FULL INTERVIEW: Ommy Dimpoz kuhusu yeye na Diamond

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • Mwimbaji Ommy Dimpoz alikaa kwenye meza ya XXL CloudsFM November 24 2016 kuzungumzia ishu mbalimbali baada ya maneno kuibuka kati yake na Diamond Platnumz..

ความคิดเห็น • 298

  • @emmamoshiyz1679
    @emmamoshiyz1679 7 ปีที่แล้ว +30

    ommy unabusara sanaa mzeyaaa.... utafika mbali sanaa mwanangu...

    • @mamajumarukiaikopoa4311
      @mamajumarukiaikopoa4311 7 ปีที่แล้ว

      Iko poa

    • @yusrakapesa5387
      @yusrakapesa5387 7 ปีที่แล้ว +7

      omy uko vizuri mkubwa mpende akupendae asiyekupenda piga chini songa mbele mkubwa

    • @venancemango9848
      @venancemango9848 7 ปีที่แล้ว +3

      hakuna busara kuongea mambo yamwenzio mwanzo mwisho

    • @issaramadhani8942
      @issaramadhani8942 7 ปีที่แล้ว +1

      Mambo

    • @refaatelbezra7731
      @refaatelbezra7731 7 ปีที่แล้ว

      ɷɷɷ Heeyy Friends I Haveee Justt Wonnn Brandd New Samsung Galaxy s7 From Visit : - t.co/tm1a1EWECU

  • @hassankayla4076
    @hassankayla4076 7 ปีที่แล้ว +25

    Ommy Dimpoz well said brother nimependa sana interview yako yaan umeongea vzr sana kwanza hujapanic kama watu walivyo tegemea. Mwanaume halisi fanyeni kazi BEEF muachieni Ng'ombe maisha ni kupanda na kushuka kila mtu ana fungu lake mbele ya mola wake. So ukifungwa mlango huu ule unafunguka na maisha yanaendelea. Haijalishi uko juu kiasi gan au kati au ndy kwanza unaanza kazi we fanya kazi na majibu utayapata. Big up Ommy

    • @rajabumapunda454
      @rajabumapunda454 7 ปีที่แล้ว +1

      una lolote mnafiki mondo kawa chana mbaya

    • @neemacriss2397
      @neemacriss2397 7 ปีที่แล้ว

      +Rajabu Mapunda wew n bichwa maj unallt upo km mwanamkeee mfyiuuuu

    • @marwahmohammed6302
      @marwahmohammed6302 7 ปีที่แล้ว

      Well said

  • @oswardfrank8877
    @oswardfrank8877 7 ปีที่แล้ว +18

    Daaaah Ommy dimpoz mungu akubaliki sana daaaah sio kwa uvumilivu huu

  • @francisogega430
    @francisogega430 7 ปีที่แล้ว +23

    Nimekuwa nikifuatilia interview za Ommy na nakubali huyu jamaa mtu muungwana sana...mimi fan wa Diamond sana lakini Ommy salute maze

