Prof. hapo umesema ukweli mtupu.Watu wengi barani afrika,hasa huku kwetu Arika mashariki hawana raha ya utawala kwasababu ya ukosefu wa UHURU,HAKI NA MAENDELEO YA WATU.Ilani ya CHADEMA inasisitiza maendeleo ya watu, sio maendeleo ya VITU.Na anayesimulia haya mambo vizuri in RAIS MTARAJIWA TUNDU LISSU.Namuombea mafanikio makubwa sana.Asante sana Pro.kwa hayo maono yenye busara.
Maprofesor wengi wenye msimamo ya maendeleo wamepewa maeneu ktk nchi hii ili tushirikiane kuijenga Tanzania yetu, lakini unions professor nzima yuko mitaani kazi yake kubwa ni kubwabwaja tu elewa jakosa mwelekeo,professor safari hongera sana. Kalaga bsho mamsomi alama za nyakati,aana jk alisema akili za kuambiwa ongeza ns zsko,mko wewe na mwenzako jeneralu ulkmwengu cjui h
HAWA WANAKUWA WAKIONGEA WANAPACHIKWA MAJINA BABAYA NA VIONGOZI BILA SISI KUJUWA NA KUJIKUTA IKIWA HAUNA AKILI KUWACHUKIA BILA SABABU MARA UTASIKIA MAGAIDI KAMA MASHEKHE WALIOMO MAGEREZANI ,MARA WAMETUMWA NA MABEBERU KUVUGA NCHI KAMA LISSU, MSIBA ULIOPO TZ NI KWA SABABU WATZ WAMELAZWA WAKALALA FOOFOOFOOO
Kaka Abdallah Safari Shule uliyosoma nami pia nilisoma Pangani Primary school endelea na Ujasiri wako tetea haki za wanyonge bila ya uoga Allah yu pamoja na wewe.
Hao ccm ndio wanajulikana khasa kwa kungangania na hawana lao toka Magufuli kuja kila mtu taabani Allah Kareem atatupa yalo mema Watanzania na tuondokane na unafiki ndio maana tunapata viongozi wabovu
@@ukhtyalpha1344 acha upuuzi wwe hakuna nchi yenye democracy africa kama tanzania kila awamu ina rais wake hakuna alio ng'anga'nia madaraka na kipind hiki kura zimepigwa kwa uwazi kuliko
Safi sana Professor, Lakini wapo wachache wanaokuelewa ila wengi ni mbulula wana macho ila hawaoni, wana masikio hawasikii pia wanaishi kwa kukaririshwa.
Ni sawa kabisa pro, china Wana mali lakini hawana furaha,india Wana furaha lakini maskini but uszifananishe hizo nchi na tanzania kwenye siasa za upinzani
Hao wazungu usiwazungumuzie,kwanza hawana jema na Afrika,mkipewa Uhuru sana mnawapanda watu vichwani,busara inawakosa na mnakuwa na siasa ya matusi,jirekebisheni
Niliangaliza kuwa India upo umaskini wa watu mmoja mmoja mbaya zaidi ya Tz lakini kilichoifanya India iwe juu yetu katika kile kipimo(happiness index) ni watu wengi kuridhika na uwazi wa utawala na uhuru wa kuchagua na hata mfumo wa kinyonyaji uliopitiliza (serfdom) ambao wengi kwao ni kama unakubalika hata kwa hao wanyonywaji ! Si tofauti kubwa na hapa kwetu watu wanaposhangilia na kusifia pale wanapodhani wamepewa fadhila kumbe ni haki yao iliyokuwa imeminywa na hao hao wanaoitenda sasa!!
Hapa huyu pro, anasema hivi nanukuu nyerere was the best lakini lisu anasema nyerere alikuwa dictator sasa hapa tushike lipi maana huyu ni pro na ni mwanasheria na lisu ni mwanasiasa na mwanasheria.
@@edwinalexander1170 anyone who believed in the rule of law and fairness will support Dr Magufuli's government. Only people who enjoyed corruption will hate this government. True democracy cannot be achieved if few individuals capture the state for their on benefits
grace grace Every steps and other efforts in enhancing our economy growth and improving infrastructure it is highly appreciated but they can go along with the freedom of speech, democracy and while curbing all forms of oppression against other political parties, As people can clearly see what good work you are doing to them , they will eventually ignore the defamations that may come from other political parties that are under the pretext of defiling. This is actually what these political parties are anxious to see, the environment in which all parties are free to play, without any harassments or implication of seditions.
