Garibu mzinga wewe no mwanaume wa shoka kwa utangazaji wa mpira Mr kilwa finest uko vizuri huna majungu kwenye utangazaji Huwa unasimama katikati kutangaza uko vizuri
Moja ya mechi bora kuwai kuitazama yani narudia mala kwa mala sichoki. Nguvu morali upambanaji waliokuwa nao wachezaji wa YANGA. Daa mashabiki wanashangilia mpaka wanataka kulia. Ukimwangalia gamondi furaha aliyonayo mpaka amepitiliza. Sitakuja kuisahau huu mechi ngumu ngumu ngumu. Kimahesabu ilikuwa inakataa yanga kushinda gori 4 lakini iliwezekana. Pacome day ilipambaniwa kweli
This match caused Young African set to play with Sundown to lower their speed in quarter final,,despite that Sundown failed to defeat Young African,,ended in refusing the goal scored by Aziz Ki by referee.
Jaman huyu azizi kweny magoli ya kupolan mpira Katikt ya maadui yupo vizur nakumbuka pia kuna vijan waliteswa wakapigwa matobo wawil pamj na kijan wa morogoro golini akala tobo chuma kweny nyavu
Ila fei bana 2likuwa 2nakupends xana yanga unaaacha nafas za waz huku ukajikibiza kwenda huko pumbavu zako!! Angalia mzanzibar mwenzako xaxa anavyong'aa
Shida wachezaji wanakua hawasomi comment lakini timu ya wasimba wachezaji hawajitoi wanakua wanacheza lazilezi mno... Ata kumfukuza adui akiwa na mpira kama hawali vile... Morali inakua ni ndogo mno
Unamkimbia mwanume mwenye mafanikio ya maisha,unaenda kuolewa na mtu choka mbaya.Unamuona mzanzibar mwenzio anavyofanikiwa?Mpumbavu wewe ,uliyeondoka Kwa fitina na majungu.
TUNAOANGALIA JUNE 2024❤
Bando langu kila siku linaishia kweny game hii😅
June
Aiseee na mm ndo narudia leo tena aisee
Leo 22 mey nakukubali utakaye ni like
Hiiiii mech nairudiaga dah Kiukwel uwa siamin ili tufuzu tufunge goli 4 dah hongeren Sana YaNGa 💚 mlijua kutufrahisha Sana
Sanaaaaaaaa
Nyingine ni ile ya makoloo😂😂
yaaaani mpk moyoo wangu unapoaaa kama nimekunywaaa juice ya baridiiiiiiiii😂😂😂
Tangu naijua yanga hii ndo mechi Bora kwangu kuliko mechi zote!!!hongera sana young africans
Tuliowala simba je zile5 j
@@yohanaemanuelylazaro5109 hapana hii ilikua ni mlima mrefu saana. kwanza timu ya waarabu, pili tulikua tushakula tatu bila. haikua kazi rahisi
i@@yohanaemanuelylazaro5109ile tuliwaburuza walikua hawajiwez hii ndio bora😂
Kama na wewe unaludia ludia kila mala gonga laik
Hii Mechi nitamwonesha MWANGU afanye machaguo SAHIHI ya TIMU asipate mateso ya MOYO 😂😂😂
Wanaoangalia hii 16 may gonga like
Mm aiseee
Unyama mwananchi
Tupo
Alhamdullah 💚💛💛💚💛
Yanga tam sanaaaaa
Garibu mzinga wewe no mwanaume wa shoka kwa utangazaji wa mpira Mr kilwa finest uko vizuri huna majungu kwenye utangazaji Huwa unasimama katikati kutangaza uko vizuri
Hii mechi ilivo ixha zilichinjwa kuku Sana sikuiyo ndio mechi yangu bora ya msimu
Hii game ilikuwa kama maajabu kushinda goals 4 ni mungu alitusaidia wananchi 🙏🙏🙏💛💚
Sitasahau hii cku💚💛💚💛🙏🏿🤗
Musonda kwenye kipindi kigumu ndio anang'aa sana. Ila mechi zingine anakosa nafasi za wazi.