  • @abdallahmgotto7865
    @abdallahmgotto7865 2 ปีที่แล้ว +8

    Nimekuja hapa baada ya interview ya Mmakonde

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 ปีที่แล้ว +2

      🤣🤣🤣🥺🥺🥺🥺👉👉🐘🐘🐘Kavuruga mambo

    • @zou7470
      @zou7470 2 ปีที่แล้ว +1

      Kavurugwa mambo🤣🤣🤣

  • @allyalbusaidy1191
    @allyalbusaidy1191 7 ปีที่แล้ว +33

    Nimekubali Sana Ommy Leo Kamaliza Kila Tu.. Interview Kaliii

    • @ndesaboy5830
      @ndesaboy5830 7 ปีที่แล้ว

      Ally Albusaidy kwa lp unamkubali

    • @ndesaboy5830
      @ndesaboy5830 7 ปีที่แล้ว

      Ally Albusaidy kwa lp unamkubali

    • @allyalbusaidy1191
      @allyalbusaidy1191 7 ปีที่แล้ว +7

      Kwa Kuongea Ukweli.. Jamaa Ana Roho Sana Huyu

    • @maxomari3542
      @maxomari3542 7 ปีที่แล้ว +7

      ww unaupeo wa kuckiliza na kuona

    • @chibaboy5803
      @chibaboy5803 7 ปีที่แล้ว

      Interview Ynywe kabx big up Xnaa Ommy D

  • @BarakaKalumek
    @BarakaKalumek 7 ปีที่แล้ว +13

    Huyu ommy dimpoz ameongea vizuri sana mustaarabu sana big up sana

  • @samiramohamed9685
    @samiramohamed9685 7 ปีที่แล้ว +10

    ommy was truthful...he said all tena clearly

  • @issammbaga.9712
    @issammbaga.9712 7 ปีที่แล้ว +18

    tukitoa ushabiki, msema kweli anajulikana, ommy safi sana

    • @venancemango9848
      @venancemango9848 7 ปีที่แล้ว

      how sure...kwamba huo niukweli

    • @neemacriss2397
      @neemacriss2397 7 ปีที่แล้ว +1

      +Venance mango mbn unatokwa na povu wew ndo walewale

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 7 ปีที่แล้ว +6

    ommy nimekuelewa sana hpa akuna shida kilichobaki tuwaone kwenye maza 1 mahasidi wakome kuchochea wasiyoyajuwa thanx ommy

  • @amirimadagala8967
    @amirimadagala8967 7 ปีที่แล้ว +13

    dah kweli asee leo nimepata ukweli hebu mlioshikilia muziki wa bongo fanyeni kama kuwapatanisha hivi cz wametoka mbali sana alafu marafiki sana thus y kila mtu anaumia

  • @mudymakoba5554
    @mudymakoba5554 7 ปีที่แล้ว +13

    it my perception he is good if u hear what says

  • @mwanahella9650
    @mwanahella9650 7 ปีที่แล้ว +15

    Alhamndulillah wakipatikana wasanii 10 km Ommy si haba👊👊
    ila jamani msiwe mnamuingiza Ali wangu😆😆mnaniumiza mjue😨😨sema sk tukienda kigoma kwa tren thtalikata behewa lenu tuliache Itigi ndo mtaheshimiana😂😂😂 ailavyu jamani kaka zetu wazuriwazuri.
    alafu watzee buana eti JOGOO hawiki mara alimfumania Mubenga na demu wake😬😬😬

  • @islammwatoa2990
    @islammwatoa2990 7 ปีที่แล้ว +9

    diamond kusema kweli ana sahau alipotoka ana uswahili mwingi na kibri ya visenti anavyopata dunia doro kuna leo na kesho apunguze roho mbaya kama ni muziki kila mtu anapenda mziki waina yake so asijiproud ni mkali kimuziki na siku zte simba mwenda pole ndio mla nyama afikirie kabla haja ongea upuuzi anajishusha sana ajiangaliee

  • @reubenngowo9133
    @reubenngowo9133 7 ปีที่แล้ว +21

    Nimeipenda hii jamaa anaongea ukweli wake halisia

  • @peter1018ful
    @peter1018ful 7 ปีที่แล้ว +3

    ommy is very smart guy..#bigbrain

  • @richardkazungu1519
    @richardkazungu1519 7 ปีที่แล้ว +10

    ommy salut ..umeongea vizur....huna jadhibaa

  • @habibtysaleh4720
    @habibtysaleh4720 7 ปีที่แล้ว +4

    ommy just love's u hun...u sound perfect and educated man keep it up bro!!!

  • @shuwenamohammed7982
    @shuwenamohammed7982 7 ปีที่แล้ว +3

    What a good interview , i really like the way you explain you're self this is very good

  • @marymwanganya6358
    @marymwanganya6358 7 ปีที่แล้ว +3

    ommy this interview imenifanya nikupende sana unabusala we nimwanaume nimstalabu sana afu mvumilivu aisee mungu atakukweza nimeumia ingawa na nampenda D ila sasa mmmm ukwer i utabaki kua ukwer i tuu mungu atakuinua mwaya usisononeke ivyo

  • @deborakamsi
    @deborakamsi 7 ปีที่แล้ว +2

    ongera sana dimpoz mungu akubariki sana

  • @mussawambwe9237
    @mussawambwe9237 7 ปีที่แล้ว +3

    Ommy Dimpoz umeongea point Sana na busara tupu. mwenye akili kaelewa unamaanisha nn hii haina ubishi. ache utimu, mje na facts. Diamond angekua sio mnafiki angemuungia connection hata na msanii yyte wa nje coz tayali yy alikua na recognition.

