Swali langu kwako amishi wabembe walianzia wapi kulingana na unavyo juwa history alianzia wapi na hizo unazo hita ngúlú ziliitwaje kama congo ndo chimbuko?
Na kujibu Bubembe ni wapi? Mpaka leo hajuwa milima ya Babembe miye nahishi kinshasa ba bembe tuko wengi apa je tuko na mlima apa? ao babembe ya Burundi nawayo wako na milima kule ? Pole sana.
@@Tvngyoku3-r4lHatuishi tz kupitia hiyo mizimu only God, mizimu hiyo ikamalizea vita congo mbona ni myaka 30 ya vita? Ilikua wapi?.Tunataka Amani tu tz siyo vyeo
Merci pour ces infos de chez-nous à Fizi.
Mwakole Manga sana ❤❤❤
Jambo muhimu niwepo Kwa amani Wala sio maishani na vurugu
Hatuishi tz kwa kutegemea mizimu mizimu,only God 🎉
felix alijulia siasa wapi
Alisoma ndugu yangu ,unafikiri alikomalia kijiji
Tubwele msaho wangene
Ùmu tenda bile benebene tata Mango bwela ebo mangue bana kalù a
Iyo nikweli mtangazaji m'bembe wa tanznia siyo wafizi
tatizo lenu hamsomi vitabu utajuaje historia za watu ..someni vitabu ya historia utajua mengi
Kwanza wewe ni mkabila na unatangaza ukabila. Omba Mungu