Mie huwa napata tabu na comment tunazotoa. Huwa tunasikiliza au huwa tunaangalia kichwa cha habari na kuanza comments kabla ya kusikiliza. Ahsante prof sie makada ambao sio wakeleketwa tumekuelewa. Na nadhani wakubwa wetu wakikusiliza watapata walau mawili ya msingi na kuyaweka ktk utendaji
Ukisikia kelele nyingi sana ujue mirija imezibwa wakwepa kodi wapigaji wenye tamaa ya madaraka wale unanijua mimi nani ndio hao wanaotokwa povu na misauti yao mizito
Hali ni nzuri kwa anae ti sheria bila shuruti kwa ambae aliezoea kuvunja sheria lazima aone kama amenyang,anywa tonge mdomoni mlizoea dili jitahidinu kusali mmujua Mungu sio hayo kutetea upuuzi ambao hata Mungu hapendi ninyi ni wezi maana mnacho lalamikia kila siku ni kile kile tu Mungu awahurumie msipo badilika mtakuwa kituko kila siku.
We have a tough challenging time in Tanzania politically. We must talk and analyse these issues. Ni lazima tuzungumze jamani haya mambo tusitishane ukweli ni ukweli tu haupingiki. The truth is the truth nothing but the truth full stop.
In addition japo Magufuli is not 100% perfect kama sisi sote binadamu. I think he is doing a great job..Nyie mnahitaji leaders watakaokua wanauza nchi yetu nje? Magufuli is the most popular presidents in Africa today, loved by many Africans today for what he is doing for the country and his people.
Magufuli should be popular in Tz, outside of Tz is irrelevant. Ni kama jitu lenye mke anaeokana mrembo kwa watu lakini kumbe ana maneno na kauli chafu au ukatili kwa mume na watu wa kwao. Tafsiri ya demokrasia zipo nyingi kadiri ya mifumo ya utawala na watawala. Cha msingi ni sisi wenyewe turidhike na ile tuliyonayo, ila muhimu iwe vumilivu na itoe nafasi kwa mawazo tofauti tofauti(diversity of opinions) ambayo itaboresha utendaji wa utawala. By the way hata ile "dictatorship of the proletariat"nayo ni demokrasia! So far Magu is doing good lakini wenye kutofautiana naye nao wanastahili kuheshimiwa na kulindwa.
Wachina hawana furaha lakn China iko vzr warusi hawana furaha lkn nchi iko vzr na watu wako vzr asa hapo mm nashindwa kuelewa kipi bora unajua mm demokrasia inanikera sana na nashindwa kuielewa kabisa
Demokrasia haikui kama mtoto. Ni maamuzi ya watu kuwa na demokrasia ya kweli. Hapa kwetu hata ipite miaka100 hali itaendelea kuwa hiyo hiyo ya uonevu sababu uya ukosefu wa uzalendo na njaa za viongozi
YUSUFU KAZAMBA mlimtukana Kikwete kwamba alikuwa legelege , alikuwa anasafiri sana , alikuwa hachukui maamuzi magumu , Leo hii mmebanwa pumbu eti mnampenda .
Katika nchi yenye Democracy wananchi ndio Maboss, Lakini Tanzania wachaguliwa ndio maboss.. Mfano Bunge limewatoa Bungeni wabunge waliochaguliwa na watu zaidi 70,000 bila kujali kuwa watu 70,000 watawakilishwa vipi.. Wanafikiri kuwasimamisha kina Mdee Na Lema ni kuwakomoa wabunge, kumbe waathirika ni wananchi.