  • @yukibrosnr4369
    @yukibrosnr4369 7 ปีที่แล้ว +1

    Nakuelewa sana Ommy namuelewa Kiba pia namuelewa sana Diamond fanyeni kazi Ommy kwasababu kila anaesema peke yake huwa mshindi yeye... ishi kama wewe fanya kama wewe ikitokea mmekuwa karibu tena fanyeni kazi,, I salute u

  • @hopedop5831
    @hopedop5831 7 ปีที่แล้ว +2

    One thing I've realized diamond wants to succeed alone, diamond ana roho mbaya, sometimes good people go through a lot, na wale wenye chuki hufanya vizuri that's how life is, wow yaani nimeshangaa sana, kumbe ndo maana interview yake alikua anaropokwa tu na kusifia eti msani wa kwanza na nyumba SA,busara Ni kitu cha maana sana, Ommy you're the man dude! You're a real star.

  • @KaperdonaBeats
    @KaperdonaBeats 7 ปีที่แล้ว +4

    the best interview ever

  • @khadeejahrashid6480
    @khadeejahrashid6480 7 ปีที่แล้ว +8

    omy we muombe mungu ili usonge mbele achana na maneno ya watu.

  • @maremamman668
    @maremamman668 7 ปีที่แล้ว +6

    daahh ommy usijaly mungu wetu sote🙏🙏👌👌

  • @sarahomarijuma9651
    @sarahomarijuma9651 7 ปีที่แล้ว +3

    Nice ommy much love uu

  • @rahmamaginga4237
    @rahmamaginga4237 7 ปีที่แล้ว +12

    yuh a gentleman nimependa interview yak

    • @kaloymlambi8038
      @kaloymlambi8038 7 ปีที่แล้ว +7

      I interview ya kistarabu xan
      isio na kejeli,,

  • @idrismagodoro4761
    @idrismagodoro4761 7 ปีที่แล้ว +2

    Akuna mwanamke anayeweza kumzungumzia vibaya basha wake, big up omy kwa kumzungumzia vizur Diamond.

  • @shabanirkigomba4954
    @shabanirkigomba4954 7 ปีที่แล้ว +3

    interview imetulia San ommy msema ukwel ni mpnz wa mungu utafika mbali bro

  • @kadrag8534
    @kadrag8534 7 ปีที่แล้ว +1

    I respect you ommy inshaAllah mungu ndiye upeana riziki. unafik ni mbaya and if diamond nimnafik mwachie mungu. I wish you all the best

  • @husseinntonoh1770
    @husseinntonoh1770 7 ปีที่แล้ว +1

    ommy nakukubali sana ww ni mtu mwenye busara Allah akuzidishie subra

  • @ashurayiunis2735
    @ashurayiunis2735 7 ปีที่แล้ว +4

    kaka angu ommy dimpoz ni mstalabu sana yani

  • @controlroom8736
    @controlroom8736 7 ปีที่แล้ว +2

    ommy kijana mpole mwenye huruma nampenda lakini ifike mahali hizi team ziishe washirikiane ninaamini chanzo cha vita ni wanjera but all in all mungu hawabariki watz mziki huende mbele na kiba wangu msimweke kwa kivumbafu

  • @mobileshop818
    @mobileshop818 7 ปีที่แล้ว +4

    kwa sana2 Ommy unakubalika piga kazi

  • @mwalimaliy9752
    @mwalimaliy9752 7 ปีที่แล้ว +5

    leo nimekubali mwana

  • @humphreynzundanzunda6850
    @humphreynzundanzunda6850 7 ปีที่แล้ว +7

    ommy ameongea poa sana sema nn dimpoz ana hitaji kuelewa in hustleng thing like those stuffs and all that happen kwahiyo akaze co kuendelea kulushiana vijembe jembe avisaidii baaaaaaana

  • @nahreelmsauzi8033
    @nahreelmsauzi8033 7 ปีที่แล้ว +3

    ommy I salute you bro

  • @bensonfrank9578
    @bensonfrank9578 7 ปีที่แล้ว +26

    nilikuwa side ya diamond ila hapa ommy kaongea poa, tuache unafki

    • @rajabumapunda454
      @rajabumapunda454 7 ปีที่แล้ว +4

      omi unalolote aibutupu mondi kachana mbaya Fanya Nazi tuzione sio kusema ili like malaoo anunua viazi we ni mnafiki

