We often fail to acknowledge how this platnumz guy has mentored us the biggest stars of bongo..dorminance for generations ...he is an achiever of heights..great man🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
SIMBA kishasema kuwa atakaemgusa MBOSO atadili nae, haya sasa jichanganye umletee vurugu bwana KILUNGI, na sisi kama fans wa WCB tunasema kuwa atakae msumbua MBOSO atakiona kilichomtoa kanga manyoa 💪💪
Thanks bro for your reply am team kiba 👑 ki ukweli ww unajua nn unafanya kwenye seckta ya mziki 🎉🎉🎉 umemkuza na kumjenga vya kutosha sasa niwakati wa wengine na wao kupata nafsi wasafi WA imarike kimziki na kimaisha❤
Mzee wa Kuimarisha wasanii Hongera sana. WASAFI inakuchukuwa ukiwa na Jina lakini huna nguvu ya kujisimamia, inakukuzia Jina lako na kifedha hadi mwenyewe unajiona nimejipata na unasema Sasa nimejipata naondoka. Lebo nyingine unaenda na Jina unatoka na UMASIKINI Tena na unapotea. Dogo utapigwa madongo kwasababu ni mti wenye matunda lakini jikubali unafanya vizuri. Bidhaa zako ndiyo zinashika soko. Hapo Bado Zuchu akishiba atachomoka na kuwa gumzo. Sijaona msanii au label nyingine iliyomkuza na kumleta sokoni msanii na akasimama kama Van Boy, Konde na Sasa Mboso. Heshma kwenu wasafi
We often fail to acknowledge how this platnumz guy has mentored us the biggest stars of bongo..dorminance for generations ...he is an achiever of heights..great man🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tuliofurahi kama Mimi na kujisikia Simba ni mtu wawatu like zetu
Kwel jamaa ana shida kabisa.
Au vip konde boy mondi ni mtu wa watu
Bien sana kabisa
Nimependa hii👏🙏
Mboso Kila la kheri kajenge na mkeo tunaokubali tm WCB like kwetu
your are the best my favourite
th-cam.com/video/4RpJRga6pDU/w-d-xo.htmlsi=QVY2eyQ_KpkV92RA❤
Huo ndio ubinadamu Simba Dangote kushikana mkono ❤❤❤❤
Absolutely
@@JK47-28kabisa heshima sio utumwa
Mashallha tabrakallha mungu azidi kukubariki kkngu uko na utu wallh jaman tuigeni moyo wa uyu mwamba
Yeah
Baba levo limesimama hapo linasikiliz ili likaongeeee huko😅😅😅
😂😂😂
😂😂😂😂huwa ana tabia baya sana ....mama wa udaku
Kkkkk😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
nimeona pua la baba levo, kma umeliona gonga like
😅
Namimi pia
Kubwa hilo😅😅😅
😅😅😅
Kama ulikuwa hajaona pua vizuri ila baada ya huona hivi comment ndo ukarudi nyuma kulitafuta gonga like hapa😂😂
Baba levo mpaka uchungulie😅😅
Baraka zaid kwako FazaTiffah!👊🏽👊🏽👊🏽
Yeaaah
Mashallah mabrook ❤
This is the heart of a Father @diamond platnumz
SIMBA kishasema kuwa atakaemgusa MBOSO atadili nae, haya sasa jichanganye umletee vurugu bwana KILUNGI, na sisi kama fans wa WCB tunasema kuwa atakae msumbua MBOSO atakiona kilichomtoa kanga manyoa 💪💪
Utumwa huu
th-cam.com/video/4RpJRga6pDU/w-d-xo.htmlsi=QVY2eyQ_KpkV92RA❤
Mental slavery
God bless u Diamond
Me ndo na mpenda diamond ana roho ya kipeke mungu anfanyie wepesi yeye pamoja na mboso ❤❤❤❤
Hahahah amina
Ila chawa 😂😂 yeye anatakuwa kucheka tuu hata kama bos hachekeshi😅😅
Thanks bro for your reply am team kiba 👑 ki ukweli ww unajua nn unafanya kwenye seckta ya mziki 🎉🎉🎉 umemkuza na kumjenga vya kutosha sasa niwakati wa wengine na wao kupata nafsi wasafi WA imarike kimziki na kimaisha❤
Yenyewe hapo mkuu umefanya jambo❤❤