Ndo maana kuna spika wa bunge ,yaani kiongozi wa wabunge wote, tena wanachaguana wenyewe,, kwaiyo wakitukana, wasionywe!! Mpaka wewe uliomchagua ukubali!!! We vipi!!! Rudi shuletena,,,usikubali kulishwa matango pori
Pro uko vzuri sanah,
Tafuta jimbo la ubunge 2020,
Uongeze nguvu bungeni
Nchi hii ukiwa mpinzani unaonekana muhaini, gaidi na pia si raia... Unamenifunza mengi sana Prof
Big up prof,we ni mtu makin sana,ccm hawawez kufuata mambo hayo,wao ni ubabe tu!!
dar gooooooooooooooooooood sn mzee shida watu wengine wanapongeza hata uozo
Umeongea vizuri sana Prof.
Pale unaposhukuru nchi kuwa na wasomi, big up prof. Huu ni ukweli
Ccm jisahihisheni tunaweza kuwa vitu vingi Kama hatuna Raha hivyo vitu vya nn?
Hongera Sana Professor
Watanzania wengi tungekuwa hv ingekuwa raha sana
Hawa ndio wazalendo sasa💪🙌🙌🙏
That's fantastic
Prof. hapo umesema ukweli mtupu.Watu wengi barani afrika,hasa huku kwetu Arika mashariki hawana raha ya utawala kwasababu ya ukosefu wa UHURU,HAKI NA MAENDELEO YA WATU.Ilani ya CHADEMA inasisitiza maendeleo ya watu, sio maendeleo ya VITU.Na anayesimulia haya mambo vizuri in RAIS MTARAJIWA TUNDU LISSU.Namuombea mafanikio makubwa sana.Asante sana Pro.kwa hayo maono yenye busara.
Ukweli haupigwi nyundo asante professor magufuli anajua Ila anajitoa ufahamutuu .ila time will tell HAKI HUINUA TAIFA
You are the best prof. ever
Wee Prof. Bigerup sana cjui kwann nchi yetu haiwatumin watu hawa daah wee prof.wew allah bless you inshallah uwe na mwisho mwema !!
Maprofesor wengi wenye msimamo ya maendeleo wamepewa maeneu ktk nchi hii ili tushirikiane kuijenga Tanzania yetu, lakini unions professor nzima yuko mitaani kazi yake kubwa ni kubwabwaja tu elewa jakosa mwelekeo,professor safari hongera sana. Kalaga bsho mamsomi alama za nyakati,aana jk alisema akili za kuambiwa ongeza ns zsko,mko wewe na mwenzako jeneralu ulkmwengu cjui h
HAWA WANAKUWA WAKIONGEA WANAPACHIKWA MAJINA BABAYA NA VIONGOZI BILA SISI KUJUWA NA KUJIKUTA IKIWA HAUNA AKILI KUWACHUKIA BILA SABABU MARA UTASIKIA MAGAIDI KAMA MASHEKHE WALIOMO MAGEREZANI ,MARA WAMETUMWA NA MABEBERU KUVUGA NCHI KAMA LISSU, MSIBA ULIOPO TZ NI KWA SABABU WATZ WAMELAZWA WAKALALA FOOFOOFOOO
Kaka Abdallah Safari Shule uliyosoma nami pia nilisoma
Pangani Primary school endelea na Ujasiri wako tetea haki za wanyonge bila ya uoga Allah yu pamoja na wewe.
Suala la democracy linakua gumu katika baadhi ya nchi kutokana na viongozi kuwa walafi wa madaraka.
Hao ccm ndio wanajulikana khasa kwa kungangania na hawana lao toka Magufuli kuja kila mtu taabani Allah Kareem atatupa yalo mema Watanzania na tuondokane na unafiki ndio maana tunapata viongozi wabovu
Eya
Uncle uu
@@ukhtyalpha1344 acha upuuzi wwe hakuna nchi yenye democracy africa kama tanzania kila awamu ina rais wake hakuna alio ng'anga'nia madaraka na kipind hiki kura zimepigwa kwa uwazi kuliko
Oyaa pendelea sana kusoma kitabu cha mkapa ili akili iwe kubwa maana umeongea pumba tupu
Unaonge vizur san
Asantee sanaaa nimekupata kwelii
Safi sana Professor,
Lakini wapo wachache wanaokuelewa ila wengi ni mbulula wana macho ila hawaoni, wana masikio hawasikii pia wanaishi kwa kukaririshwa.
Ahsante kwa mchango huu, umesaidia taifa.
