URUSI kuisaidia SIERRA LEONE kupata nishati ya NYUKLIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 พ.ค. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 69

  • @user-ny2cd9dt1d
    @user-ny2cd9dt1d หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤Shuuhudia Africa inaanza kuamka. Kufikia 2030 tutaona mabadiliko makubwa mno.

  • @kassimbayuu5217
    @kassimbayuu5217 หลายเดือนก่อน +5

    Kwa hapa tz ufisadi umeea sana yaan hata viongozi wakipewa mkopo mkopo haufanyi kazi zaidi ya kulimbikiza deni kwa wananchi wanyonge

  • @ombeniruvubika5392
    @ombeniruvubika5392 หลายเดือนก่อน +8

    Asante sn putin
    Slowly Slowly Africa will be free from imperialism.

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 หลายเดือนก่อน

      It's not easy course after that they will expoit them self mfano Tanzania tumepata unit nyingi za umeme lakini viongozi wamegoma kushusha gharama kwa wananchi wake

    • @StephanoMoses
      @StephanoMoses หลายเดือนก่อน

      🎉

  • @chesterbrand6723
    @chesterbrand6723 หลายเดือนก่อน +3

    SNS forever thanks so much brother masudi & all SNS team

  • @kassimbayuu5217
    @kassimbayuu5217 หลายเดือนก่อน +7

    Hawa jamaa ndio wanazdiki kupata kushawishi afrika, hongera sana nchi zinazotumia fursa hiyo

  • @BushashaSwitch
    @BushashaSwitch หลายเดือนก่อน +16

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮natowa salamu Kwa wana Sns wote kwanzia kwa sky dj sma ally na wengine wengi tu

    • @Hassan_Mengi
      @Hassan_Mengi หลายเดือนก่อน

      Komera chane mwenewachu 🇹🇿🇧🇮✌️

  • @ngendakumanajeanmarrie7490
    @ngendakumanajeanmarrie7490 หลายเดือนก่อน

    Asante viongozi wetu nikuenda kuonyeshana viatu hakunakitu wanatudaidia miaka ne da rudi niumeme maji hatupati wanaenda kujaza matumbo zaotu wengine wanawaza vitu vyakuinua nchi ifike mbali lakini viongozi wetu afrika wanawaza kuiba nakujinunulia vitu vyatamani walaanie kabisa

  • @billskeez92
    @billskeez92 หลายเดือนก่อน +5

    Ally Masubi on the 🔥🙌👌@SkeezBill🇧🇮

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu awalipe nyiiote mnaotupa habari

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk หลายเดือนก่อน

    Nzuri sana hiyo habari Tanzania tufuate huo mradi

  • @hamisramadhan-eb3ie
    @hamisramadhan-eb3ie หลายเดือนก่อน

    Asante kwataalifa

  • @aziza9093
    @aziza9093 หลายเดือนก่อน +1

    Asente mungu kwakutujuw haja zaafurik❤❤

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 หลายเดือนก่อน +3

    Niceeee more advanced

  • @Hassan_Mengi
    @Hassan_Mengi หลายเดือนก่อน +1

    Bora sana Urusi. Achana na hao wanaotuletea stori za ushoga

  • @imanuelnguya9277
    @imanuelnguya9277 หลายเดือนก่อน +4

    Asante sana ndg mtangazaji asante sana ndg mchambuzi kumbe madini haya tunayo tunakwama wapi mbona tunachelewa sana au pesa nyingi sana kutengeneza huu mradi mchambuzi naomba majibu

    • @user-vv6ox9xh9k
      @user-vv6ox9xh9k หลายเดือนก่อน

      Nasaidia hapo ukiruhsu tu manyang'au wanatupora, we tusubirie urusi kwanza 😂😂

    • @imanuelnguya9277
      @imanuelnguya9277 หลายเดือนก่อน

      @@user-vv6ox9xh9k Sawa sawa

  • @abdhuliddie296
    @abdhuliddie296 หลายเดือนก่อน

    We have geothermal energy in kenya

  • @HamadJuma-kj5td
    @HamadJuma-kj5td หลายเดือนก่อน +3

    Good news

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 หลายเดือนก่อน +3

    Hatari dunia imefika mwisho

  • @danielmkama24
    @danielmkama24 หลายเดือนก่อน +7

    Duh! leo ndo nmejua kuw huku Tz kuna Uranium japo cjui ni kitu gan kwa usahih

    • @bakarussi5428
      @bakarussi5428 หลายเดือนก่อน +3

      Uranium ni madini ambayo hutumika kutengeneza nucliar bomb lakn pia hutumika kutengeneza umeme tena umeme wake unakuwa mzuri zaid ya huu wa kutumia maji....na madin hayo hupatikana kwenye maadhi ya mito hapa tanzania km alivoitaja ndugu mchambuzi hapo juu

