JE YAFAA MWANAMKE KUNYOA NYWELE BAADA YA KUFIWA?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 22

  • @faizanassor6336
    @faizanassor6336 4 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah shukrain tunafaidika shekhe allah awalipe kila lakheri allahuma ameen

  • @aishakinia4957
    @aishakinia4957 4 ปีที่แล้ว +1

    Shukran sheikh wallahi nimefaidika... Nilishangaa sana alipokaa Eda mamangu baada ya baba kufariki... Wallahi watu wanaeka sheria zao kinyume cha dini

  • @samamussakibwana5703
    @samamussakibwana5703 4 ปีที่แล้ว +2

    Masharllah swali nzuri sana mwenyezi mungu awape Pope ya juu kwa huruma yake

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta2227 3 ปีที่แล้ว +1

    Subhannallah jamani sheikh miminilipofiwa namume nilikoma kuzaliwa sikuta3 baadaya maziki ninyolewa kipara kabisaaa tena nywelezangu zilikuwarefuutu kumbe haikuwa lazima jamani hizimila tuziache tenaa

  • @rahmaoman5122
    @rahmaoman5122 4 ปีที่แล้ว

    Jazzakallahu khayra sheikhe Nurdin kishki

  • @mohammedkiamaiko5401
    @mohammedkiamaiko5401 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah Sheikh. ALLAH Akujalie kila lakheri

  • @mwanaidimuhindi6671
    @mwanaidimuhindi6671 4 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah sheikh

  • @amofesa8166
    @amofesa8166 4 ปีที่แล้ว

    Walaykum salam warah maturllah wa barakatu. Allah awajaliye pepo ya firdaus kwa huruma wake

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 4 ปีที่แล้ว

    Waalykum msaalam waramatulah wabarakatul. Masha Allah Lahwala walakuwatah illabilah. Shukran kwa somo vzr kabisa. 😍😍

  • @khadijaiddi4887
    @khadijaiddi4887 4 ปีที่แล้ว

    Maa shaa Allah jazakAllah kheir sheikh

  • @MwanahamisiShewali
    @MwanahamisiShewali 4 หลายเดือนก่อน

    Asante sheghe

  • @abuuafnan5818
    @abuuafnan5818 4 ปีที่แล้ว +1

    Nurdin kishki may Allah sw bless you and your family

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwl Shekh watu wanachanganya dini na utamaduni

  • @hamukumupu9106
    @hamukumupu9106 4 ปีที่แล้ว

    asante kw darasa mzuri ndugu yetuuu

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 4 ปีที่แล้ว

    Shukran sana ustadhi

  • @Khadija.pande6
    @Khadija.pande6 4 ปีที่แล้ว +1

    Asalam alehkum warahma tullah wabarakatu

  • @faustinealoyce3046
    @faustinealoyce3046 4 ปีที่แล้ว

    Jazaq Allah kherii

  • @MwanahamisiShewali
    @MwanahamisiShewali 4 หลายเดือนก่อน

    Je sheghe mwanamke alokua eda haruhusiwi kulala kitandan ndani ya miezi mi nne na siku kumi

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 4 ปีที่แล้ว

    Afadhali tumepata uhakika wa kunyoa nywele Alhamdullillah

  • @alisaid6876
    @alisaid6876 3 ปีที่แล้ว

    Assalam aleykum,je ni lazima aliye kwenye edda ya kifiwa pale anapopatwa na udhuru wa kutembea kuficha au kufinika uso

  • @naamohamed9964
    @naamohamed9964 4 ปีที่แล้ว

    😃😃😃etiii sijambooo sijui niniiiiii