Me naipenda sana dini yakiislam hata kanisani siwezi kuenda kwa sababu akili yangu inaniambia niende msikitini.....ila Sasa tatizo langu me naona nikienda msikitini naona kama nitashindwa kusoma Quran hebu nipe ushauri kaka nifanye nn🙏🏻🙏🏻
cliff malik ucjali anza kuslimu kwanz na utajua pole pole s lazim ujue siku ya kwanz dini ya kiislamu raha na ni dini ya ukweli ningjua huk wap ningekutafutia ustadh ukaslimu
naam dada #cliff_Malik kwanza jina lako tu limekaa kiislamu,sasa vile nakushauri kwanza Ingia kwenye uislamu halafu yule ambaye atakuingiza katika uislamu atakufanyia mpango uweze kusoma Quran pole pole hadi utazowea si Lazima uijue yot e BAADHI ya sura,unajua Kama wataka jifundisha gari Lazima uingie ndani pamoja na Mwalimu,na ukipenda nitakutumia makala nikawa nakufundisha dini pole pole,na ukiingia katika uislamu Leo madhambi yote yaliyotangulia yanafutwa unakuwa Kama mtoto amezaliwa leo,usivunjike moyo
Omary shibe thanks kaka basi me ningeomba uwe ukinitumia makala, na wala mesiitwi cliff natumia jina hili kwenye intanet tu ila cliff ni kaka yangu na mimi naitwa Rehema
cliff malik mashallah almost there maana jina Tayari Lipo ni mambo kidogo tu yakufuatilia in sha Allah nitakutumia unaweza kunitumia email yako au WhatsApp na bi idhni llahi kwa jina La Allah aliyetukuka nitakutumia unaweza tuma kwa hii namba +243811803819
sawa omary shibe ila huwa napenda kama natoka nje kusikiza wajua niko saudi kaka natwatumia wi.fi yabure sasa kama natoka nje hupenda kusikiza nasiwezi kuingia yutub hadi kua na wi.fi ama bundle
Hii qaswida inanikumbusha mbali sana nzur sana Allah awazidishie Kila lenye heri
Sichoki kuangalia izi Qaswida...Ambiyai Swalluuu...Na mwalimu Alii pia hongera kwa kazi nzuri
mashallah ng'ombeni mungu azidi kutujalia tuweke jina juu mie pia ufurahi sana nikiwa ng'ombeni pairetsi wangu utamani isihishe kwaraha tele
Mashaallah, tuko juu ng'ombeni yetu, Mola awazidishie
ustadhi Alii swaloooo..nafurahia nikiwaona watoto wetu jamani .miss all sana..watch from yanbu saudi arabia
Me naipenda sana dini yakiislam hata kanisani siwezi kuenda kwa sababu akili yangu inaniambia niende msikitini.....ila Sasa tatizo langu me naona nikienda msikitini naona kama nitashindwa kusoma Quran hebu nipe ushauri kaka nifanye nn🙏🏻🙏🏻
cliff malik ucjali anza kuslimu kwanz na utajua pole pole s lazim ujue siku ya kwanz dini ya kiislamu raha na ni dini ya ukweli ningjua huk wap ningekutafutia ustadh ukaslimu
Ng'ombeni Swalooooo
nimememic Moshini jamani hongereni sana
watching from Saudia Arabia
Mwenyeezi mungu aibariki ng'ombeni'yetu mubarikiwe qaswida nzuri sana @ omary shibe tunapenda maendeleo kama haya sisi wazazi.
