Pastor Fred Msungu - Siri na nguvu ya kunena katika lugha

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 8

  • @toshanyiti2154
    @toshanyiti2154 2 หลายเดือนก่อน +1

    Barikiwa Pastor
    🔥

  • @nafewamakiya4002
    @nafewamakiya4002 หลายเดือนก่อน +2

    Holy spirit 🙏.... Zawadi Bora zaidi ambayo nishawahi kuipokea kwenye maisha yangu.... Ahsante MUNGU kwa zawadi hii nzuri ❤

  • @gracepaulrugalema490
    @gracepaulrugalema490 26 วันที่ผ่านมา +1

    Ayaaa yaaanh hiki ni kichwa!! Nilikuwa sijawahi kumsikia, hiki kizazi kimebarikiwa kuwa na ww man of God! Nimejifunza vitu vikubwa na Siri nzito! Mungu akuongeze kwa ajili ya kizazi hiki

  • @asifiwefungo163
    @asifiwefungo163 2 หลายเดือนก่อน +2

    Napenda sana,Mafundisho Ambayo Mungu anaachilia ndani yako,Kwajili yangu

  • @SintaVenance
    @SintaVenance 2 หลายเดือนก่อน +4

    Hizi ni siri za Ufalme hakika majitu tunatengenezwa

  • @JoelNdile
    @JoelNdile 2 หลายเดือนก่อน +1

    Unapotuandaa kuwa watu wa matokeo ni lazme tumuelewe roho mtakatifu awezae kutupa taarifa kuhusu yajayo