Alhamdulillah, Ustadh Mbarska Awes Ni Miongoni Wa Maustadh Wazuri Wa Kuwasikiliza Kwani Anazungumza Kwa Kurejea Pande Zote Bila Kashfa Na Kejeli Kisha Anasema Msimamo Wake Kulingana Na Alivyofahamu Yeye Na Wale Aliowafuata Katika Masheikh Zake Na Maimamu Kwa Ujumla.

Mashaallaah wallaahi sheikh nakupenda sana na naoenda sana darsa zako, Allaah akulipe pepo
Ameen
Usthad mubarak nakupenda sana kwajili ya mola zidi kutuilimisha
Alhamdu lilah jazaka llahu khayra sheikh
Jazakallahu kheir Sayyidy, Allaah akuhifadhi umetukinaisha yakutosha
allahu akbar shegh allah akulipe kila la kheri
Ameen
Elim nzuri Sana sheikh
Mashallah,may Almighty bless you much more
Sheikh naomba dua'a kwako wallahi naamini na wewe ni katika waja watukufu sura zako ziko na nuru
mashaallah maalim wangu mubarak ahmad uwes
Mashaallaah shukuran
yaallaah
Mmi napenda kumsikiliza kila siku
Mashaallah
Shukran kathir sheikh
Katika TH-cam nzima hii ndio pagi inayofurahisha sana wallahi
MASHAA ALLAH
Hapa nmejifunza kitu nanmeelewa jazzakallah kheir
Baarakallahufiiku
Ndugu waislam na waumini.tusiwe ns jazba ya kuteta au kupigana sisi kwa sisi sababu runawapatia nguvu makafiri
Maash'Allah
Hakuna dua baada ya swala ogopa Allah(SWT) sheikh wacha kupoteza waislamu na pia unaunga mkono maulidi na dalili mnazitoa na hadithi dhaifu
toa ww dalili.