    • @mouxabetto7113
      @mouxabetto7113 7 ปีที่แล้ว

      +Rajabu Mapunda don't catch _positive feelings

  • @rubbymusa1971
    @rubbymusa1971 7 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana Ommy mungu atakufunulia rizki zaidi, huyo mwingine wacha aendelee kutukana watu kashiba mafanikio

  • @adolphyamin1245
    @adolphyamin1245 2 ปีที่แล้ว +1

    2022 Sadala haya yote yatamrudia tu ana roho mbaya sana huyo D kwa wasanii wenzake

  • @abeidmayanga809
    @abeidmayanga809 7 ปีที่แล้ว +4

    Ukweli umekuweka huru safi umeongea vzr ommy

  • @dreamerboy4956
    @dreamerboy4956 7 ปีที่แล้ว +5

    kumbe Diamond shoga tu.. Ommy fresh sana👏👏👊

  • @kassimsuleimani6579
    @kassimsuleimani6579 7 ปีที่แล้ว +1

    nice interview dimpoz god bless u dont let some people to bring u down. Keep t up bro always truth lead the life.

  • @oswardfrank8877
    @oswardfrank8877 7 ปีที่แล้ว +9

    Daaaah dimpoz nime kuelewa sana ila domo mzee wa kwa waganga sio mtu mzur

    • @elissalopezxexygal7287
      @elissalopezxexygal7287 7 ปีที่แล้ว +2

      Osward Frank we hauna mdomo wako una stink..mwache mondi akapumue saitani wivuuuu no one like diamond

  • @zainabmkuya5151
    @zainabmkuya5151 7 ปีที่แล้ว +1

    keep it up...ommy!!hakika busara na kuchagua maneno ya kuongea humpa mtu darja,Mashaallah Ommy Mungu akupe upeo huo huo,busara nzuri sana umeongea kwa utulivuuu mpk umefanya mwenzio kaonekana kituko kwa interview yake ya jana

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 7 ปีที่แล้ว +4

    Kaongea vzur. Sana

  • @samwellaizer2161
    @samwellaizer2161 7 ปีที่แล้ว

    Ommy well done. Mungu akusaidie tu, jitahidi tu, mambo yatakuwa poa tu. Umetumia na unatumia busara sana.

  • @frankchuwa8533
    @frankchuwa8533 7 ปีที่แล้ว +2

    Omy Dimpoz ni baadh ya wasanii wachache wa bongo wenye sauti za kipekee kama alivyo Ali kiba. Anajua mziki sana ila weakness yake hajui kujikombakomba kwa wasanii wakimataifa ili atoboe kimataifa. Hili siyo tatizo sana maana watu waliotoboa walitakiwa wamsaidie ili watoke wote. Tatizo wasanii wakibongo wanaohofia watafunikana which is a very bad habit. Omy komaa kivyako man iko siku utayoboa tu. Kaa karibu na Ali kiba maana hana roho ya kumbania mtu. usikate tamaa. keep it up.

  • @paschaliamoke5918
    @paschaliamoke5918 3 ปีที่แล้ว +1

    Tuliorud hapa 2021 irudiweee!!!

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 ปีที่แล้ว

      Nipo hapa 😁😁

  • @hawamndeme4760
    @hawamndeme4760 7 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed omy

  • @juliethkahwa3047
    @juliethkahwa3047 7 ปีที่แล้ว +1

    Ommy we Fanya tu yako mtoa ridhik ni Mungu tu Yule ni binadam Na ww ni binadam Kila mtu ana mapungufu yake Na katk mapungufu tunatofautiana.So take easy Fanya kile unachooamin kinampendeza Mungu sio wanadam.

