Hawa Mayahudi si ndio wale waliotaka kumuua Nabii Issa as. Ust. Mazinge

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 186

  • @aminahkimwana109
    @aminahkimwana109 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi_Mungu akuhifadhi ❤❤❤

  • @KhadijaMohammed-z8c
    @KhadijaMohammed-z8c ปีที่แล้ว +3

    Takbiriii

  • @Azuu-rq6te
    @Azuu-rq6te ปีที่แล้ว +8

    MaashaAllah Sheikh Mazinge Nakupenda kwa ajili ya Allah, Nakuombea kwa Allah akuzidishie umri mrefu uzidi kutupa elimu.

  • @MuniraShughuli-kc7vj
    @MuniraShughuli-kc7vj ปีที่แล้ว +4

    Twakupenda kwa Ajili ya Allah 🤲

  • @jumahamad3723
    @jumahamad3723 ปีที่แล้ว +1

    Allah akufanyie wepes katika uislamu na harakati za daawa

  • @bibisalim8666
    @bibisalim8666 ปีที่แล้ว

    Allaha akubariki hapa duniyani nakesho ahera tuwe pamoja peponi Amiin

  • @shabansumaiya4770
    @shabansumaiya4770 ปีที่แล้ว +5

    Allah atujaalie mwisho mwema

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว +1

    Allah nakuomba umlipe shekhe Mazinge Jannah🙏amefanya kazi kubwa mno na anaendelea kuifanya 🙏

  • @kessesqalead6241
    @kessesqalead6241 ปีที่แล้ว +7

    Uyu mzee akifaaa ntasikitika sana wallah

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 ปีที่แล้ว +1

      Sema akianza yeye,ukianza wewe he!!,Allah akulinde amiin amiin

    • @ZsbAlbarwani
      @ZsbAlbarwani ปีที่แล้ว +2

      Allah ampe umri mrefu InshaAllah

    • @jamillamasoud5608
      @jamillamasoud5608 ปีที่แล้ว +1

      Allah ampe Umri Mrefu InshaAllah

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh ปีที่แล้ว +1

      lazma ukasirike maana umeamini binadamu kama ww ukakataa biblia,mazinge ni agent wa shetani kuwapeleka watu motoni!

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh ปีที่แล้ว

      @@jamillamasoud5608 allah ampe umri mrefu ili aendeleye kuwadanganya nakuwapotosha watu ndivyo munavyo taka shauri lenu!

  • @hassanhamisi9096
    @hassanhamisi9096 ปีที่แล้ว +5

    Allah akupe umri mrefu ili utupe elimu

  • @AliMohamed-pj1sb
    @AliMohamed-pj1sb ปีที่แล้ว +9

    Dini ya kweli kwa Allah ni uislamu ...Yesu mwenyewe ni muiislamu aliingia sinagogi waislamu takbir

    • @ZsbAlbarwani
      @ZsbAlbarwani ปีที่แล้ว +1

      Allahu Akbar ☝️

    • @saumusalimuhassan2499
      @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว +1

      AllahuAkbar

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 ปีที่แล้ว +2

      Kwa hiyo wayahud ni waislam, maana masinagog ni makanisa ya kiyahud na inasomwa biblia sio quran, sasa nyie sijui kina nani, tatizo akil hamna mnaropoka ka wehu, tulizeni akil

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh ปีที่แล้ว

      nipe andiko linasema dini ya kweli mbele za Mungu ni islam,sio kwa mdogo ila leta andiko,kwanza ujuwe mazinge ni agent wa shetani kuwapeleka watu kwa shetani!

    • @josephwilliam5813
      @josephwilliam5813 ปีที่แล้ว

      ACHA ujuha kama sinagogi ni MSIKITI JE nyumba ya ibada ya wayahudi inaitwaje?

  • @jaduj4-px9jq
    @jaduj4-px9jq ปีที่แล้ว +1

    Allah akulinde na safari

  • @seiflugendo7141
    @seiflugendo7141 ปีที่แล้ว +3

    Mwenyezimungu akutangulie ustadh.

