa nchi
Mmeleana hasa mama na Baba amani😮😮😮😮😮
Huyu ndiye Raisi tuliepewa na mungu moja Kwa moja
Anointed leader from God.
Walikuandaa
Nawe waandae waliobora.
Hongera sana.
Ila Magufuri ndiyo Mwamba akianza Paul Makonda
Jitahidi kwa hizo digrii. Karibuia unamzidi Idd Amin. Endelea utukomboe.
Huyu #mama ni Kioo, Asante mama.
Ndio kioo Cha bafuni chakujitazamia baada ya kuoga
Umetimiza wajibu wako wanaokuangusha wengine
Safi saana
Kwenye bunge la katiba ni kikwwte ana nafasi yake na magufuli ananafasi yake hapo alipomtowa na kufika huku kote ila mizizi ni karume jamani mbona hakuna la kusema watu wazozane hapo?
Kwa hiyo uncle magu umemsinichi 😂
Pia usimsahau magufuri.huyo ndio rollimode wako.haowengine walituonyesha njia tuu.
Magufuli anaingia madarakani mama samia tyr ameshawiva kiuongozi, halafu kuwa makamo bara haukuw uteuzi wa magufuli ni nafac ya kikatiba iliyopendekezw na chama
Mama samia ametengenezwa na serikal ya zanzibar chini ya rais karume wakat huo magufuli sijui alikuw wapi
Bila ya Karume magu asingemuona
Na mchango wa Uncle Magu?
Huyo ni adui no moja wa jpm
@@barakarobert1029unaushahid
@@barakarobert1029 adui amekufa saiv maiti haziokotwi tena
@@barakarobert1029adui ni wewe
Magu Hana mchango kwake ile ipo kikatiba lazima makamo alikua atokee Zanzibar
Magu haja mpa mchango
Unataka amzungumzie Magu siku zote, mbona kashamsemea sana
Kwani magu ndio nani au unaeungumzia yule aliyekua anakomba pesa za breau de change za watu 😅😅😅