Professor unajua Mimi nakukubali Sana ?. Wewe ni mchambuzi mzuri
Asante sana Prof.
Professa upo saafi..
Usimlaumu mtema mate, mlaumu mjambaji.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙄 Bonge la mfano.
Yuko sawa sana
😜😜😜😜 naona hapo ndo umeelewa sana
Mkubwa akijamba ni tabia mbaya kutema mate, kushika pua au hata kucheka.
Marufuku
@@rewaatesh4877 mpuuzi sana wewe
Ni sawa kabisa pro, china Wana mali lakini hawana furaha,india Wana furaha lakini maskini but uszifananishe hizo nchi na tanzania kwenye siasa za upinzani
Professor safari good speech
Km hali si nzuri hama nchi
Mwamba ni kama anaongea sahivi, kumbe ni kitambo aliongea.
Big up Prof, ujumbe muhimu kwa lugha ya kiungwana kabisa.
Uko vizuri prof ila sijui umekuwaje siku hizi
Moja ya ulafi wa nchi hii ni p1 na umasikin wao.
Ukwel haupingikii kwel Prof.
Wakati wa Nyerere usingeishi
Yes! good brain
Hao wazungu usiwazungumuzie,kwanza hawana jema na Afrika,mkipewa Uhuru sana mnawapanda watu vichwani,busara inawakosa na mnakuwa na siasa ya matusi,jirekebisheni
Nakuelewa sana professor
Critical mind!!!
India wanafuraha gani wanabaguana wao kwa wao. Kuna watu India wanaishi maisha zaidi ya utumwa.
Niliangaliza kuwa India upo umaskini wa watu mmoja mmoja mbaya zaidi ya Tz lakini kilichoifanya India iwe juu yetu katika kile kipimo(happiness index) ni watu wengi kuridhika na uwazi wa utawala na uhuru wa kuchagua na hata mfumo wa kinyonyaji uliopitiliza (serfdom) ambao wengi kwao ni kama unakubalika hata kwa hao wanyonywaji ! Si tofauti kubwa na hapa kwetu watu wanaposhangilia na kusifia pale wanapodhani wamepewa fadhila kumbe ni haki yao iliyokuwa imeminywa na hao hao wanaoitenda sasa!!
hayo ni matatizo ya kijamii ya nchi,world happiness index ya dunia ndiyo inayoonyesha india ni nchi yenye furaha kuliko tanzania
Watu wanajua wakisifia serikali ili wapate vyeo lakini vyeo hawapati.kuikosoa serikali inapokosea ndio uzalendo kwani unaisaidia I we imara zaidi
@Tino kama humuelewi komaa sa unamwambia nani??????????????????????????????????????!????????!!!!!!!??!!!!!!!??!???!!!!!!!!!!!
@Tino kumbe unajijua kama in fala hongeraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!?!!!!!!!?!!!!!!!!!!??????!!
Hapa huyu pro, anasema hivi nanukuu nyerere was the best lakini lisu anasema nyerere alikuwa dictator sasa hapa tushike lipi maana huyu ni pro na ni mwanasheria na lisu ni mwanasiasa na mwanasheria.
😂😂😂ao uingeeeza kama wanaraha kwanini ni wasimuondoe malkia wao wanaraha maana wamejielewa na waneona mambo ya vyama ayatawafikisha mahali.
We nawe unesoma wap uingeeza ndio nchi gani?
These are facts professor Safari
He doesn't know what he is talking. I believe he was one of the beneficial of corruption.
grace grace what corruption?
They are not facts just cheap politics
@@edwinalexander1170 anyone who believed in the rule of law and fairness will support Dr Magufuli's government. Only people who enjoyed corruption will hate this government. True democracy cannot be achieved if few individuals capture the state for their on benefits
grace grace Every steps and other efforts in enhancing our economy growth and improving infrastructure it is highly appreciated but they can go along with the freedom of speech, democracy and while curbing all forms of oppression against other political parties, As people can clearly see what good work you are doing to them , they will eventually ignore the defamations that may come from other political parties that are under the pretext of defiling. This is actually what these political parties are anxious to see, the environment in which all parties are free to play, without any harassments or implication of seditions.
