SASA NAKUPENDA KWAYA KUU KKKT KIJITONYAMA UIMBAJI KANTATE 05.05.2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 12

  • @user-ts9wx3xl6i
    @user-ts9wx3xl6i 3 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani Mungu awabariki sana waimbaji wenzangu, kumtumikia Mungu Kwa uimbaji ni kutamu sana, Niko Manyara, Mbulu,

  • @emachangale769
    @emachangale769 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki sana.

  • @savedlema
    @savedlema 3 หลายเดือนก่อน +3

    Safi sana sana, Hongereni mno, mbarikiwe wote.

  • @judithgodfrey6503
    @judithgodfrey6503 3 หลายเดือนก่อน

    Waaaaaaaooooooooo. Sasa nakupenda kuzidi piaaaaaaaa🦿🦾

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 2 หลายเดือนก่อน

    Nzuri sana,hongera♥️💯🎉

  • @aarantimotheo-hr8cr
    @aarantimotheo-hr8cr 3 หลายเดือนก่อน +1

    One love great choir kijitonyama tuko pamoja from UDOM

  • @suzysam6002
    @suzysam6002 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mbarikiwe sana siifs na utukufu Ni zake Jehova

  • @faithmangesho2081
    @faithmangesho2081 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu awabariki mno!

  • @isayajoseph5417
    @isayajoseph5417 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hongereni sana mbarikiwe

  • @erastuskajuna812
    @erastuskajuna812 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani tusibadilishe tuni za nyimbo.

    • @tenderstanzania3232
      @tenderstanzania3232 2 หลายเดือนก่อน

      Uumbaji umeenda mbali saba siku hizi....inaleta radha sana ukiimba kwa tune isiyozoeleka, nakualika kumsikiliza Mch. Metilii na Mch. Gwakisa Mwaipopo na kwaya kuu Msewe na Kimara KKKT

    • @erastuskajuna812
      @erastuskajuna812 2 หลายเดือนก่อน

      @@tenderstanzania3232 ni vizuri uumbaji wa namna hii ukalenga kitunga nyimbo za kwako kuliko kunakili nyimbo zilizopo kwa sauti na tune nyinginezo. Na ni wengi wamebadili tune za nyimbo za vitabuni wakauza kana kwamba wameumba. Tunahitaji ladha zitokanazo na ubunifu si maigizo