ALLY KAMWE ATANGAZA YANGA KUFANYA PAREDI NA HELICOPTER DAR "TUTAPITA MSIMBAZI" | NBC WATIA MPUNGA..
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 พ.ค. 2024
- Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika
Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv - กีฬา
Poleni Nguruwe fc kwa haya maumivu
Hichi kichwa cha Ali kamwe mwenyezi mungu atuwekee tupate ladha ya msemaji wetu
Mi sitaki like kabisa
😂😂😂😂😂😂
😅😅😅
SAFIIIIII SANAAAA...!
Yaan Ally Kamwe bana nahisi hapo baba ake anamsikiliza huku anacheka mbavu Hana Mzee Kamwe wa watu😂😂😂😂😂
Lazima upite mjini 😂
Taratibu jamani,mtaua watu.
Tupe raha
Kweli inabidi kuwahi kwa mkpa, wasije MAKOLO wakaliiba mbwa wale
hatunaga dogo yangaaa😂😂😂😂
Huyu jamaa darasa lipo,ila wapo wasemaji wengine🤣🤣🤣🤣 acha nicheke tu,na huwezi kuja kuwasikia hao wengine projo tu.
Kumbe tumuombee fei achukue kiatu make azizi anaondoka😅😅😅😅😅😅
Huyo ruban kweli anatakiwa awe mwananchi.acje kuwa kollo akazamia bunju na kombe letu.
Mnanichekesha
Yaani simba wakikosa la kusema wauze vijora msimbazi
Yaani ndo itakua sawa, maana wale burudani zao ni VIGODORO , Mpira ushawashinda MAKOLO
😊
Hatunaga jambo dogo
😂😂 Ally Kamwe kichwa kina akili mingi sana ila swala la mke umekuwa mkali sana 😅😅😅😅😅
Mshua kazaa Nyoka 😂😂😂
Hahahaha
NI KWEL ULINZI UIMARISHWE KWA KWEL WASIJE MAKOLO WAKALIIBA HAHAHAAAAA...!
Utapita msimbazi umetengeneza uwanja wako acha upuuzi
NAZILE DHULMA SIKU HIYO MTATUONYESHA.😊
Poleni na mkae kwa kutulia
Tena wafunge midomo yao wafe kimya kimya