NI IPI HUKMU YA KUSUKA RASTA, NYUZI NA KUVAA MAWIGI KWA WANAWAKE?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ธ.ค. 2023
  • Je inajuzu mwanamke kusuka kwa kuunganisha nyuzi au rasta (nywele bandia za madukani?). Katika video hii sheikh amejibu swali kutoka kwa muulizaji alipokuwa anahitaji kufahamishwa juu ya dalili zinazoruhusu / kuzuia mwanakmke kusuka kwa nyuzi au rasta.
    Swali hapa lilikuwa ni kuunganisha nywele na kuvaa mawigi na hukumu zake katika sheria ya kiislamu. Urembo wa wanawake na mipaka yake imeelezewa kupitia swali hili.

ความคิดเห็น • 3

  • @rahmahabibu4727
    @rahmahabibu4727 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kwahy kwa kifup uzi ni ruksaaaaaaaa

  • @HafswaRashid-w1o
    @HafswaRashid-w1o 28 วันที่ผ่านมา

    Je mtu anaruhusiwa kusali akiwa amesuka rasta