Wow apo iko swa Diamond ❤❤
Napenda kusikia hivo juu diamond ni mtu mzuri sana wapi like 🎉
Dah kwann mbosso ameamua ivi lakini🥺
'Moving On'
Mapua ajatuacha salama😂😂😂
Simba Dangote wewe daraja ❤❤❤
From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Guys ❤🎉Enjoy Muziki Mzuri kutoka EGM
Ngama boy -laho rmx ft shallipopi, burnaboy &seyi vibez ❤❤❤❤
🙌🙌🙌 Simba
Mungu azidi kukuongezea zaidi na zaidi❤❤❤
🙂
Hayaaaa😂😂😂😂wenye macho zetu zilibaki tu kutazam Pua la babalevo mikono juu😅😅😅😅😅😅
Heheheh ila wanadam😁
Mzee wa Kuimarisha wasanii Hongera sana. WASAFI inakuchukuwa ukiwa na Jina lakini huna nguvu ya kujisimamia, inakukuzia Jina lako na kifedha hadi mwenyewe unajiona nimejipata na unasema Sasa nimejipata naondoka. Lebo nyingine unaenda na Jina unatoka na UMASIKINI Tena na unapotea. Dogo utapigwa madongo kwasababu ni mti wenye matunda lakini jikubali unafanya vizuri. Bidhaa zako ndiyo zinashika soko. Hapo Bado Zuchu akishiba atachomoka na kuwa gumzo. Sijaona msanii au label nyingine iliyomkuza na kumleta sokoni msanii na akasimama kama Van Boy, Konde na Sasa Mboso. Heshma kwenu wasafi
Kweli Bro..
Baba Levo kafurahi boss kahidhinisha kauli yake mana aliumbuka😂
Labda sio simba. Tunao mpa mwaka mmoja mbosso anapotea like hap
Hatuwezi kukupa like kwa point ya kijinga kama hio huna point ya maana, anajua na anajua tena
@DelinathaSperatus-xg1bm sijasema ajui je anamzidi rayvani???
@@dmd62 wote wanajua hakuna wakulinganishwa na mwingine hapo
Lavalav ndo hatokagi😅
lavalava akitoka atapotea kabisaa😅
Chuma😊😊😊
Sawa nasibou mougo nahouzidishiye barzraka ❤❤❤❤❤
Kiswahili kwako shida ila fresh tumekuelewa
😂😂😂😂😂😂😂@@PlickaChacha
Badilisha simu utakuja kutukana wakwe bure😅😅
Sema baba levo uwa hadanganyi Ila anasema kabla ya wakat tu
😂😂😂 ndio
😂😂😂aki hii comment imenifraisha😂😂
😂😂😂😂😂
Ss colabo ya mboso, harmonize, & van boy, inakuja
Aty Mbosso alikuomba atoke 😂
Diamond ni handsome ❤live ndo balaa
Leo tena😂... Aliambiwa ana mdomo mkubwa leo handsome kweli tutafute pesa.
Unauhakika ungekutana nae kasulu anauza migebuka ungemwambia handsome 😅
😂😂😂@@jackiejacushie1842
Baba levo😂 anachungulia
Atakaye mgusa 😂😂😂😂 Simba akisema mm ni nani nipinge 🙌🙌
Manshallah
Mboss Anaakil Sana Hataki Kutolewa Kikoa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Pitia frm254💥💥
Hilo pua la baba levo ni kama kijiko cha kuchota mchanga😂😂😂
Daah...😂😂😂
Be levo bana😂😂😂😂
I am unhappy I am sad whyyy mbosso whyyy😢
Aliyeisikia neno mapenzi na mboso gonga like zakoo hapaa
We mshamba Sana huwezi pata like
Kiongoz mm nawakubali lakin mm naomba mond unishike mkono
Angalia chawa nyuma hapo
Ndo maana ya kuwa kaka sasa
From king kiba, lakini nakubali maneno ya mkubwa modi❤
Kwahyo rayvanny hawakueshimiana 😂
Kasema kuhusu mbosso
Ukimgusa mboso utakua umemgusa mondi 🎉🎉🎉🎉
Hahah
Simba ana utu na ubinadam❤❤
Utu upi wa kutembea na wanawake na kuwazalisha hovyo😅😅😅😅, huna watotooo eeeh
@Happizo si wanawake wenyewe cheap sku hz
Kwaio ww ulitakaje?aczae nao au azae naww?kuoa ni mipango ya mtu cyo lazma@@Happizo
@@AzaAzamhmod yes wanawake wenyewe wamejiraisisha sn ckuiz Yan utumii Nguvu nyingi unapewa uroda
@@HappizoSiku hizi kuna wanawakeee au MATIPWI
ishi milele simba❤❤
Mungu akubariki samba
What's 'Samba'?
