TAARAB. Leila Rashid - Riziki Mtoaji Mungu (AUDIO)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 เม.ย. 2019
  • All Rights Reserved By. MARJAN SEMPA
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 41

  • @fatumaissa4790
    @fatumaissa4790 4 ปีที่แล้ว +3

    Ninapoisikia nyimbo hii ya Leila kuna hali flani najisikia ndani ya moyo wangu.inanigusa zaidi ya sana

  • @brigitamash2007
    @brigitamash2007 5 ปีที่แล้ว +4

    turushie taarab ya..... nyumba utaiona paa

  • @user-jw1ey9jt9j
    @user-jw1ey9jt9j 10 หลายเดือนก่อน

    riziki yangu ikifika nitaipokea kwa mikono miwili mungu nipe kilicho changu inshaallh

  • @fatmachambotanzania9379
    @fatmachambotanzania9379 5 ปีที่แล้ว +5

    Wow song hii niliitafuta kitambo sikuiona asante sanaa naipenda ❤❤❤❤

  • @faoufaouzia6061
    @faoufaouzia6061 5 ปีที่แล้ว +4

    C'est pas zuhura shaaban
    Laïla Rashid 👂👂👂😍😍😍😍😍😇😇😇🤗🖒❤

  • @MamytEad
    @MamytEad 4 ปีที่แล้ว +3

    Riziki mtoaji mungu atanip tuu sijakata tamaa

  • @capramlacky8152
    @capramlacky8152 5 ปีที่แล้ว +4

    Leyla rashid song...nmeitafuta sanaa

  • @user-tv2eg9gn5x
    @user-tv2eg9gn5x 2 หลายเดือนก่อน

    Shikamoo leila heshim yak kaz uliifany hapa bong moj la ngom

  • @twalibumohamedi2494
    @twalibumohamedi2494 5 ปีที่แล้ว +8

    Huu ni wimbo wa kwanza kabisa wa Leyla Rashid haukuimbwa na Zuhura Shaban

    • @naimasaid7763
      @naimasaid7763 4 ปีที่แล้ว +1

      Kweli ee, inawezekana, maana sauti ni ya leila mtupu

    • @shaomilari2033
      @shaomilari2033 4 ปีที่แล้ว

      @@naimasaid7763yaah huu ndo wimbo wa kwanza wa leyla Rashid though n wakitambo sana but old z gold👌

    • @aishakhasim1440
      @aishakhasim1440 4 ปีที่แล้ว

      Kama unayo naomba whatsApp

  • @derrickambuga6208
    @derrickambuga6208 5 ปีที่แล้ว +5

    Shukran Marjan Sempa ...Nakumbuka Aboud mwimbaj wa taarab aliyekua kwa team ya Jahazi akisema anaiamsha tena Jahazi kulienda vipi

  • @abdallahmwalimu2170
    @abdallahmwalimu2170 5 ปีที่แล้ว +4

    Wazi broh wanikumbusha sana

  • @rucyzacks6761
    @rucyzacks6761 5 ปีที่แล้ว +3

    riziki mtoaji mungu kwl kbsa,nymbo nzuri xna😍

  • @shaomilari2033
    @shaomilari2033 4 ปีที่แล้ว +1

    Leyla Rashid katika nyimbo zko zote huu ndo wimbo ninao ukubali👌

  • @madiyamsonde562
    @madiyamsonde562 5 ปีที่แล้ว +5

    daha naipeda jamani

  • @azizikeya8314
    @azizikeya8314 4 ปีที่แล้ว +3

    Kuna utakiona kimbembe, jicho la mahasidi,nifanye nn kama unazo naomba

  • @issaally7928
    @issaally7928 4 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo wa leila rashidi

  • @naimasaid7763
    @naimasaid7763 4 ปีที่แล้ว +2

    Aisee nilikua naitafuta hii nyimbo

  • @mfalmemwinyi9474
    @mfalmemwinyi9474 5 ปีที่แล้ว +5

    Zama za Zanzibar Stars huu wimbo Malkia Kauimba vyema sana. Safi Marjan

  • @rukayrukay3371
    @rukayrukay3371 5 ปีที่แล้ว +4

    Tuletee sanamu la michelin

  • @siwaally1586
    @siwaally1586 4 ปีที่แล้ว +1

    Daaah huu wimbo naupenda sana

  • @mikidadially2288
    @mikidadially2288 5 ปีที่แล้ว +5

    Dah! Shukran sana kwa kuupload huu wimbo. Nilikuwa nikiutafuta sana! Kwani ni miongoni mwa nyimbo nzuri sana zisochuja ktk tathnia hii ya muziki wa taarab. Shukran jaziilan👏👍👌💗

    • @marjansempa
      @marjansempa  5 ปีที่แล้ว

      Karibu sana.. bila kusahau Ku SUBSCRIBE na kuSHARE

    • @habibanassor7594
      @habibanassor7594 4 ปีที่แล้ว

      Hivi ukitakakudiwnload unafanyaje

  • @rehemakimako228
    @rehemakimako228 ปีที่แล้ว

    Nawakubali xn

  • @alihamis1402
    @alihamis1402 2 ปีที่แล้ว +1

    Zamani walikuepo waimbaji wazur

  • @nasrashaaban7489
    @nasrashaaban7489 5 ปีที่แล้ว +4

    Siku ya riziki yangu ikifika nitapokea nitashukuru

    • @kuruthumuhamad4195
      @kuruthumuhamad4195 4 ปีที่แล้ว

      dah kitambo sema Albamu kuna nifanye nini yamwamvita mayo nzuri

  • @swalehfarah8231
    @swalehfarah8231 5 ปีที่แล้ว +6

    Huyu sini leila rashid nyimbo yake ya kwanza ama

  • @thumabebzz3858
    @thumabebzz3858 4 ปีที่แล้ว +2

    Tuekee ile inaitwa natembea kwa mapana plzz

  • @zubedamdoe2584
    @zubedamdoe2584 4 ปีที่แล้ว +2

    Asaantee nyimbo tamu

  • @aishakhasim1440
    @aishakhasim1440 4 ปีที่แล้ว +1

    Jaman mwenye huu wambo hamuomba anitumie plz🙏

  • @malkialeylarashid6908
    @malkialeylarashid6908 5 ปีที่แล้ว +5

    😀😀😀😀jamaniii

  • @zawadikambi1070
    @zawadikambi1070 4 ปีที่แล้ว +2

    Shikamooo zuhura

    • @mcblessings0577
      @mcblessings0577 2 ปีที่แล้ว

      Huu ni wimbo wa kwanza wa Leyla Rashid kwenye kundi la Zanzibar Stars, baadae alipohama wimbo ulikua unaimbwa na Zuhura Shaban kama ilivyokua kwa Jahazi Modern Taarab - Hamchoki Kusema baada ya khadija yussuf kutoka hilo kundi Miriam Amour alisimama na huo wimbo, Leyla asingeweza kung’aa kwenye hilo kundi miaka hiyo kulikua na ma gwiji sana Kina Jokha, Zuhura, Khadija Yussuf humo, mariam khamis n.k

  • @minahshaaban598
    @minahshaaban598 ปีที่แล้ว

    Alijua kuimba Sijui nadowload Vipi