  • @cleymbuta5634
    @cleymbuta5634 7 ปีที่แล้ว +1

    Kweli Kabisa Muachie Mungu malipo hapa hapa duniani 👏👏

  • @hamadihamadi2966
    @hamadihamadi2966 7 ปีที่แล้ว +1

    kwangu mm nimekuelewa sana brother Ommy komaa tuuu kwan yeye aweze ana nn na wewe ushindwe kwa nn
    ujamaa shwar

  • @metalcombat4470
    @metalcombat4470 7 ปีที่แล้ว +2

    "Team fulani" kisanii zimeanza juzi tu. Ukweli waandishi ndo mnakuza mambo ili kupatia sifa vituo vyenu kwa kujifanya kuwapatanisha! Unalijua fika hilo, Ommy D. Labda kama una ogopa isi kupate fimbo ya radio station fulani ambayo msanni asipo kubali kukandamizwa wana muangusha na kumzika mzimamzima!

  • @amisiabdou960
    @amisiabdou960 7 ปีที่แล้ว +3

    ongera sana ommy ww nimpole

  • @suzzanenjoki9547
    @suzzanenjoki9547 5 ปีที่แล้ว +1

    Usijali babe...wee uko tu juu

  • @Gemjvisualmedia
    @Gemjvisualmedia 7 ปีที่แล้ว +1

    true say Dimpoz.. wise/

  • @johnphilipo6690
    @johnphilipo6690 7 ปีที่แล้ว +1

    vizuri sana ommy umefanya pouwa kujifanya mjinga bcz umeamua kujishusha

  • @abouhafs2891
    @abouhafs2891 7 ปีที่แล้ว +11

    hakuna grudge jamaa cha msingi ni muskume kazi zenu mbele ugomvi hausaidii.....

  • @witnesmsechu4539
    @witnesmsechu4539 7 ปีที่แล้ว +1

    truth b told...ommy ua really a gentleman

  • @blackforshizoblackforshizo9201
    @blackforshizoblackforshizo9201 2 ปีที่แล้ว

    Nice omy mungu akufanyie wepes

  • @emanuellukumay663
    @emanuellukumay663 7 ปีที่แล้ว +1

    Ommi anabusara sana ata ongea yake...yuko so so positively

  • @allyvuai8653
    @allyvuai8653 7 ปีที่แล้ว +1

    well said ommy mungu atakusimamia Diamond ana roho dhaifu sana

  • @godsonchacha9445
    @godsonchacha9445 7 ปีที่แล้ว +1

    Great.....Ommy umemaliza

    • @anjunurdin2763
      @anjunurdin2763 7 ปีที่แล้ว

      Godson CHACHA Acheni ugomvi nyie ni wakubwa na kila mtu anarizki yk.msitupiane mafumbo mafumbo ndio yanaleta ugomvi.mwisho mziki utakufa.diamond ataonekana mbaya na weww pia utaonekana mbaya na Ali pia ataonekana mbaya.kila mmoja wenu atajishusha kwaajili ya skendo zenu.fanyeni mziki kila mmoja anauamuzi wk na fans wk anaemtaka .km simba na yanga.omm alikoaea tu kuwa na wema.wakati yupo na diom hakutaka kufanya nyimabo na wema hii ilionesha km mtu mbaya mpaka picha zao zakukis alifanya kusudi.wema hata km ulikua unamjua u geendelea kuongea nae km mshkaji sio picha za mapenz.

  • @mfaumeseleman1907
    @mfaumeseleman1907 7 ปีที่แล้ว +8

    Oops.!! Real men ommy

  • @leonellykweka7165
    @leonellykweka7165 7 ปีที่แล้ว +10

    Mama zao wako insta siku wakikukuta na Taulo watakuamkia!! Yaani ommy makini sana!!!

  • @sadachoti7049
    @sadachoti7049 7 ปีที่แล้ว +1

    Keep moving dimpoz 👏🏻👏🏻👏🏻

  • @othmanabdallah8390
    @othmanabdallah8390 7 ปีที่แล้ว +2

    safi ommy

  • @bilajasho449
    @bilajasho449 7 ปีที่แล้ว +4

    ommy d mungu atakupigania acha na hilo jamaa bila ya kiki mzk hauzi

  • @makondefinest
    @makondefinest 7 ปีที่แล้ว +10

    ommy anampenda na anatamani urafik uanze tena na urud kama zaman @diamondplutnumz angalia wap mmetoka sio poa kabisa wanafki ndio wanaleta shida😨😨😨😨

    • @lilove5493
      @lilove5493 7 ปีที่แล้ว

      Princesaady Napome #wasema_wewe

  • @suumemba6273
    @suumemba6273 7 ปีที่แล้ว +1

    ommy dimpoz nikupenda tuu bure

  • @johnwilliam2515
    @johnwilliam2515 7 ปีที่แล้ว +4

    wanasema ukikutwa unapigana na Mtoto hata kama kakukosea utaonekana ww mkubwa mjingá ommy kamuongea sana d lkn alikuwa kimya kaja kuongea na yeye ameonekana sio ila ndo ukubwa.

