![Ahi kigufa](/img/default-banner.jpg)
- 24
- 25 718
Ahi kigufa
เข้าร่วมเมื่อ 13 ก.ค. 2022
Dealing with agricultural contents
HUITAJI UWEPO WA JOGOO ILI KUPATA MAYAI
Kwa wale wanaohitaji mayai kwa shughuli zingine kama kula n.k hawaitaji uwepo wa jogoo ili kupata mayai hayo.
Isipokuwa jogoo anahitajika kwa lengo kuu la kurutubisha mayai ili kupata vifaranga.
Isipokuwa jogoo anahitajika kwa lengo kuu la kurutubisha mayai ili kupata vifaranga.
มุมมอง: 69
วีดีโอ
ATHARI YA MATUMIZI YA CALCIUM NA PHOSPHORUS YALIYOPITILIZA KWA WATOTOLESHAJI WA VIFARANGA
มุมมอง 8214 ชั่วโมงที่ผ่านมา
ATHARI YA MATUMIZI YA CALCIUM NA PHOSPHORUS YALIYOPITILIZA KWA WATOTOLESHAJI WA VIFARANGA
HUHITAJI KUTUMIA DAWA KWA MFUMO HUU. Sehemu ya pili
มุมมอง 67119 ชั่วโมงที่ผ่านมา
HUHITAJI KUTUMIA DAWA KWA MFUMO HUU. Sehemu ya pili
sehemu ya pili: MILIKI KUKU ZAIDI YA 600 KWA MWAKA kwa kutumia fomula hii
มุมมอง 662วันที่ผ่านมา
Kwa wale ambao hawajaangalia video ya kwanza. Boyeza link hii. th-cam.com/video/uQ8jCm5Aj7c/w-d-xo.htmlsi=JoO8LF-X_n946qmv
MILIKI KUKU ZAIDI YA 600 KWA MWAKA kwa kutumia fomula hii
มุมมอง 16K14 วันที่ผ่านมา
MILIKI KUKU ZAIDI YA 600 KWA MWAKA kwa kutumia fomula hii
HUHITAJI KUTUMIA MADAWA TENA KWA MFUMO HUU. Sehemu ya kwanza
มุมมอง 11721 วันที่ผ่านมา
HUHITAJI KUTUMIA MADAWA TENA KWA MFUMO HUU. Sehemu ya kwanza
MATOKEO BORA YA KUKU WAKO HUANZIA HAPA
มุมมอง 177หลายเดือนก่อน
MATOKEO BORA YA KUKU WAKO HUANZIA HAPA
FANYA HIVI KUEPUSHA VIFO KWA VIFARANGA.
มุมมอง 5Kหลายเดือนก่อน
FANYA HIVI KUEPUSHA VIFO KWA VIFARANGA.
NAMNA YA KUTAFUTA CHICKEN UNIFORMITY (USAWA WA KUKU)
มุมมอง 77หลายเดือนก่อน
NAMNA YA KUTAFUTA CHICKEN UNIFORMITY (USAWA WA KUKU)
UFUKIZAJI BANDANI KABLA YA KUWEKA VIFARANGA
มุมมอง 207หลายเดือนก่อน
Hii hufanyika ili kudhibiti vimelea sehem ambazo usafi haukufika au kufanyika vizur
TAZAMA MATUNDA YANAVYOFANYA KAZI KWA KUKU
มุมมอง 396หลายเดือนก่อน
Moja kati ya chanzo kikubwa cha vitamins ni matunda na mbogambog. Kwaiyo wapatie kuku wako kwa afya zaid
NAMNA YA KUNING'INIZA DRINKER NA FEEDER BANDANI KISASA
มุมมอง 1322 หลายเดือนก่อน
NAMNA YA KUNING'INIZA DRINKER NA FEEDER BANDANI KISASA
PUNGUZA GHARAMA KWA KUWAPA VITAMIN YA ASILI
มุมมอง 3622 หลายเดือนก่อน
mbogamboga ni shemeh ya vitamin, punguza gharama kwa kwapa majani
NAMNA YA KUUPA UELEKEO MMEA WA PASSION/KAKARA
มุมมอง 269 หลายเดือนก่อน
NAMNA YA KUUPA UELEKEO MMEA WA PASSION/KAKARA
NAMNA YA KUWAHAKIKISHIA KUKU WAKO MAJI SAFI NA SALAMA
มุมมอง 69ปีที่แล้ว
NAMNA YA KUWAHAKIKISHIA KUKU WAKO MAJI SAFI NA SALAMA
EPUKA MAZINGIRA HAYA YA MSONGO (STRESS) KWA KUKU WAKO
มุมมอง 73ปีที่แล้ว
EPUKA MAZINGIRA HAYA YA MSONGO (STRESS) KWA KUKU WAKO
Umeeleza vizuri sana kiongozi. Mimi nimejaribu sana ila kuna watu wansniangusha ila sijakata tamaa. Asante kwa somo zuri.