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 หลายเดือนก่อน

      Magufuli kutangaza kote kule hukuwahi skia? Kweli Nabii hakubaliki nyumbani 😩

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 หลายเดือนก่อน +1

      yanapatikana songea

    • @danielmkama24
      @danielmkama24 หลายเดือนก่อน

      @@atutweve4160 we umeenda mbali sana, kukubalika na kutoskia hilo kuna uhusiano gan??

    • @danielmkama24
      @danielmkama24 หลายเดือนก่อน

      @@bakarussi5428 🙏

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything หลายเดือนก่อน

    👍👊✌️.

  • @user-dg7wf6fg2j
    @user-dg7wf6fg2j หลายเดือนก่อน

    Ally kaongea kwa uzito Sana

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 หลายเดือนก่อน +3

    I am free town right now

  • @user-ow2jv4vn8b
    @user-ow2jv4vn8b หลายเดือนก่อน +1

    Hiisasa Ina waumixa Sana manyang,a mwisho ni nyukilia kuingia Africa

  • @rashidrajab1391
    @rashidrajab1391 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania 🇹🇿 tusiachwe nyuma

  • @user-nj2gc7ey1j
    @user-nj2gc7ey1j หลายเดือนก่อน

    Na Burundi

  • @saidkhalfan8207
    @saidkhalfan8207 หลายเดือนก่อน +1

    Ali masod

  • @cidewashington670
    @cidewashington670 หลายเดือนก่อน +10

    Asante Russia, Dunia inaeelekea Mashariki🇷🇺🇷🇺💪💪💪💪

  • @idinado-wk3lx
    @idinado-wk3lx หลายเดือนก่อน +2

    Wala siyo cha kufulaiya

  • @samwelshepa8443
    @samwelshepa8443 หลายเดือนก่อน

    Tanzania uranium ipo lakini kutokana na mikataba tata ya magharibi na kimataifa haikidhi vigezo ya kutumia uranium ila kwa nyepesi nyepesi inasemekana huko kusini mwa Tanzania hiyo miradi inavunwa na Wamarekani.

  • @gabrielbanda6839
    @gabrielbanda6839 หลายเดือนก่อน +4

    Safii Sanaa,,je Tanzania tutafikia huko⁉️

    • @Hassan_Mengi
      @Hassan_Mengi หลายเดือนก่อน

      Chini ya Samia… sahau!

  • @user-ny2cd9dt1d
    @user-ny2cd9dt1d หลายเดือนก่อน

    Sasa Tz tunakwama wapi? Mbona mpaka sasa tuna umeme wa mgao?

  • @Kingsusi
    @Kingsusi หลายเดือนก่อน +3

    Umeme wa nishati ya nyuklia ni gharama kuliko hata wa maji na haya maneno hata magufuli pia alisema

    • @Kingsusi
      @Kingsusi หลายเดือนก่อน +1

      Ndio maana hata magufuli alitumia nguvu nyingi kufua Umeme Kwa njia ya maji na akaacha ya uranium

  • @user-vt2oj3sr4k
    @user-vt2oj3sr4k หลายเดือนก่อน +1

    Viongozi wanapaswa kua na future na taish ili vizaz vyetu vilinde haswa na wakolon na mataifa jiran watakao tumiwa dhid yetu

  • @piterasifa3757
    @piterasifa3757 หลายเดือนก่อน

    Tanzania bado tupo na US wanatuchelewesha tu hawa jamaa

  • @mutambukamubaraka
    @mutambukamubaraka หลายเดือนก่อน +1

    👍👍🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺♥️✌✌✌

  • @abdallahlupatu1093
    @abdallahlupatu1093 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa Tanzania sidhani kama tutanufuika na haya madini labda uongozi ubadirike

    • @Hassan_Mengi
      @Hassan_Mengi หลายเดือนก่อน

      Samia hana maono

  • @theophilbuay4005
    @theophilbuay4005 หลายเดือนก่อน

    Viongozi wa kitanzania wanataka mradi uwe na kipande cha rushwa kwanza kwao ndo waweze kuipeleka kwny mjadala! Tofauti na hapo no na haifai!

