AICT Mwanza Town Choir - Shukrani (Official 4K Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • Asante kwa kutazama, tafadhali subscribe kwenye TH-cam channel yetu, waweza kuacha comment, like na kushare na wengine. Mungu akubariki sana
    Wimbo huu ni maalumu kwa shukrani ya kutimiza miaka 65 ya huduma ya Injili ya Yesu Kristo
    Directed by WAYNO (www.waynotanzania.com ) WT CINEMA
    #AICMwanzaTownChoir #MTCGospel
    ©2024 Administered by MTC

ความคิดเห็น • 8

  • @esthermashauri441
    @esthermashauri441 20 วันที่ผ่านมา

    Asante Mungu ni week ijayo tu tutakuwa na hii ibada ya Shukrani kwa Mungu wetu hakika ni mambo makubwa aliyotutendea Mungu

  • @francismlelema8754
    @francismlelema8754 หลายเดือนก่อน

    Sifa na utukufu kwa Mungu

  • @esthermashauri441
    @esthermashauri441 28 วันที่ผ่านมา

    Hakika tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu

  • @makongorochurchchannel-mcc8085
    @makongorochurchchannel-mcc8085 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki watumishi wa Mungu

  • @MbogoshiSuzana
    @MbogoshiSuzana หลายเดือนก่อน

    Mungu azid kuwatunza

  • @esthermashauri441
    @esthermashauri441 หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu MTC tukuache!? Twende kwa nani? Wewe unayo maneno ya uzima

  • @MathewAnthony-uq2xr
    @MathewAnthony-uq2xr หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @esthermashauri441
    @esthermashauri441 หลายเดือนก่อน

    Kama si Mungu aliyetusaidia Israeli na aseme sana