  • @adamopitanvitanvita7958
    @adamopitanvitanvita7958 ปีที่แล้ว +1

    Allah akupe umri mrefuu ya habib

  • @salehemohamedi6560
    @salehemohamedi6560 ปีที่แล้ว +1

    Amina mwenzimungu akujaarie

  • @MziuKhamis
    @MziuKhamis ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah Allah akupe umri mrefu utupe elimu

  • @hajilukani4769
    @hajilukani4769 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah🎉 congratulations

  • @Jumamabela
    @Jumamabela ปีที่แล้ว

    Allah akupe umri mrefu sheikh mazinge

  • @sakinahassani1455
    @sakinahassani1455 ปีที่แล้ว

    MashaAllah Allah akupe kheri

  • @hatibumohamedi3471
    @hatibumohamedi3471 ปีที่แล้ว +3

    سبحان الله

  • @hassansaidi8424
    @hassansaidi8424 ปีที่แล้ว

    Allah akupe hali murefu nakujaze heri

  • @nalingarowl7048
    @nalingarowl7048 ปีที่แล้ว +2

    Kiyama atakaerudi ni Yesu.Wayahudi ndiyo kabila ambae Mungu kupitia Yesu alishuka.Wana Uwezo wa maajabu katika mengi

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 ปีที่แล้ว +2

      alishuka nani unasema, kiswahili gn unatumia

    • @neemamajana3078
      @neemamajana3078 ปีที่แล้ว +1

      Wayahudi ni Taifa la Mungu hakuna anayewaweza, acha mbwa wabweke kwani hakuna wanalolijua.

    • @anwaryabdallah7782
      @anwaryabdallah7782 ปีที่แล้ว +1

      ​@@neemamajana3078Eti taifa lamungu!?Walitaka kumuua Yesu ambae ndiokimbilio lenu Alafu unasema taifa lamungu⁉️

    • @szbaacademy
      @szbaacademy ปีที่แล้ว

      Jews they are anti-christ followers (dajjaaal)

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 ปีที่แล้ว +2

      ​@@neemamajana3078Taifa la mungu klasku vta😂😂😂😂😂

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 ปีที่แล้ว +1

    Takbiir Allah Akbar

  • @issafaquedalaura8279
    @issafaquedalaura8279 ปีที่แล้ว

    Masha Allah 🥰

  • @nicksonlyimo1562
    @nicksonlyimo1562 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo ni mtu ukiamua kwa dhati kuishia maisha ya kumcha Mungu kwa ukweli ,mpira unakua ni dhambi kubwa sana

    • @babuloliondo74
      @babuloliondo74 ปีที่แล้ว

      Nikweri sisi mungu wetu wakirasiku sio yure wa jumapiritu

  • @AlMuallay
    @AlMuallay ปีที่แล้ว +5

    Kiboko wa wakristoo

    • @lululivingstone8298
      @lululivingstone8298 ปีที่แล้ว

      Wa kristo hatuna kiboko wala mashindano ila nyinyi mnajitekenya na kucheka na wazahifu wa imani ndio mnawateka maana maongezi haya hayana mashiko anaongea stori za kitoto

  • @munamuna4621
    @munamuna4621 ปีที่แล้ว +1

    Amiiin yarrabi

  • @IkwabeJames
    @IkwabeJames ปีที่แล้ว

    Maashallah

  • @ngagishow2614
    @ngagishow2614 ปีที่แล้ว +1

    Mwalimu ongera sana

  • @jacksonngusi4122
    @jacksonngusi4122 ปีที่แล้ว +5

    Kumbe Yesu pia ni mkubwa sana hata katika uislamu na Bwana apewe sifa

    • @ntakirutimanavicent-lj2tn
      @ntakirutimanavicent-lj2tn ปีที่แล้ว +3

      Mbona mukisema yesu lazma muongeze neno bwana 😂😂 nyinyi ni mademu Nini?? Yeye ni bwana nyinyi ni mademu au? Wakristu acheni Ushoga kwani ninani asiejuwa kama yesu ni kidume Kama kama vidume wote namimi nikiwemo Utafauti wangu naye yy Ni mtume wa Allah Mimi mjinga moja

    • @mwashumkigoda
      @mwashumkigoda ปีที่แล้ว

      Macho yenu na roho zenu mbaya washenzi nyie uidlam ndio dini ukristo biashara

    • @KHAMISIMUNGI-w7e
      @KHAMISIMUNGI-w7e ปีที่แล้ว +2

      Ni kweli mkubwa, lakini c mungu Wala mwana wa mungu kama nyinyi mnavyoamini, ubarikiwe

    • @joezeno8
      @joezeno8 ปีที่แล้ว

      ⁠​⁠​⁠​⁠@@ntakirutimanavicent-lj2tnkweli wewe ni Mjinga! Jina “Said” maana yake Bwana, sasa na Waislamu kimuita Mwanaume mwenzie”SAID” ni Ushoga?

