TUNDU LISSU AMVAA RAIS SAMIA HADHARANI AMSHIKA KOONI | HUYU MZANZIBAR KAHONGA PIKIPIKI NCHI NZIMA

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 15

  • @SaidOmary-s7t
    @SaidOmary-s7t หลายเดือนก่อน +1

    Nakubali San tundu risu mwamba mungu akuongoze

  • @user-hw1fp6mb4s
    @user-hw1fp6mb4s 7 วันที่ผ่านมา

    Verry good fazaaa watanzania tunaongozwa kwa kumnyenyekea mtu mungu pekee

  • @twahirshali8014
    @twahirshali8014 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe uli anza kampeni mapema mshamba Wewe

  • @jessalmas2122
    @jessalmas2122 2 หลายเดือนก่อน +1

    kweli kabisa mimi mwenyewe najiuriza samia iyo pesa kaipata wapi yakununua pikipiki au ndo iyo pesa inakopwa wakidai wanaikopa kisa kujenga reli ya kisasa

  • @twahirshali8014
    @twahirshali8014 หลายเดือนก่อน +1

    Acha wewe kumtaja Raisi Kila nara Samia Samia Samia. Mzae na Wewe

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 2 หลายเดือนก่อน +1

    Lisu kiongozi mzuri hana kiburi na kejeri mbona ela ya ruzuku amuongelei

  • @salehothman6144
    @salehothman6144 2 หลายเดือนก่อน +1

    Lissu sema na ile hela aliotoaa 150 milioni katika kanisa la kina mboee machame.usiongelee pki pki tu

  • @RizwanAbdallah
    @RizwanAbdallah 7 วันที่ผ่านมา

    Huyu nikama sankara mtetezi ila watanzania tumejisahau

  • @user-bg2yc4kw9k
    @user-bg2yc4kw9k 2 หลายเดือนก่อน +1

    Munaumwaa tu

  • @salehothman6144
    @salehothman6144 2 หลายเดือนก่อน +1

    Alafu unapiga isabu ya piki piki mia saba thamani hii umeenda kiwandani ukakuta zinauzwa bei hiyo china ? Yaani wewe ni mwehu sana na ni mbaguzi uliyepitiliza huna tofauti na mangi kimambi

  • @LemaliKanarimoson
    @LemaliKanarimoson 8 วันที่ผ่านมา +1

    😆😆😆

  • @user-cq2lt6ho5w
    @user-cq2lt6ho5w 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa hizo pikipiki kazipelek kwake au kawapa raia?

    • @markoshem-ij6cf
      @markoshem-ij6cf หลายเดือนก่อน

      Kawapa mi CCM yake sio raia

  • @LemaliKanarimoson
    @LemaliKanarimoson 8 วันที่ผ่านมา +1

    🫢🫢

  • @Commentsplus
    @Commentsplus 2 หลายเดือนก่อน +1

    Unatoa taarifa