DIAMOND amkodia BABALEVO 'Helicopter' kwa ajili ya kuelekea Dodoma, Tazama mbwembwe zake akiondoka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น •

  • @nyandutozy_1
    @nyandutozy_1 5 วันที่ผ่านมา +11

    huyu ndio msanii pekee au chawa pekee hato kuwa mbari na diamond kwakuwa hana mkataba na anaamini maisha yake ni diamond tofaut na hao wasanii waliopo kweny mikataba

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 5 วันที่ผ่านมา

      Acha zako. Hata roho itakuwa mbali na mwili baba levo na Diamond? Alafu unakufuru unasema maisha yake ni mond umemsahau mungu wewe?

    • @Zaburi-
      @Zaburi- 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@Mumewangu Mungu/MUNGU sio mungu

  • @GeorgeJusto-y4v
    @GeorgeJusto-y4v 5 วันที่ผ่านมา +14

    Mwijaku na doto wakodishe kunguru😂😂

  • @EGM-TZ
    @EGM-TZ 5 วันที่ผ่านมา +3

    From egm-tz hata hivyo jamani ni BRAND AMBASSADOR Mzuri sana❤❤😂 Enjoy Muziki muzuri kutoka EGM

  • @IsayaMala-v1r
    @IsayaMala-v1r 4 วันที่ผ่านมา +1

    Ebhane ee naona makamera baada ya kuondoka baba levo wameganda sana 😂😂

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 5 วันที่ผ่านมา +11

    Wametoka mbali na diamond anafaidika na uwepo WA Baba Levo

    • @bakarially253
      @bakarially253 5 วันที่ผ่านมา

      Hongera sana kwa kujua hilo

    • @lucia20240
      @lucia20240 5 วันที่ผ่านมา

      100%

  • @Alll.com.m
    @Alll.com.m 5 วันที่ผ่านมา +4

    SNS TV ❤❤❤

  • @azizahuruma7463
    @azizahuruma7463 5 วันที่ผ่านมา +2

    🙌🙌🙌

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 5 วันที่ผ่านมา +1

    its money.

  • @jessechristinme3923
    @jessechristinme3923 5 วันที่ผ่านมา +9

    2025-202030 Likes 😂😂

  • @rawalidrajabu5360
    @rawalidrajabu5360 5 วันที่ผ่านมา +3

    Twenty twenty thirty (202030)😂😂😂

  • @Anoniem123-u5m
    @Anoniem123-u5m 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mamama kipuwa jmn🤣🤣

  • @azizahuruma7463
    @azizahuruma7463 5 วันที่ผ่านมา +2

    🔥🔥🔥👏👏👏

  • @aloyceayubu2887
    @aloyceayubu2887 5 วันที่ผ่านมา

    Ushamba kweli

  • @wanasisi7709
    @wanasisi7709 5 วันที่ผ่านมา +5

    How many hours

  • @Ommy.4k
    @Ommy.4k 5 วันที่ผ่านมา

    Sawa fly

  • @jumamofu9573
    @jumamofu9573 5 วันที่ผ่านมา +1

    unaongea km Lisu

  • @mr_kajomba_og5719
    @mr_kajomba_og5719 5 วันที่ผ่านมา

    Ila wa ndishi Kwahiyo walienda tu kumuona fundi manyumba anavyo panda 😂😂😂😂😂

  • @lucia20240
    @lucia20240 5 วันที่ผ่านมา

    Doto na kichwa mviringo watakoma😂😂😂😂

  • @najmahhassan7853
    @najmahhassan7853 5 วันที่ผ่านมา

    Ba levo kweli tunakupenda lakini ndio utusemeee😂😂😂, unauhakika unachopenda tunapenda? 😂

  • @IsiahMosl
    @IsiahMosl 5 วันที่ผ่านมา +4

    Baba levo amepanda helicopter tutamkoma maneno yake akishuka.

  • @georgekabaka377
    @georgekabaka377 5 วันที่ผ่านมา +1

    Eti twenty twenty thirty 😮😮???
    Ila waandishi polen kwa kazi kwa kweli maana mnapuyanga kutafuta habari na hata maji hampewi kawaachia manyoya na vumbi tuuuu

  • @TumainiMbati
    @TumainiMbati 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mkipewa vichenji tu mnasifia Kila lolote kumbukeni na wengine wenye njaa Kuna maisha baada ya hayo kaka mwiliwe na mahoro

    • @halunimnenwa5224
      @halunimnenwa5224 5 วันที่ผ่านมา

      Kulak yangu Nampa tundu lisu

  • @FarYawaka
    @FarYawaka 5 วันที่ผ่านมา +1

    Anataka kutowa allba diamond lazima afanye kiki

    • @KalebMarg
      @KalebMarg 5 วันที่ผ่านมา

      Iyi sio kiki, iyi ni akili ya biashara
      Iyi ni campaign ya president Samia, Big anajuwa sana Nini chakufanya, kiki ni izo za Mumakond na Furaha wake 😂😂😂

  • @ibni_H2TL6r
    @ibni_H2TL6r 5 วันที่ผ่านมา +1

    Bongo waandishi wa habari na hv vimedia uchwara mkiacha kundekeza njaa mtatuweke contet za MAANA COZZ HUU NI UMAKU