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 ปีที่แล้ว

      ndo nini sasa kwani bwana si mwanaume yyte, kwani si tuna sema ma bibi na mabwana sasa kuitwa bhna ndo nini sasa, iv kwani yesu aliwahi kuingia kanisani kwani na ilikua jumaa ngp. na alivaa suti rangi gn

  • @mesaidikazungu4299
    @mesaidikazungu4299 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @shukurukitabana5280
    @shukurukitabana5280 ปีที่แล้ว

    En tout cas toutes les église ont sa théologie. Vs avais compris sa demande de l'offrande. Nime kubali kabisa akuna dini bila pesa .kwakweli wa afrika tuna kazi ngumu sana

  • @sophiajuma6798
    @sophiajuma6798 ปีที่แล้ว

    Ameen thuma Amiin 🤲

  • @adamkanja6449
    @adamkanja6449 ปีที่แล้ว +2

    ❤❤

  • @shizoshop2469
    @shizoshop2469 ปีที่แล้ว +1

    Hapo kwa mitume wengi duniani umenikosha nikweli kbsa

  • @rama_kajenza.
    @rama_kajenza. ปีที่แล้ว

    Mbona hii comedy sasa sheikh😂😂😂😂😂

  • @TabukidebweKidebwe
    @TabukidebweKidebwe ปีที่แล้ว

    Aamina

  • @Gloriousacademy-e8l
    @Gloriousacademy-e8l ปีที่แล้ว

    Assalaam ghalaykum jaman mwenye namba za huyu shekhe mazinge naomba pls

  • @habibamura5255
    @habibamura5255 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤

  • @DOCTORMitishamba-m1r
    @DOCTORMitishamba-m1r ปีที่แล้ว +1

    We nimpumbavu mungu anaweza kufanya chochote

  • @lululivingstone8298
    @lululivingstone8298 ปีที่แล้ว +2

    Zee zima halijui utabili wa manabii wa uongo ulitabiliwa afu nakushukulu sbb yesu unamjua

    • @mixhacute1375
      @mixhacute1375 ปีที่แล้ว

      Kakojoe ulale ukiamka kaendeleze kampeni zenu za Ushoga

    • @saidimdoe5246
      @saidimdoe5246 ปีที่แล้ว

      Ww unaejua sema sasa

    • @zubedarichard2311
      @zubedarichard2311 ปีที่แล้ว

      Zee baba Yako huyu shekhe Wetu Bado Kijana mmbichi

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 ปีที่แล้ว

      We kuma toka hapa nuksi wewe

  • @babuloliondo74
    @babuloliondo74 ปีที่แล้ว

    kweri taifa ramungu namungu mwenyewe warimtundika msarabani

    • @ZsbAlbarwani
      @ZsbAlbarwani ปีที่แล้ว

      Na alikufa akaaicha siku tatu dunia haina Mungu hatari

  • @JeanMuzaliwa-bs6qh
    @JeanMuzaliwa-bs6qh ปีที่แล้ว

    watu wanakuwa wenye kudanganywa pasipo kujua maana wamekataa ukweli,mathayo 22:29,2wathesalonike 2:9-12!

  • @MecksonPeresi
    @MecksonPeresi ปีที่แล้ว +1

    Wewe mazinge ni mpumbavu hujui ukweli wa wayahudi

  • @vincentcharles4385
    @vincentcharles4385 ปีที่แล้ว

    Sasa kama title inaandikwa mayahudi hiyo media inakuwaje?