Safi sana mkuu nimekuelewa sana
Asante profesa
Uchaguzi umesha sisi ndio tulio piga kura, Sasa hapa kazi tuu.
Waambiye
Mzee safari ujifunze kitu kama ulinufaika kwenye awamu moja na nyingine niyamwingine usilielie kakinya mfumo wa maisha ndivyo hilivyo
Wewe ndio umeshindwa kujifunza kwake
Hujaelewa anachozungumza ndo maana unasema hivo
Kila zama na kitabu chake. Hahahasaa hakuna dhaifu tens tuna tingatinga burudoza.
Umexema xana hehewangu abdallah
Fact prof, siyo yule prof uchwara
Hongera Safari
Upo sawa kabisa
Uko vizur profes
UKWELI daima auna sura MBILI.
noted professor
Usitusemee kuwa hatuna furaha bana sisi tuko fresh
Mie huwa napata tabu na comment tunazotoa. Huwa tunasikiliza au huwa tunaangalia kichwa cha habari na kuanza comments kabla ya kusikiliza.
Ahsante prof sie makada ambao sio wakeleketwa tumekuelewa. Na nadhani wakubwa wetu wakikusiliza watapata walau mawili ya msingi na kuyaweka ktk utendaji
Hivi kweli umeelewe ujinga aliyozungumza huyu professor uchwara?
Nimekuelewa Sana wwww mzee ukosawaaaaaaa sana
Safiii mzeeee
Uslaum mtema mate mlaumu mjambaji 😆😆😆 Soma iyooooo...
Safi sana profesa wewe nimesema kweli
Baba unasaut nzur sana sana
Nakubali prof
😀😂😂😂mbona mm ninafuraha
Nakuelewa sanaa pro safari
Duh khatar
Pro nakuelewa sanaa
Usimlaumu mtema mate; mlaum mjambaji
Sawa mzeee nimefrahi
Safi sana prof safari wambie
Awambie wakina nani? Hajasema chochote cha maana zaidi ya mashuzi
Wewe ni mpotoshaji.
Good speech
Ukisikia kelele nyingi sana ujue mirija imezibwa wakwepa kodi wapigaji wenye tamaa ya madaraka wale unanijua mimi nani ndio hao wanaotokwa povu na misauti yao mizito
Bwege wewe hujitambui elimu ngumbaru
Hali ni nzuri kwa anae ti sheria bila shuruti kwa ambae aliezoea kuvunja sheria lazima aone kama amenyang,anywa tonge mdomoni mlizoea dili jitahidinu kusali mmujua Mungu sio hayo kutetea upuuzi ambao hata Mungu hapendi ninyi ni wezi maana mnacho lalamikia kila siku ni kile kile tu Mungu awahurumie msipo badilika mtakuwa kituko kila siku.
Kaunga mkono ushoga prof mzima duh
Safi sana profesa....!!!
Mtanataka Demokrasia halafu mfanye fujo achaa uhuni Prof
Nikweli kabisa
Prof upo tofauti 🤔
Profesor Kama huyu ni hazina kwa watanzania.
Asante Baba muungu akuweke
Wew mzee umesoma sana ila mambo ya kutumia wazungu kama kipimo cha democracia kwetu sio sahihi. Wazungu hata siku moja hawajawah kututakia mema
Acha fikira za kijinga
Asante kwa maono yako
Kweli ww n prof. Kabisa
Furaha ni muhimu ktk maisha
Safarii uko sawa
Wazungu wabaya zaidi
Mjambaji tunamjua mshamba mmoja hivi?
Clip za mwalimu zenye mguso hazioneshwi tbc
TBC hii kitu hawezi onyesha
Your the best ❤️
Mzee upo sahihi sana.
Sana tena 💯 Percent kwa wenye kufahamu
Kweli wew professor una akili Sana point tupu
Ndo mana umekuwa profesa
Chochote ambacho kinawapa watu uhuru wa kuamua wanachokitaka ni bora hatakama hakimuongezei shibe
Huyu jamaaa nimzur
@@johnmatole1911 Anaongea facts
Nimependa
Mkweli huyu jamaa
Furaha na ukiwa na njaa hakuna maana
Ucimulaumu mtema mate mbali mulaum
Mjambaji nimekupata kabsa prof unafaaaa hatari
Kwel kabisa unavyo sema
We have a tough challenging time in Tanzania politically. We must talk and analyse these issues. Ni lazima tuzungumze jamani haya mambo tusitishane ukweli ni ukweli tu haupingiki. The truth is the truth nothing but the truth full stop.
