VYOMBO VIPYA VYA JIKONI KWANGU/ Vyombo vya mtumba / New In My Kitchen/Tanzanian YouTuber

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 22

  • @laylatabdallah2796
    @laylatabdallah2796 2 ปีที่แล้ว +3

    Napenda sana vyombo vya used vinakuwa unique and classy

  • @mrishomakame2831
    @mrishomakame2831 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa sana

  • @michaelcontinuas772
    @michaelcontinuas772 2 ปีที่แล้ว +1

    Vizuri sana shefu kutoka royal oven

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 ปีที่แล้ว +1

    Nivzr 🔥

  • @Georges.Kitchen
    @Georges.Kitchen 2 ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥🔥

  • @mdmahammed2852
    @mdmahammed2852 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa mabakuli

  • @mussamahamood688
    @mussamahamood688 6 หลายเดือนก่อน

    Duka la vyombo lipo maeneo gani?

  • @nurumwangoka5909
    @nurumwangoka5909 2 ปีที่แล้ว +2

    Nacoment kabla sijaangalia

    • @lucymsimbano476
      @lucymsimbano476 2 ปีที่แล้ว

      Ninaomba namba yake ya simu

    • @nurumwangoka5909
      @nurumwangoka5909 2 ปีที่แล้ว

      @@lucymsimbano476 no ya nan

    • @lucymsimbano476
      @lucymsimbano476 2 ปีที่แล้ว

      @@nurumwangoka5909 sorry nimekoment kwako kimakosa nilikuwa namuuliza ika namba ya mtu wa vyombo pole kwa usumbufu

    • @nurumwangoka5909
      @nurumwangoka5909 2 ปีที่แล้ว +2

      @@lucymsimbano476 Kama upo dar mbagala Kuna mwingne anauza vyombo vya mtumba Bei rahis mno

    • @nurumwangoka5909
      @nurumwangoka5909 2 ปีที่แล้ว

      Me huwa nanunua kwake sjutii hakika

  • @gracemakasi123
    @gracemakasi123 2 ปีที่แล้ว

    X uk are the best and unique

  • @aminamikidadi7754
    @aminamikidadi7754 2 ปีที่แล้ว +1

    Samaki wa kigoma mgebuka umenitamanisha .....

  • @renatussengo1757
    @renatussengo1757 2 ปีที่แล้ว

    Tunaomba namba ya huyo anayeuza vyombo vya mtumba

  • @allykidu1656
    @allykidu1656 2 ปีที่แล้ว

    Anapatikana wapi huyo muuza vyombo

  • @lucymsimbano476
    @lucymsimbano476 2 ปีที่แล้ว

    Namba yake ya simu ,naiomba

    • @ikamalle
      @ikamalle  2 ปีที่แล้ว

      0757 769 076

  • @samuelmaslonka8884
    @samuelmaslonka8884 2 ปีที่แล้ว

    😪 🅿🆁🅾🅼🅾🆂🅼