  • @vincentcharles4385
    @vincentcharles4385 ปีที่แล้ว

    Mohammad walitaka kumuuwa sababu ya ubakaji

    • @impeccablerito7922
      @impeccablerito7922 ปีที่แล้ว

      Mda mwingine ukikaa kimya unaonekana una akili zaidi kuliko ukiongea

  • @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
    @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl ปีที่แล้ว

    Katika watu wenye loo mbya katika i dunia waslam awataki kuwaona waklistu wanaish katika i dunia ndomana ata mungu alijua ilo kuwapa waklsto kuwa na nguv angalia ata nnch zao vujo tup somali sudani

    • @AlbertMussa-lz2wf
      @AlbertMussa-lz2wf ปีที่แล้ว

      Ila nchi zenye amani ndo zinaongoza kwa ushoga hasa inchi za magharibi

  • @Yesunimwokozi1
    @Yesunimwokozi1 ปีที่แล้ว +1

    Wayahudi hao hao ndio walimpa sumu Muhammad akafa

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 ปีที่แล้ว +1

      Duh kumbe alipewa sumu

    • @Yesunimwokozi1
      @Yesunimwokozi1 ปีที่แล้ว

      @@adkajisi4536 naam

    • @hamidahamdun3646
      @hamidahamdun3646 ปีที่แล้ว

      Ulikuwepo? Unauhakika na unachokiandika?

    • @mashakabundala9955
      @mashakabundala9955 ปีที่แล้ว +3

      Kama una mzushia mtume wetu laana ya mwenyezimungu iwe juu yako na kila ufanyolo halito kwenda labda usilim

    • @manalb325
      @manalb325 ปีที่แล้ว +2

      Sio ukweli hajapewa wala hajafa kwa sumu

  • @Juniorjacob-le1rr
    @Juniorjacob-le1rr ปีที่แล้ว

    Nyie ndio mmejawa na huo ushoga

  • @DOCTORMitishamba-m1r
    @DOCTORMitishamba-m1r ปีที่แล้ว +1

    Aisei we mzee nimuongo atari

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 ปีที่แล้ว

      Muongo babako aliempa mamako mimba inje ya nfoa

    • @DOCTORMitishamba-m1r
      @DOCTORMitishamba-m1r ปีที่แล้ว

      @@saumbliz8983 kumayamamaako msenge wewe uliona minimetukana pele hayo mambo yawazaz yametoka wapi naukijibutu kumayamamaako tena

  • @joackimmutulu
    @joackimmutulu ปีที่แล้ว

    Sio kutaka walimuua kwa kwa kumuwekea sumu

  • @shabanbachane7318
    @shabanbachane7318 ปีที่แล้ว

    Utapokea mshahara gani

  • @pilatoonlinetv9660
    @pilatoonlinetv9660 ปีที่แล้ว

    Roho mbaya tu, Tafuta khela wacha makasiliko Nabii suleimani alipewa utajiri wa kutosha na bado tunaamini aliingia peponi.

  • @jofreykilangila4118
    @jofreykilangila4118 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU yeye hashindani . Wala habishani

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 ปีที่แล้ว +1

    Mazinge Acha kudharirisha uana zuoni wako, suala la Israel na Palestina Acha kabisa kulizungumza kidini za kibinadamu

  • @lululivingstone8298
    @lululivingstone8298 ปีที่แล้ว +2

    Atutaki hoja tunataka kuona jina la yesu likifanya kazi ayo mengine ni yenu pepo zinatetemeka kwa jina moja tu ukiamini utaokoka

  • @JeanMuzaliwa-bs6qh
    @JeanMuzaliwa-bs6qh ปีที่แล้ว

    ndio mwamposa sio mtume Mungu,Muhammad pia sio mtume Mungu,pia na ww mazinge unatumiwa na shetani kuwapoteza watu!

  • @mimishaidu5812
    @mimishaidu5812 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂funga milango

  • @pinielefraem4159
    @pinielefraem4159 ปีที่แล้ว +1

    Anamtuma muarabu sio

  • @nestorysanga3938
    @nestorysanga3938 ปีที่แล้ว +2

    Mtume wa Mungu anasifa Gani?
    Je mtume Mohamed alipewa utume na nani?
    Je mtume Mohamed alikutwa na nini kule pangoni ? Tunajifunza nini juu ya ndoa ya Mtume Mohamed na bi KHadija juu ya kupendwa na kupenda
    m

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 ปีที่แล้ว +1

    Mbona hata Waarabu walimpopoà mtume mawe? Mnawasema Wayahudi tu.