  • @mohdkhalifa8828
    @mohdkhalifa8828 5 วันที่ผ่านมา

    🎉

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 5 วันที่ผ่านมา +1

    2025,202030😂😂😂😂😂

  • @pinielefraem4159
    @pinielefraem4159 5 วันที่ผ่านมา

    Sijaelewa deni la namna gani la taifa au vikoba

  • @Mariam-tw7fx
    @Mariam-tw7fx 5 วันที่ผ่านมา

    Baba levo tafuta pesa yako siyo mpka ukodiwe na mwanaume mwenzio

    • @lucia20240
      @lucia20240 5 วันที่ผ่านมา

      Hiyo ndo kazi yake sasa,mpe ajira basi😂

  • @mtotowamanka
    @mtotowamanka 5 วันที่ผ่านมา

    Xaxa kama Hana deni si awaachie,ambao watafany mamb mengn😂

  • @NoName-pp4lo
    @NoName-pp4lo 5 วันที่ผ่านมา

    Mara ya mwisho alienda Lupa tingatinga na dingi😂

  • @bryanzeconfesor5476
    @bryanzeconfesor5476 5 วันที่ผ่านมา

    Mpaka Dodoma mbona gharama sana

    • @eleven-in5qw
      @eleven-in5qw 5 วันที่ผ่านมา

      Si unajua tajiri ni nani

  • @nyandutozy_1
    @nyandutozy_1 5 วันที่ผ่านมา +1

    TUKIENDA KWENUE URAIS KAMA HANA DENI SI AACHE KUGOMBEA WAINGIE WANAUME WA SHOKA

  • @PatrickSaid-zz6gf
    @PatrickSaid-zz6gf 5 วันที่ผ่านมา

    2025-202030

  • @Princegeorge952
    @Princegeorge952 5 วันที่ผ่านมา +1

    You mean Tanzania journalist have never seen a helicopter..they can come here in kenya 🇰🇪🇰🇪 most of us here ride in chopper in kenya

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq 5 วันที่ผ่านมา

      You should concentrate upon improving your English and your social skills before you expose your jingoistic idiocy to the world. How do you defend your claim to exposure to the finer things in life in a country where you are being gunned down for stealing food in Parliament?

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 5 วันที่ผ่านมา +4

    Rubani atafika amechoka 😂😂

  • @ForeverCaptain
    @ForeverCaptain 5 วันที่ผ่านมา

    Money Laundering

  • @TumainiMbati
    @TumainiMbati 5 วันที่ผ่านมา +1

    Acha ujinga unamkuibali ww na family yako

  • @levygasper7438
    @levygasper7438 5 วันที่ผ่านมา +1

    Watu Kama Hawa hawatakiwi kwenye nchi kwanini unaaminisha watu ujinga kabisa Kwa faida zako mwenyewe unafikili hilodeni litaisha kwahio ujinga wako babalevo pumbavu zako mutajuta huko mbere we ngoja mda utaongea

    • @agapemunyi2095
      @agapemunyi2095 5 วันที่ผ่านมา +2

      Mwenyez mungu huwa habariki visasi hvyo basi kabla ya kudhan fulani atajuta na huo muda unaodhani atajuta na uone anazidi kufanikiwa wewe mwnyewe ndo utakae pata shida ya kinyingo, Ogopa Sana kumuombea binadam mwenzio mabaya hta kama hakufurahishi kwenye baadhi ya mambo kwa sabb binadamu huwa wanashangaza watu na wabaya kubaki midomo wazi

    • @Rahima-kv6mn
      @Rahima-kv6mn 5 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@agapemunyi2095 👏👏👏 Exactly kila binadam ana mapungufu yake so Tumuachie Mungu mana Sasa ivi binadam kwa binadam tunahukumiana 😢😢 ☹️😏

    • @bovickpascal6554
      @bovickpascal6554 5 วันที่ผ่านมา +1

      Deni gani dugu yangu hata merekani ina deni kkk

    • @MS.independent8934
      @MS.independent8934 5 วันที่ผ่านมา +1

      Acha roho mbaya unenepe loooooo

    • @LoneWolf-ng8yg
      @LoneWolf-ng8yg 5 วันที่ผ่านมา +1

      Hakuna mapungufu kwa binadamu binadamu ni kiumbe kamili acheni Imani zenu za kishenzi huu ndo ujinga unaoimaliza africa

  • @SurprisedAstrolabe-id9gc
    @SurprisedAstrolabe-id9gc 5 วันที่ผ่านมา

    Neenda kasome kwanza acha kuendelea kujidhalilisha😂😂😂 nimecheka mpaka nimejamba

  • @jamesrichard3971
    @jamesrichard3971 5 วันที่ผ่านมา +3

    Acha ugasho, ww njaa itakuwa, 202030, wewe bwabwa kweli

    • @SaimoAbusei
      @SaimoAbusei 5 วันที่ผ่านมา +1

      Mbwambwa mamayako

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 5 วันที่ผ่านมา

      @@SaimoAbusei amekosea kwa nini matusi .wewe ulikuwa umjibu yote ni furaha tu ndio akakosea kusema