Amiin thumma amiin
Allah akulipe kheri @Eng'Omar Shibe kwa kuchukua mdawako na kusupport vipaji
Ma shaa Allah, kaswida nzuri sana. Jina la kundi ndio naona halijakaa vizuri. Naana yake ni wezi wa majini kama cjakosea
hii inaitwa madrasatul ambiyai kaka
mashaallah ambiyai naipenda sana ustadh ali allah akujalie kila LA kher
Swalooooo ndani ya 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦 🇸🇦
MASHAALLAH kaswida nzur sana inapendeza MASHAALLAH
Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh naomba jina la hii kaswida
maa shaa Allah
ng'ombeni ndio wapi
mko vzr sana
kenya kwale south coast
@@engomaryshibe8445 mashallah mwenyezi Mungu atujalie ni mm Nikiwa.Qatar
Maryam gosi mashallah mwenyzmung skuondolee husda uko makini sana
Inshàallah Eid Mubarak idumu milele 🙏♥️🤸💃🌹
Ng'ombeni'yetu mwenyeezi mungu azidishe vipaji vingi inshaallah 👃 👃 👃
amiin thumma amiin
jazaka allah kheri kaka omar shibe napenda qaswida zaki
Ng'ombeni juuu Sana,madrasatul ambiyai swalooo,najiskia niko nyumban
Nimeipenda sana ni miss home kondoa
Assalamu alaykum warahmatullah wabarakatuh naomba kutumiwa hii qaswida
Wa aleykum musalam warahmatullahi wabarakatuhu ,nipe namba yako in sha Allah
Mashaallah
Mashallah
naam kabisa,usijali kutafuta muhimu sana kk
Maashalllah maashalllah live dubai home dodoma Tanzania
Maashaallah
Mashallah ng'mben pirats swaloo twasubir ya 2018
masha Allah inapendeza mno
Amin
aa P
aa P
masha Allah nimeipenda
allhamndulilah kondoa tupo juu
Shukran habibity
sauti nzuri mashaallah
amin ya Rabb
I thought ni qaswida surely but tuacheni kumchezea ALLAH ndugu haya kwenye dini hayamo
Tusishangilie just bcoz maybe ni kwetu
MashaAllah
Mashaallah barak llah.fiq
Mashaalah
mashallah
naam dada #cliff_Malik kwanza jina lako tu limekaa kiislamu,sasa vile nakushauri kwanza Ingia kwenye uislamu halafu yule ambaye atakuingiza katika uislamu atakufanyia mpango uweze kusoma Quran pole pole hadi utazowea si Lazima uijue yot e BAADHI ya sura,unajua Kama wataka jifundisha gari Lazima uingie ndani pamoja na Mwalimu,na ukipenda nitakutumia makala nikawa nakufundisha dini pole pole,na ukiingia katika uislamu Leo madhambi yote yaliyotangulia yanafutwa unakuwa Kama mtoto amezaliwa leo,usivunjike moyo
Omary shibe thanks kaka basi me ningeomba uwe ukinitumia makala, na wala mesiitwi cliff natumia jina hili kwenye intanet tu ila cliff ni kaka yangu na mimi naitwa Rehema
cliff malik mashallah almost there maana jina Tayari Lipo ni mambo kidogo tu yakufuatilia in sha Allah nitakutumia unaweza kunitumia email yako au WhatsApp na bi idhni llahi kwa jina La Allah aliyetukuka nitakutumia
unaweza tuma kwa hii namba +243811803819
sis fatuma baya u can download from you tube directly if u have a tube loader
mashaallah imenkumbusha nyumbani jamani nikisikilizia Oman da
Ng'ombeni pirates swaloooo juu juu km ndege naimicjee
sawa omary shibe ila huwa napenda kama natoka nje kusikiza wajua niko saudi kaka natwatumia wi.fi yabure sasa kama natoka nje hupenda kusikiza nasiwezi kuingia yutub hadi kua na wi.fi ama bundle
Mashaallh
mashalaah
Mashaallh.
Twataka ya mwaka huu2016
mshaallah
na miss home ngombeni 😢😢😢
Masha Allah
Mashaallah
maa shaa Allah ,
ipo kenya kumbe.duuh sorry nilijua tz
Ambiyai ipo wap jaman mashalla
masha Allah
mashaAllah
mashaallah
SALAM HASSAN تبارك الله
Nice mashaallah.
Pirates yetu swalouu
amouna nyale swalo
mabrook
mashallah mungu ajalie msonge mbele zaidi
naomba nitumie mwenye mayo wasp no 97219499
Masha Alaah👌💞💞💞💞
mabruk
wamenikumbusha nikiwa kwetu Namanyere
mashaAllah ng'ombeni tuko juu Alihamdulillah nitumien jaman nikiwa saudia no 96636211124
Fatuma Baya
Fatuma Baya vs deko nzuri
💖
naombeni mnitumie plz
na mm nataka kuimba na nyinyi najuwa kuimba namba yangu hii +254...........................................?
maishallah mungu wavushe pepon wote
Mh. Mbay kwly
amiin
Omary shibe Asalam aleykm kk omary
Prince Omar wa aleykum musalam warahmatullahi wabarakatuhu habib
Omary shibe Alhamdulilah ni amani San sorry hiz kaswida unaweza kunitumia
Prince Omar ndiyo KAKA just text your number WhatsApp pap yangu ni +243-811-803-819
Omary shibe niandike hivy hivyo jinsi ulivyo nielekza
hapana
swadakta
jamani naombeni huí qaswida kwenye no 0659605052
Rahma Rajabu Sawa dadangu in sha Allah
mashaallah jmn naomba hii kasida no +96894824726
EMANO Ali naona uswaz t in sha Allah
Nchalika sheri naipenda sanaa iyo mashaallah mungu awazidishie kheri
Mashallah
Maashalllah maashalllah live dubai home dodoma Tanzania
MashaAllah
Mashaallah
mashallah
amiin
masha alah
amiin
Mashaallah
Mashaallah
Mashaallah
Mashaallah
Mashaallah
Mashaallah
Mashaallah