@JK47-28 SIMBA LAMA SIMBA📌
@samehewaliokukoseya2605 ooh!
Anyway, Why Is Your Name 'Samehewaliokukoseya'?
@JK47-28 yes beby
Unajionaga Mungu sijui
Et nimempa baraka we kama nani
Acha kujiona ww ndio kila kitu
Kwa Ukubwa gani ulionao
Nimeliona lichawa lipo nyuma ya diamond
Alihamdulilah asante daimondi kwanani yake
Kuna pua hapo linaonekana ila mtu haonekani😂😂😂
Hii clip this month ndo itapata views wengi hapa millard
Ngoja tuone😅😅
Kama umefurah kuona pua la baba levo gonga like hapa😂
😂
simba bhana mungu akubariki saabu kuinua vipaji
Song writer wa mondi ....ndio hio heshima
Mbosso ni mdogo wangu
Baba levo kweli chawa among'ng'ana mpaka pua limeonekana 😅😅😅
Hahah 😂😂😂
Pua ya baba levo😂😂😂😂
🎉
Leo nimeelewa Kwa nn ibra wa konde huwa anakuita Babu
Mbosso uende kwa roho moja kama simba alivyo kurusu kwa moyo mmoja ukizingua utazima kama mshuma
Nakubal lama simba kwa saport
Safi sana simba
Umetoa silaha bro
👏👏👏👏👏
❤❤❤❤❤🎉🎉
Sas huyo baba levo anajichekesha nn anatamani km angehojiwa yeye cjui
😂😂😂😂yn
😂😂😂😂😂
Hoya ukiwa karibu na bosi bro unacheka chochote anasema ata akikohoa wajipata wacheka Sasa b levo ba muache😂😂
KUMBE 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😳‼️
Basi ajatoka baada tunataka dukumenti za mbossssssssssssssooooo ....tuono azalani....
Uyo pembeni Ndo Alikua anashikwa Maziwa na waaranu Alafu anacheka 😅
Dah Mbosso kwanini lakini
Ila baba levoo😅😅😅😅
😂😂😂😂😂duuukumbe mboss katuacha wcB duu
Kama hakuna Alie kuwa anapelekewa haoo sijuhi😂😂😂 hyo Bure vip Yani,,,
Mashallah
Nakukubali baba thipher acha wapambe waongee yakwaoo
Chawa kama chawa anatamani interview iendelee😂😂😂
Ila baba levo😂jaman.
Ila njaa mbaya baba levo ka jinga
Daaah kumbe kwl
Baba levo yupo makini
Kumbe Tembo na Chui walikua wakorofi wakalipishwa. Mbosso si huyo amejitoa for free
😅
B levo baaa anacheka kwa aibuuu😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Ulikuwa unampenda kwa hiyo sasa hivi humpendi?
❤❤❤❤❤
subirin ipo siku mtasikia ukweli me naamin kuna ka ukweli kamejificha hapa😅
Wife diamond miss pididy 😂😂😂
Tried to show that its not always about money❤
Baba levoo 😂
Sijaelewa hapo huyo nguo aliovaa lukuga yandani kama sherashera flani hivi😂 gonga like kama na wewe umeona
Na Simba la Masiiiiiiiii😂😂😂haya mshaupata ukweli sasa mtulie😂