  • @djlifedavix601
    @djlifedavix601 7 ปีที่แล้ว +1

    Upo vizuri ommy na ukweli ni slaha tosha duniani

  • @abdulqassim5389
    @abdulqassim5389 7 ปีที่แล้ว +2

    kiukweli mimi kama shabiki hususan wa @diamondplatnumz naamini alikosea kusema alitaka kumpumulia... ila nahisi ni ubinaadam tu coz hata ommy na alikiba hawafanyi kitu bila kumtajataja diamondplatnumz so naamini aliwavumilia mpaka uvumilivu ukafika kikomo kikubwa msameheane alafu dimpozi ni bora ufanye kazi zako mbali na diamondplatnumz na alikiba ... ushauri tu

    • @allihajialli7188
      @allihajialli7188 7 ปีที่แล้ว +1

      Abdul Qassim umeongea kama mtu mzima

  • @charlesgombo4136
    @charlesgombo4136 7 ปีที่แล้ว +2

    dats gud broda ur smart xn ktka interview nakukubali xn kka

  • @alexpocha7488
    @alexpocha7488 7 ปีที่แล้ว

    This guy is very humble ......!!! Diamond kadanganya interview yake.....!!! +254 MOMBASA

  • @charlesregan5530
    @charlesregan5530 7 ปีที่แล้ว +5

    Nyie mli comments humu mmenunuliwa pumbavu zenu na nyinyi wote #kupumuliwa......

    • @amibmsafir5169
      @amibmsafir5169 7 ปีที่แล้ว

      Charles Regan hhahaha ha me nimecoment kutokana na comment yako

  • @alijuma3736
    @alijuma3736 7 ปีที่แล้ว

    Salute kwako bro
    Ommydimpoz

  • @omegamwakalinga3849
    @omegamwakalinga3849 7 ปีที่แล้ว +4

    jifanye mjinga siku ipite naomba omy usikubali kumeza sum ya team yoyote

  • @phanmango5277
    @phanmango5277 7 ปีที่แล้ว

    Time discovers Truth.... Good Ommy!

  • @DenyoReigns
    @DenyoReigns 7 ปีที่แล้ว +4

    Ommy umeongea vizuri lakini bahati mbaya uliyaanzisha wewe Insta,na inabd uyamalize

  • @makondefinest
    @makondefinest 7 ปีที่แล้ว +4

    diehard fan wa diamond
    jmaa kaongea fact na vitu poa saan sijapenda diamond kwa yote aloongea jana vzr saan ommy

    • @venancemango9848
      @venancemango9848 7 ปีที่แล้ว +1

      unajuaje kama haya niukweli

    • @makondefinest
      @makondefinest 7 ปีที่แล้ว +1

      sikiliza facts anazoongea ukipima kwa akil ya kawaida co ya chuo kikuu utaelew mm shabiki mkubwa saan wa diamond ila jamaa kwanz anampnda diamond saan kam mchiz au ndug yake anaumia kuoba wat wanaharib undg wao kwa manen

    • @malkasaidd1679
      @malkasaidd1679 7 ปีที่แล้ว +1

      Venance mango kwan ww adi leo umekua hujui kutofautisha mtu akiongea ukwel au uongo??

    • @makondefinest
      @makondefinest 7 ปีที่แล้ว +1

      muulize wew labda hajui + m

  • @zaiiomary8970
    @zaiiomary8970 2 ปีที่แล้ว +1

    Mim.nafanisha matukio ya 2016 na 2021 ya konde

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 ปีที่แล้ว

      Ndio hayo sasa

  • @eliaskazil6330
    @eliaskazil6330 7 ปีที่แล้ว +1

    nazdhani uko vizuri kwenye enterview,lakini umeonyesha kabisa kuwa uwezo wako mdogo.Hivi kwanini wewe ndugu yangu usubiri Diamond akuunganishe na wasanii wa mbele?.Hiyo ni kazi na kama watu mnafanya kazi moja lazima mtumie akili ili muweze kufika mbali.Ninyi ni watu wa sehemu moja hakuna haja ya kuchonganishwa na kufikia hatua yakuonyesha uwezo wenu wa kufikili

