Salama mkuu..pole kwa tatizo hilo maana kwa 2lte kuvuja oil na kupoteza maji inakufa haraka sana. Tukirudi kwenye tatizo lako rings umebadilisha na ilipimwa sleeve haijatanuka au piston kukonda?pia check na turbo hope tatizo litakuwa hapo
@@abubakarukwaju5336 salaam hapo kuna mambo mawili au matatu kwanza turbo inaweza kua inajaza oil...pia sleeve kutanika au piston kukonda kuna kitabu nikutumie Whatsapp number 0716209844
Turbo toa kile pipe ya Breezer uone ikiwa yenyewe tuu...sleeve na piston ikifunguliwa engine pima kimoja kimoja na precious tool i.e venia calliper nk pia pima boa vipo kujua uzima wake utaon kwenye kitabu
Topnotch
Mambo vp mkuu me mwnyewe 2lte yng ilibadilishwa piston rings na nkanunua overhaul gasket lkn still oil inatokea kwnye breather shida inaweza ikawa nn?
Salama mkuu..pole kwa tatizo hilo maana kwa 2lte kuvuja oil na kupoteza maji inakufa haraka sana. Tukirudi kwenye tatizo lako rings umebadilisha na ilipimwa sleeve haijatanuka au piston kukonda?pia check na turbo hope tatizo litakuwa hapo
Kwenye vipimo ntakusaidia manual au engineering wanapina, pia turbo unaweza tengeneza au kununua mpya zipo(budget ya mpya 850k-1000k Chinese).