Sema ukweli makufuli hafai wala hasitahili nadhani walimchanguwa buy Mystic
In addition japo Magufuli is not 100% perfect kama sisi sote binadamu. I think he is doing a great job..Nyie mnahitaji leaders watakaokua wanauza nchi yetu nje? Magufuli is the most popular presidents in Africa today, loved by many Africans today for what he is doing for the country and his people.
Magufuli should be popular in Tz, outside of Tz is irrelevant. Ni kama jitu lenye mke anaeokana mrembo kwa watu lakini kumbe ana maneno na kauli chafu au ukatili kwa mume na watu wa kwao.
Tafsiri ya demokrasia zipo nyingi kadiri ya mifumo ya utawala na watawala. Cha msingi ni sisi wenyewe turidhike na ile tuliyonayo, ila muhimu iwe vumilivu na itoe nafasi kwa mawazo tofauti tofauti(diversity of opinions) ambayo itaboresha utendaji wa utawala. By the way hata ile "dictatorship of the proletariat"nayo ni demokrasia! So far Magu is doing good lakini wenye kutofautiana naye nao wanastahili kuheshimiwa na kulindwa.
Very very good comment Godbless you. You are very bright.
Mr Mulenga nimeipenda comment yako sana unaonenaka msomi hasa.waambie hao waliopigwa opovu.
Wachina hawana furaha lakn China iko vzr warusi hawana furaha lkn nchi iko vzr na watu wako vzr asa hapo mm nashindwa kuelewa kipi bora unajua mm demokrasia inanikera sana na nashindwa kuielewa kabisa
Da!huyu mtu alikua wap jamani?alichokiongea walioshika madalaka nafsi haziwasuti?
Poa.sana
Yani ume ongea maongez Mazur sanaaaaa
Wewe profesa India tangu inapata Uhuru 1947 wamekuwa wana practice vyama vingi vipi hawa wameanza 1995 hata huongei ki profesa kama machinga tu
Wewe kinachokusumbua ni uvyamaa
Ujamwelewa, naona pointi yaje sahihi na hata pointi yako kwamba India ilianza democracy 1947 Ni sahihi.
Demokrasia haikui kama mtoto. Ni maamuzi ya watu kuwa na demokrasia ya kweli. Hapa kwetu hata ipite miaka100 hali itaendelea kuwa hiyo hiyo ya uonevu sababu uya ukosefu wa uzalendo na njaa za viongozi
Mhe kikwete nampenda sana maana ni muelewa
YUSUFU KAZAMBA mlimtukana Kikwete kwamba alikuwa legelege , alikuwa anasafiri sana , alikuwa hachukui maamuzi magumu ,
Leo hii mmebanwa pumbu eti mnampenda .
@@chayogasperi9783 poa umemjibu, nilitaka nimpe jibu hilohilo. Was TZA hatuna zuri.Kila cku lawama tu.
@@chayogasperi9783 mpe elimu ya bule uyo boya
Safari hii....
Katika nchi yenye Democracy wananchi ndio Maboss, Lakini Tanzania wachaguliwa ndio maboss.. Mfano Bunge limewatoa Bungeni wabunge waliochaguliwa na watu zaidi 70,000 bila kujali kuwa watu 70,000 watawakilishwa vipi.. Wanafikiri kuwasimamisha kina Mdee Na Lema ni kuwakomoa wabunge, kumbe waathirika ni wananchi.
Juma Jaffary wafundisheni kuomba msamaha Lema na Halima
Leila Innocent wewe ni Professor wa nini?
Ndo maana kuna spika wa bunge ,yaani kiongozi wa wabunge wote, tena wanachaguana wenyewe,, kwaiyo wakitukana, wasionywe!! Mpaka wewe uliomchagua ukubali!!! We vipi!!! Rudi shuletena,,,usikubali kulishwa matango pori
pro nakuele sn
Watu wasiwe na hofu wawe na Raha