MAZISHI YA SHEIKH BASALEH KUTOKA MSIKITI WA MTORO MPAKA KISUTU, AZIKWA NA MAELFU YA UMMATI - 2023

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ต.ค. 2024
  • Mazishi ya Sheikh Ali Said Basaleh kutoka Masjid Mtoro kuelekea Makaburi ya Kisutu , Julai 31,2023. Sawa na Kiarabu Mwezi 13 Mfungo Nne Muharam Mwaka 1445 Hijriyya. Na amefariki 30-07-2023 katika Hospitali ya Agakhan Jijini Dar Es salaam Jumapili na kuzikwa Kisutu leo Jumatatu
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / miladu_tv
    FACEBOOK: / babdeo miladu/
    TIKTOK: www.tiktok.com...
    TH-cam: / @babdeomiladu

ความคิดเห็น • 32

  • @Lulualshagri
    @Lulualshagri ปีที่แล้ว

    Mashaallah viongozi wamejitokeza kumsindikiza safari yake ya mwisho shekhe wetu tutakulilia kila siku iendayo kwa m,mungu

  • @abdallahsaid8157
    @abdallahsaid8157 ปีที่แล้ว +1

    Allah amraham sheikh wetu!

  • @Lulualshagri
    @Lulualshagri ปีที่แล้ว

    Allah akujaalie pepo ya juu shekhe wetu alii baaswale tutakukumbuka daima😢

  • @nully123
    @nully123 ปีที่แล้ว

    Allah atupe mwisho mwema na awajaalie wote walotangulia mbele ya haki makaburi yao rawdha min riyadhil Jannah aameen

  • @infocontentchannel
    @infocontentchannel ปีที่แล้ว +2

    اللهم اغفرله و ارحمه و اسكنه في الجنة

  • @alibushiri4725
    @alibushiri4725 ปีที่แล้ว +1

    Innalilah wainnairaih rajiun 😭😭😭😭 mungu ampe Kaur dhabiti sote njia moja

  • @hemmysaleh3521
    @hemmysaleh3521 ปีที่แล้ว +2

    Mmoja KATIKA Masheik wakubwa kwa Tanzania na Africa Mashariki

  • @salmaally8243
    @salmaally8243 ปีที่แล้ว

    Innalilah wainailaih rajuun

  • @fatmahaa8816
    @fatmahaa8816 ปีที่แล้ว

    Innalilah wainnailaih rajiun mwenyezi mungu hailaze rohi yake mahali pema peponi

  • @zeharaz4116
    @zeharaz4116 ปีที่แล้ว

    Inna lillah waina illahi rajoun Alla ampe kaul thabit amsameh madhambi yake kaburi lake rodha Mina rodha Jana Ameen

  • @kassimibrahim4776
    @kassimibrahim4776 ปีที่แล้ว

    Innah Lillah Waina Illah Rajiuun, Allah aipe subra na uvumilivu familia yake

  • @thedoctor8301
    @thedoctor8301 ปีที่แล้ว

    ALLAHUMA GHAFIRAHU WARHAMHU WAAFIHI WAAFUAHU.
    Moja ya viongozi waliopigania hijab mashuleni, ALLAH amswamehe makosa na madhambi yake

  • @mwanarusichambo6760
    @mwanarusichambo6760 ปีที่แล้ว

    Allah amsamehe makosa yake, ampe pepo ya juu pamoja na sheikh abdallah daud

  • @jumaakida5951
    @jumaakida5951 ปีที่แล้ว +1

    Innalilahi wainnailaihi rajiun

  • @abdelnasseraq7133
    @abdelnasseraq7133 ปีที่แล้ว

    ألله يغفرله ويرحمه ويسكنه فسيح جناته ويلهم اهله الصبر والسلوان وانا لله وانا اليه راجعون

  • @halimahalima1488
    @halimahalima1488 ปีที่แล้ว

    Innalilah wanna ilah lajighuni 😢

  • @abdulismail6116
    @abdulismail6116 ปีที่แล้ว

    Masheikh wanaonyamazia bidaa siku na nyie mtakuja kufa na mazishi yenu yatakuja kuwa hivi, hayo makofi na dhikri hizo wamezitoa wapi hembu someni dini na muone jinsi mtume s.a.w alivyofundisha adabu za maziko, Allaah amrehemu sheikh Ally basaleh

  • @shamsaelbeity8250
    @shamsaelbeity8250 ปีที่แล้ว +1

    Sasa hizo takbira zanini? Munaleta bidaa wapi imethiti?

    • @faiditv5535
      @faiditv5535 ปีที่แล้ว +2

      Kwahiyo waimbe bongo fleva kumamako kweli

    • @imamuhamisi4421
      @imamuhamisi4421 ปีที่แล้ว

      ​@@faiditv5535bora ungemjibu vizri umetukania mama yake amekukosea nin, muombe radh ndug bila ivo unawez kuikos pepo kwa vitu vidogo umetukania mama yake aisee😢😢 fanay yote ila usimguse mama wa mwenzio ni hayo tu, Allah atuongoze

    • @AbdillahSOthman
      @AbdillahSOthman ปีที่แล้ว

      Usitukane ulipaswa utoe jibu. Katika mazishi au kuchukua jeneza yafaa kuinua sauti kwa takbira na tahlil?

    • @zafarmohamed9413
      @zafarmohamed9413 ปีที่แล้ว +1

      sio lazima wote tufanane ww ukiona bidaa acha ambae anaona ni sawa muache sheikh

    • @mohamedhamismagoraonlinetv459
      @mohamedhamismagoraonlinetv459 ปีที่แล้ว

      Ulitaka waende wakidiscuss Simba na yanga? Wahhabi mkubwa wewe

  • @mohamedjuma9517
    @mohamedjuma9517 ปีที่แล้ว

    Hapo hakuna takbira