  • @mrsanjeet655
    @mrsanjeet655 7 ปีที่แล้ว +2

    huyu diamond kumbe siye mtu mzuri duhh roho mbaya iyo

  • @issantaka2209
    @issantaka2209 7 ปีที่แล้ว

    I enjoyed the interview from the beginning to the end very humble guy and well-informed, hope y'all get things figure out. PEACE!

  • @amidadydelight3540
    @amidadydelight3540 7 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe Jamaaa Dimondi Ana Roho Ya Mkaa
    😭😭😭😭

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 ปีที่แล้ว

      Sana c unaona hata harmonize si kayasema haya

  • @vedamamas7684
    @vedamamas7684 7 ปีที่แล้ว +5

    najua sitakiwi kuamua chochote wakati Wa huruma,hasira ama furaha hivyo sisemi chochote juu ya hii interview.

    • @anajescaleonard7413
      @anajescaleonard7413 2 ปีที่แล้ว

      Miaka mitano sasa uliamua nini 😂😂😂😂😂😂

  • @metalcombat4470
    @metalcombat4470 7 ปีที่แล้ว

    D mwanangu, tatizo hilo! Kila uliye naye mgogoro ana lalamikia roho yako mbaya. Acha kutaka kuwa juu ya vichwa vya wenzio, best! Badilika, kabla dunia haija kugeuka!

  • @josephkessy5486
    @josephkessy5486 7 ปีที่แล้ว +4

    MATOKEO YA VITA HII NI MZIKI MZIMA WA BONGO KURUDI NYUMA.

  • @isaacgreen1406
    @isaacgreen1406 7 ปีที่แล้ว +1

    Umeongea kwa hisia ommy, japo binafsi naona hamjiamin na mnataka kutegemea misaada( someone to create your channel) kitu ambacho naona ni udhaifu na kukosa ubunifu.
    Diamond kama msaani aliyefanikiwa hawezi kuwabeba wasanii wote wa bongo awatoe ni uongo, ana haki ya kuchagua anaowapenda.
    Pili ishu ya views naona unaongea kinakiki kidogo kwasababu kama ananunua asingekuwa na watu wengi kwenye show zake, au jee na watu majukwaan nao anawanunua?
    Kama hamtakuwa much creative basi diamond atawaburuza na kuwaacha sana.

  • @fatumamasudi365
    @fatumamasudi365 7 ปีที่แล้ว +1

    asante millard

  • @gabrielsixtus1718
    @gabrielsixtus1718 7 ปีที่แล้ว +1

    yan hii interview n km mkuu w nchi anahutubia hv, kwel bifu zinamzuka klko nyimbo yan

  • @zitongwang6278
    @zitongwang6278 ปีที่แล้ว

    Omg am diamond fan but if z real he must make it up with dimpoz

  • @josephvictormlapon9568
    @josephvictormlapon9568 7 ปีที่แล้ว +1

    siwezi jua nani mkweli kati ya diamond na omy ila omy kaongea vizuli sana maana hajaonyesha jadhiba na kumchamba mtu big gup sana omy

  • @winstonjonas6131
    @winstonjonas6131 7 ปีที่แล้ว

    asante sana dimopz kwakumaliza yote diamond kavu sana karibu kwa kiba mwenye moyo wa huruma

  • @sophieaden5367
    @sophieaden5367 5 ปีที่แล้ว +1

    Ommy ameongea vizuri sana

  • @mudymakoba5554
    @mudymakoba5554 7 ปีที่แล้ว +1

    that's good ur showing how u growing up

    • @jdndnjdhdbdhj9567
      @jdndnjdhdbdhj9567 7 ปีที่แล้ว +1

      Mudy Makoba u forgot something ommy dimpoz is the one who started all

    • @kalindimya
      @kalindimya 7 ปีที่แล้ว +3

      Hiyo yote kuja kwenye media ni kutafuta people's sympathy, ugomvi kaununua yeye mwenyewe. Mambo ya muziki mzuri au mbaya wawaachie fans ndio waamue.