Malendeja wewe ni mtumishi wa Mungu kweli , Mungu anapotoa unabii ni taarifa tuu Ili waombee yasitokee kweli manabiii wengi wanatAka walioyaona yatimie hata kama Mabaya Mungu anataka Mabaya yasitimie Bali mema ndo yatimie
Ee MUNGU BABA uturehemu, tunaomba umwage ROHO YAKO juu ya nchi na watu wako, ili fahamu zetu za ndani zipate kufunguka. T upate kuelewa lengo la nabii unazozileta kwetu. Tufanye kama Mfalme wa Ninawi, na tusiache unabii utimie ndipo tuombe na kulia, Amina.
Amen BWANA akulinde mtumishi
Amen MUNGU tusaidie watu wako
Amen
Very TRUE... Wakristo wangeelewa upana wa neno hili tungepona.
Malendeja wewe ni mtumishi wa Mungu kweli , Mungu anapotoa unabii ni taarifa tuu Ili waombee yasitokee kweli manabiii wengi wanatAka walioyaona yatimie hata kama Mabaya Mungu anataka Mabaya yasitimie Bali mema ndo yatimie
Ee MUNGU BABA uturehemu, tunaomba umwage ROHO YAKO juu ya nchi na watu wako, ili fahamu zetu za ndani zipate kufunguka. T
upate kuelewa lengo la nabii unazozileta kwetu. Tufanye kama Mfalme wa Ninawi, na tusiache unabii utimie ndipo tuombe na kulia, Amina.
EMUNGU uturehemu watu sisi watu wako
MUNGU atusaidie kuyafanyia kazi maagizo yake katika maombi na ujumbe huu ufikie watu wengi na kupokelewa kama ilivyokusudiwa na BWANA