  • @RamadhanAlly-qg9hq
    @RamadhanAlly-qg9hq 4 หลายเดือนก่อน

    Ila uiaialu usipouwelewa bas

  • @RamadhanAlly-qg9hq
    @RamadhanAlly-qg9hq 4 หลายเดือนก่อน

    Mtume mnyakyusa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @neemamajana3078
    @neemamajana3078 ปีที่แล้ว +2

    Roho mbaya zinawasumbua sana ninyi maslamu. Hamtaki kusema Wayahudi wamechokozwa, sasa kelele za nini acha dawa iwaingie. Nguvu za kupigana hamunazo kazi ni uchokozi tu na mdomo.

    • @anwaryabdallah7782
      @anwaryabdallah7782 ปีที่แล้ว +1

      Wamechokozwa kwalip

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 ปีที่แล้ว +1

      Vta ya isrel na Palestine haijaanza leo wala jana ni mda mrefu wachokoz huwa ni wasrel

  • @nasrahamisi479
    @nasrahamisi479 ปีที่แล้ว

    KUNA MJINGA HAPO ETI ANASEMA ENDELEA KUPOTOSHA WATU WE MWEHU KWELI ANAKUPOTOSHA NANI WEWE MWENYEWE UMESHAPOTOKA

  • @martinmkoba361
    @martinmkoba361 ปีที่แล้ว +3

    Waislamu wengi sana wanapotoshwa na huyu

    • @suleim505
      @suleim505 ปีที่แล้ว +1

      Wacha chuki

    • @mohamedrashid8615
      @mohamedrashid8615 ปีที่แล้ว +1

      Ukweli wauma

    • @binmakinda4109
      @binmakinda4109 ปีที่แล้ว +2

      Chuki zako tu ila ukwer ndo uo

    • @hamidahamdun3646
      @hamidahamdun3646 ปีที่แล้ว +4

      Hajawahi kutupotosha huyu ni kiboko yenu nyinyi wakiristo ndio maana mnamchukia.

    • @dulividuli5237
      @dulividuli5237 ปีที่แล้ว +2

      Dawa inawaingia na bado mtazidi kumchukia mazinge😂😂

  • @bellasi349
    @bellasi349 ปีที่แล้ว

    Sasa kwanini mkuwe na mtume mwarabu kwanini asiwe mnyakyusa kwani muhamadi sialikuwa anauza ngamia

  • @eliudndadeba6193
    @eliudndadeba6193 ปีที่แล้ว

    ITAFIKIA HATUA IJNILI ITAHUBILIWA KWA HILA YESU ANATAJWA HADI MISIKITINI OKOKENI NYINYI KINGINE MAZINGE WE ULITAKA SADAKA ZAO WAMBIETU USIZUNGUKE UPEWE HIZO SADAKA UNAXOTAKA.

  • @BoniphaceTito
    @BoniphaceTito ปีที่แล้ว +1

    Wivu tu unakusumbua

  • @neemamajana3078
    @neemamajana3078 ปีที่แล้ว +2

    Kazi yenu ni maneno ya kupotosha watu, mfuga majini wakubwa.

    • @ShineniAhmadi
      @ShineniAhmadi ปีที่แล้ว

      Jitahidi uwe na jicho lakuona ili uone misukule iliopo makanisani inaita watu,

    • @AliAbdinoor-i4o
      @AliAbdinoor-i4o ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

  • @iddisalimu5028
    @iddisalimu5028 ปีที่แล้ว

    Ipo sku wakiristo watajuta kwa Julia machozi kikowapi yesu atawakana kwani mayahudi hawamjui yesu

    • @nicksonlyimo1562
      @nicksonlyimo1562 ปีที่แล้ว +1

      Wayahudi hawamjui YESU au hawamjui Mohammad? Yaani Kuna mtu akaacha kumjua mtu wa kwao? Unaota wewe,

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 ปีที่แล้ว

      ​@@nicksonlyimo1562yesu nani😊

  • @JamuhuriIsaya
    @JamuhuriIsaya ปีที่แล้ว +2

    Mazinge nimuongo wadanganye wajinga

  • @JajiZakayo-fw9mk
    @JajiZakayo-fw9mk ปีที่แล้ว

    hiyo wamakalu wamakala mbona unaitafasiri vingine haya inasema walifanya udanganyifu na Allah akafanya udanganyifu na Allah ni mbora wa kufanya udanganyifu.