Hv makolo wanashindwa kujifunza kitu kwenye timu yetu pendwa young African 💛💚
Hii ni Mara 9narudia kuangalia ni raha ilikuwa
Wanao angalia may 18 gonga like
Hii mechi kila wakati inanimalizia bado hapa Germany 🇩🇪 hhhhhhhh😮😮😮 kila wakati nangalia pira hili duuh
mitatari bira biriani
Aunishindi mm ndugu
Me too
Siyo ww 2 adi mm vp kwanza uko poa❤
FEI toto ni msenge kama walivyo wasenge wengine,hana KITU huyo kenge!!! Katuharibia mno mpaka final haikufanyika kwa utulivu mbwa HUYU 😮😮😮
Hii siku pacone na wenzake waliitendea haki kweli kweli😂😂😂
Warabu wali pingwa Kama ngomaaa❤
Hapo ndipo waarabu walifeli wakazani wanakuja kucheza na Simba 😭😭😭
Moja ya mechi bora kuwai kuitazama yani narudia mala kwa mala sichoki. Nguvu morali upambanaji waliokuwa nao wachezaji wa YANGA. Daa mashabiki wanashangilia mpaka wanataka kulia. Ukimwangalia gamondi furaha aliyonayo mpaka amepitiliza. Sitakuja kuisahau huu mechi ngumu ngumu ngumu. Kimahesabu ilikuwa inakataa yanga kushinda gori 4 lakini iliwezekana. Pacome day ilipambaniwa kweli
Huu n uzalendo
This match caused Young African set to play with Sundown to lower their speed in quarter final,,despite that Sundown failed to defeat Young African,,ended in refusing the goal scored by Aziz Ki by referee.
Hii kam sikosei ni mara ya 40 naangalia tuu
Zuzuaaaa zuzuaaaaa zuzuaaaaa 😁😁😁😁😁😁
Kuna hii game na ile game ya simba na yanga....simba anakufa 5 ...hata nikiwa na stress nikichek izo game stress zote zinaish yang raha....
I am Yanga 4 ever ❤❤❤ waarabu mtasota
wape pole kwa mara nyimgine wanao teseka na yanga
Ninoma
Nimeipenda bute yanga yang❤❤❤❤❤
Yanga n moto wa kuuwa
Musonda ni mchezaji wa match kubwa na match ngumu huyu jamaa anajua sana kila game ikiwa tough ndo musonda anapowaka ,,,,play him at number 9 ,,,,
Hello belouzidad hello belouzdad
Umesahaukusema hello haters
Yeah, THAT'S YOUNG AFRICANO
kabisa
Yes
Ghalibu mzinga heshima kwako brother uliwakumbusha vizuri sana
Jaman huyu azizi kweny magoli ya kupolan mpira Katikt ya maadui yupo vizur nakumbuka pia kuna vijan waliteswa wakapigwa matobo wawil pamj na kijan wa morogoro golini akala tobo chuma kweny nyavu
apewe mauwa yake
M2 mbad
SANA@@abdillahmchia8557
Ila nyinyi msonda ni machine nyingine hiyo
Sio poa kaka
Ni mshambuliaji hatari kwa sasa tz
Nikitazama mechi hii mpaka machozi yananitoka dah
Yaan kuna watu wanaumia utafikili wao ni waarabu kumbe ni waswahili wenye uswahili tii
wakina nani
@@DGMITv watan zetu
Ukatae ama ukubali Yanga inajuwa BOLI ukweli
.na inajua tena
Tatehe 26 leo naangalia
May 30 hii mechi Huwa haichoshi kuitazama😊
Bado tunafurahia ushindi
unafurahia ukiwa wapi
Yanga raha sana
Mudathiry mungu akupe afya njema
Kabisa
Asia vip
Kwel sisi nd yanga kizaz sanaaah wananchi