  • @zanzibarsmzenji
    @zanzibarsmzenji หลายเดือนก่อน

    Hahaha TZ bana,utasikia Sisi tuna tanzanite,Gesi,Dhahabu, Uranium.
    Cha kushangaza Faida hazionekani wala kupatikana .Au wanakula wakubwa?
    Wacheni mambo ya kizamani,kufungua maskani za vyama na kugaia watu Fulana .
    Mupo kisiasa zaidi

  • @thomaschacha6115
    @thomaschacha6115 หลายเดือนก่อน

    Yaani kama sisi hii fursa ya Russia ambao ndio wakombozi wa wakoloni hatuioni?

  • @jongosalehe1036
    @jongosalehe1036 หลายเดือนก่อน

    Congratulations Russian

  • @MAHAN-099
    @MAHAN-099 หลายเดือนก่อน

    Tunapaswa kuhamia kwa Russia sasa muhimu kuwa makin tu kimipango

  • @Soon815
    @Soon815 หลายเดือนก่อน +2

    Pumba tupu! Hiyo leone hata chakula tu ni shida,miundombinu sifuri wanaingizwa kwenye mkenge wa nishat ya nuclear ambayo ni gharama vibaya mno!!
    Hapa mrussia anawinda madini ya leone

    • @geomangi6123
      @geomangi6123 หลายเดือนก่อน +1

      basi umemaliza mchezo wanaingia cha kike

  • @3erffeoui86
    @3erffeoui86 หลายเดือนก่อน

    2027 kenya wata anza nuclear power plant

  • @Matalatala267.
    @Matalatala267. หลายเดือนก่อน

    Sio hawa washenzi wanawapa wanajeshi wetu wa Tanzania maboza manne ya maji wakati jeshi la Tanzania lina uwezo wa kutengeneza hivo vi boza vilitolewa na Marekani

  • @atutweve4160
    @atutweve4160 หลายเดือนก่อน +1

    THIS IS NOW TOO MUCH, VERY DANGEROUS FOR AFRICA 😩😩😩

    • @Hassan_Mengi
      @Hassan_Mengi หลายเดือนก่อน

      Siyo mbaya kama unavodhani ndugu, ebu skiliza maelezo ya mchambuzi kwa umakini uelewe vzr

    • @atutweve4160
      @atutweve4160 หลายเดือนก่อน

      @@Hassan_Mengi nmesoma najua 😳

  • @atutweve4160
    @atutweve4160 หลายเดือนก่อน +2

    WANAAZAGA HIVO HIVO ETI NYUKRIA YA AMANI MUNGU WANGU DUNIA ITAISHA SOON 😳

  • @saidseleman2973
    @saidseleman2973 หลายเดือนก่อน

    Atuitaji matumizi ya ulenium ni hatari tuna vyanzo vingi ya umeme

    • @kalokolamulumbe8445
      @kalokolamulumbe8445 หลายเดือนก่อน

      Hatar kwa nn,maana nchi zilizoendelea miaka mingi zinatumia,au una mfano dhabiti

    • @JohnCage-we6tp
      @JohnCage-we6tp หลายเดือนก่อน

      Kipi ni chazo kizuri cha umeme kuliko uranium??? Uranium kilo 2 unaweza kutumia umeme kwa mda wa miaka 10 bila ya kuchaj au kua na mpango mwengine nashaanga Tanzania uranium ipo ila hakun kiogozi kawek hat Nia ya kutumia neema hii alio tup mungu

  • @user-jn7hu7to7n
    @user-jn7hu7to7n หลายเดือนก่อน +3

    Tanzania itapiga hatua kwa haraka kama wanaotawala wataondolewa madarakani au atokee mtu ndani yao atakae enda kinyume nao kama buludoza ila ni nadra sana

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk หลายเดือนก่อน

    URUSI NI MOANGO MZIMA SASA. ILA KWA MABWEGETU NDIO WATAENDELEA NA KUOMBAOMBA MAGHARIBI.