Mama uko vizuri lakin naomba utoe neno tukisaidiwa , weka neno ,kuongeza watalam wa kilimo , na wengine kwa ajili ya uzalishaji zaidii ,lakn ongera mam uongozi sio rahisi mum
Mama ongera kwa jitihada zako kutupambania wananchi wako. Naomba jasiri ukiri au Nena kwa wananchi wako umasikini au njaa basi itakoma. Kwa Nini tuna ardhi na vyanzo vya maji ya umwagiliaji vipo. Wataalam wa kilimo na ufugaji kila Kijiji wapo wanalipwa mshahara kila mwezi wakiwajibika ipasavyo. Mifano kila Kijiji wakiwezeshwa trekta na pembejeo na utaalam hiyo njaa itatokea wapi.
Huyu ndio Rais hodari kabisa na ameonyesha umahiri usio wa kawaida huku wengine wakipiga midomo badala ya kutafuta fursa wanasubiri wapewe kama walemavu
Well presented facts
Thanks you
Strong 🇹🇿🙏
Hongera sana Mheshimiwa Rais, umetoa takwimu vizuri sana. Tanzania umeifungua duniani kwa uongozi wako mahiri. God bless you mama yetu.
Pokea maua yako mama!!!!
Keep going mama! We real love u
Hongela sana jembe letu mama Samia pamoja na jembe makonda,
Mungu akubariki sana mama yetu unachapa kazi sana
Hongera sana mheshimiwa Rais. Nchi yetu inapata heshima ulimwenguni kwa uongozi wako maharishi.
❤❤❤❤❤❤❤❤
Hongera raisi wetu. Unatosha kabisa!! Usikatishwe tamaa na wenye uchu wa madaraka na machawa na vibaraka wao!!❤❤❤
Wenye uchu wa madaraka ndio kina nani?
@@bahatielias6443ni hao unaowadhani wewe
Maashaallah, Rais, Allah ametupa, tunataka nn tena jmn? Uchaguzi wa Allah hauna makosa.
Safi sana Mama
Kazi inaendelea❤
🎉🎉🎉🎉❤
Many Congrats Mhe Rais wa JMT, Dkt SSH. Tanzania is very resourceful
IRON LADY ❤🇹🇿🇹🇿
Hongera saana mama yetu
MADAM PRESIDENT
Mama yetu ni mwalimu hodari sana na mkweli mno
Mama uko vizuri lakin naomba utoe neno tukisaidiwa , weka neno ,kuongeza watalam wa kilimo , na wengine kwa ajili ya uzalishaji zaidii ,lakn ongera mam uongozi sio rahisi mum
Adhna mh.ungesitisha kidogo ingependeza
Huwa akisikia ananyamaza ila ukiona hivyo hajasikia, yeye pia ni binadamu.
Gas ndio nishati safi ya kwanza duniani wazungu wasitupoteshe
Umaskini kweli ni stafsiri
Mama ongera kwa jitihada zako kutupambania wananchi wako. Naomba jasiri ukiri au Nena kwa wananchi wako umasikini au njaa basi itakoma. Kwa Nini tuna ardhi na vyanzo vya maji ya umwagiliaji vipo. Wataalam wa kilimo na ufugaji kila Kijiji wapo wanalipwa mshahara kila mwezi wakiwajibika ipasavyo. Mifano kila Kijiji wakiwezeshwa trekta na pembejeo na utaalam hiyo njaa itatokea wapi.
Huyu ndio Rais hodari kabisa na ameonyesha umahiri usio wa kawaida huku wengine wakipiga midomo badala ya kutafuta fursa wanasubiri wapewe kama walemavu
Mala hii magufuri mmeona hakufaaa,binadamu bwana
Kwani huyu akisifiwa ndiyo maana kuwa Magu kapondwa😂
@@NDEWARA elewa neno umahiri usio wa kawaida,
@@bahatielias6443ni kweli ni mahiri au wewe ulitaka asiitwe mahiri?! au mahiri Mboe au vipi?!
Imbofu!
KUDOS
Strong 🇹🇿🙏