Ila fei bana 2likuwa 2nakupends xana yanga unaaacha nafas za waz huku ukajikibiza kwenda huko pumbavu zako!! Angalia mzanzibar mwenzako xaxa anavyong'aa
nishida zake
Sidhani kama nimpumbavu kama unavyosema, maslahi nijambo la muhimu zaidi kuliko sifa
Leo tarehe 14/6/2024 ni mimi tena
Happiness to tears....I love you YOUNG AFRICANS
Mudaaa weeee huna akilii shangilia gani hiyooo kama unabashia
Hii yanga ni hatari sanaaa😮😮😮😮
😍😍
Hatari nanusu
i had seen musonda danced danced like he waiting for that ball to came to him and final he got it
Yes
Benzema
kafanya nini
Unyama sanaa
unyama mpaka wap
Hao Mamaloda ajipange atapata kipigo
KESHO HIYO
Hiii mechiii😂🎉
Shida wachezaji wanakua hawasomi comment lakini timu ya wasimba wachezaji hawajitoi wanakua wanacheza lazilezi mno... Ata kumfukuza adui akiwa na mpira kama hawali vile... Morali inakua ni ndogo mno
Had. K❤
Ndoo kitakacho watokei MAMELOD hiki
Allaah Akbar
Kiba
umeongea
Game ilikuapoa sana
junk 16/2024 nimeangalia Mara 3 mfululizo
Njon na likes
Kwa kweli hii ni mechi yakukumbukwa saaana kwa wananchi
Leo 31
Unamkimbia mwanume mwenye mafanikio ya maisha,unaenda kuolewa na mtu choka mbaya.Unamuona mzanzibar mwenzio anavyofanikiwa?Mpumbavu wewe ,uliyeondoka Kwa fitina na majungu.
nishida zao
Wananchiiii
Duuu ww jamaa unafanya mtot asononeke sana aisee
TMK WALIIMBA WAKASEMA HII NI DALADALA ANASHUKA MTU ANAPANDA MTU
😂😂😂😂😂😂
Hii mechi huwa nakuja kupoza stress zangu personal
Uhakika
kabisa
Wanachokiona 😃😃😃😃😃😃😄😄😄😄😄😄😄😄😄
Mwarabu huyooo😂
Mm shabiki
❤
❤️❤️❤️
❤️❤️
Nilieinjia tena June 07 nipo hp
Namimi hii ni Mara 100 naangalia uhondo huu wa mpira wa yanga
Mh yani yanga bhana ndomana nakupenda llove yanga
🔥🔥🔥🔥🔥
Ki master alipigaje apoo😅
Bwana wee acha tuu😅
Anaumw uyoo
Anauwa na nn tena
Hi Young African ni balaaaa
Mamelodi yanga ingekamilika wangekaaaaa.nikiiangalia mechi hii fainali ilikuwa halali yetu.
Mmmh
Waguna nn
Hahahaha
😅😅😅
❤❤❤❤
😍😍
Rose mmb
Natafuta mrembo
Mmmmh noma
Hiii match inanimba usingizi siwezi lala kbl sijardia hiii Moira kuangali
Kwer
German machine Mudathir yahaya mtambo wa mabao
Pacome una dhambi kumuangaisha kipa hibo nn😂😂
Yanga yajikubali na kuamini
We're young Africans sc
Hii mechi kiukweli inanimaliziaga bando
Tareh 1 mwezi wa 6 hi nachek hap
Hatari
Sijawahi kuona yanga ikicheza mpira kama siku hii
Hii mech ilikuwaga ya moto tusubir mwakan
Inauma sana
Hii mechi ni classic sana
Mission is completed
😁😁😁😁😁😁
😄😄
@@DGMITv mambo
@@mathiasnyenza440 poa
✔️
Kila siku lazima niangalie haya marudio ya CRB, na yale magoli matano kwa Kolokolo
Ila mtangazi unabwebwe gondozi
😢😢😢mdaa
umeongea
Nimerudia tena hii mechi daaah utafikiri ndo naangalia kwa mara ya kwanza, Yanga sio mchezo aiseee