    • @ashuramohamedumeongeavyema9710
      @ashuramohamedumeongeavyema9710 ปีที่แล้ว

      Muongo

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂 kasome tafasir vzr acha kumzulia mtume na mwenyezmngu na unaposoma aya za kwenye Qur'an uwe unaanza mwanzo had mwsho

    • @JafarHussein-qe6ly
      @JafarHussein-qe6ly ปีที่แล้ว

      Ndio maana Allah Taala Akawaita makafir. Yaani hata Alie kuumba unamuita muongo? Allah Taala Anasubra sana la sivyo Angesha waangamiza enyi wanyama mlio kosa shukurani .

  • @JamuhuriIsaya
    @JamuhuriIsaya ปีที่แล้ว +1

    Nabii wako marihemu hata ala wako naye Ni baba wauongo

    • @jumahamad3723
      @jumahamad3723 ปีที่แล้ว

      Kwani nani hatokufa
      Kama ww sio marehemu kaa ivo ivo

  • @raiyaaaraiyaa6054
    @raiyaaaraiyaa6054 ปีที่แล้ว

    Hapo ndio wakristo huwajielewi. Ati mapadr wanawambia heri alie masikin wa roho maana ufalme wa mbingun ni wao. Alafu mapadr wao ni matajir kwa psa zao. Hivi hamujiuliz Kwan Hawa mapadr hawataki ufalme wa mbingun. Tumieni akili

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 ปีที่แล้ว +2

    Mbona kimbunga kilichotokea kule maqa kidogo na lile box jeusi mnalozungukaga libomoke hajasema umekazana na marekani

    • @Mumewangu
      @Mumewangu ปีที่แล้ว +4

      Hayo maneno utakuja yajutia pale Roho yako inatoka. Kama itafikia mpaka mda huo haukuingia katika uislam na kujjutia

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 ปีที่แล้ว +1

      @@Mumewangu mi siwezi kua mpagani na kumfuata Mungu WA kiarabu WA kabila la makuresh mi namfuata Mungu mwenye pumzi ya uhai na MWANAE Yesu Christo Bwana WA Mabwana mfalme WA wafalme

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 ปีที่แล้ว +4

      iv unajua ile alkaba unayoiita jiwe, unajua aliijenga nani au unasema tu soma vitabu utaona, ibrahi ndo amejenga ile alkabA ambae ni baba wa imani ww kaa tu na mwamposa wako. kasome kitabu cha mwanzo itakutia hadi maji ya zam zam yametajwa. ww bakk tu wazungu wakuletee suti na yesu alivaa kanzu na kwenda msikitin

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 ปีที่แล้ว

      @@medimisi6930 nipe Aya Katika kitabu cha mwanzo inayosema Ibrahim kajenga Hilo box lenu jeusi huu ni uongo na haujawahi kutokea

    • @hamisihassani7356
      @hamisihassani7356 ปีที่แล้ว +5

      Hawapendi kusoma vitabu hao ataukiwambia ukweli hawapendi

  • @BoniphaceTito
    @BoniphaceTito ปีที่แล้ว +1

    Endelea kufundisha uongo na kupotosha watu

  • @abelmbata37
    @abelmbata37 ปีที่แล้ว

    Kwanza si kweli kwamba mechi 10 ni siku 37 ni masaa 15 (1.5×10) hata mechi zote 100 hazifiki siku 37 bali ni siku 6 tu.
    Mara nyingi watu tunaangalia wanayofanya wenzetu ambayo sisi hatupendi tunaona kama ni dhambi sasa jiulize mechi 1 ni dakika 90 je inamaana we Mazinge hakuna siku hata 1 ambayo umepoteza dk 90 katika wiki? Maana mpira ni mara moja kwa wiki.
    Inamaana wewe wakati wote unasali?
    Mpira ni mara moja au mbili kwa wiki je wote ambao hawajaenda mpirani wapo ibadani? Kosa ni kuangalia mpira au kuto kwenda ibadani? Maana inaonekana walioenda mpirani ndo wamekosea saana kuliko ambao hawajaenda hapo nao hawajaenda kuswali
    Hoja hapa nafikiri isiwe mpira bali watu wamwabudu Mungu maana yale ujumbe uwafikie watu wote hata ambao hawajaenda mpirani lakini hawapo kwenye ibada

  • @Juniorjacob-le1rr
    @Juniorjacob-le1rr ปีที่แล้ว

    Mjinga namba moja dunian ni mazinge