@@saumumunisi8013 shukran. Usikate tamaa, kikubwa ni kufanyia kazi kila changamoto na vikwazo ili kesho yako iwe nzuri
Ubarikiwe kiongozi
@@ShacksChagalu ahsante sana. Tubarikiwe sote
Asanteeee kwa somo naomba uniutumie nmba yako kama hautojali lkn
@@JoelSese-qr1rv 0752682127
Naweza kupata no yako ya simu
@@karimmakweta3530 0752682127
Asante kwa somo zuri.
@@FaridaMbua ahsante Karibu
Hi elimu ni bora sana kibiashara
@@silveramujuni5246 karibu
Vipi nikiaza na majike 10 na dume 1 banda lake linatakiwa ukubwa gani?
@@ChartyMpepo Ukubwa wa banda unategemea na aina ya kuku, mfumo unaotumia kufuga (ndani nusu huria au huria), idadi yao n.k Kwa kuku mmoja wa kienyeji anaefugwa kwa mfumo wa huria (nje) anahitaji nafasi ya futi za mraba 2 hadi 4 Yaani 0.6 - 1.2 metre square kwa kuku mmoja. Au sentimita 60 - 120 za mraba kwa kuku mmoja. Ili kupata nafasi ya idadi ya kuku ulionao au unaohitaji kuwafuga yapasa kuchuku mita 0.6 kwa kuku 1 × idadi ya kuku Mfano 0.6 × 10 = 6 mita za mraba Kwaiyo banda lako laweza kuwa na Upana mita 2 na urefu mita 3 Ahsante na karibu.
@Ahikigufa nashukuru
@ChartyMpepo shukran pia.
LINK YA VIDEO SEHEMU YA KWANZA th-cam.com/video/uQ8jCm5Aj7c/w-d-xo.htmlsi=gajmqE5Wuq0nM_22
Kaka nashkul xaan
@@SurprisedCaptainHat-my4tw shukran sana. Karibu
Elimu nzuri na inahamasisha ila siyo rahisi hivyo. Hao vifaranga kuwalea tofauti tofauti ni changamoto sana kwa mtu mwenye mtaji mdogo na eneo dogo.inawezekana ila waweza kuchanganyikiwa akili!kila mwezi ule vifaranga wapya!bado wengine wanakusubiria!njia rahisi ni kununua hao vifaranga wote na kuwalea kwa pamoja.
@@elimbotoraphael3940 Shukrani ni wazo zuri, la kujenga na kuboresha, Naamini pia katika uthubutu na nia thabiti ya kujitoa kikamilifu katika jambo lako.
Good
@@carenhilary8067 thanks
Me wezi ndo wananirudisha nyuma
Aisee pole sana. Ni kweli hiyo ni changamoto kubwa sana na kuna wakati inakatisha tamaa. Hasa unafikiria level uliyokuwa umefikia, jasho, damu na machozi uliyomwaga kufika hapo. Ni kutie moyo kwa mara nyingine kwa kutokata tamaa, kikubwa ni kujifunza kwa kila kosa na changamoto inayokukabili kisha kutafuta suluhisho la kudumu. Sijajua mazingira yako yakoje, ila naimani MBWA anaweza kuwa moja kati ya suluhisho.
Pole kwa Hilo lakini usife moyo
Ahii samahani naomba namba yako
0752682127
Somo zuri Asante sana
@@swaumuramadhani-g7e shukran sana.
Nice 👍 idea
@@HilaryMassawe-y7s thank you
Kaka namba yako kwa maelezo zaidi
@@amanichaula1 0752682127 WhatsApp/normal call/Messages
Unapatikana mkoa gani mkuu
@ arusha
Asante
@@emmiemmi3861 karibu
Hongera sana. Asante kwa elimu
@@PaulSangayon shukran sana
Asante
Shukran pia
Elimu nzuri sana natamani kufuga
@@HappynessFuss-f8q hongera na karibu sana. Kupitia channel hii, itakuwa ni sababu ya kuanza ufugaji na kukua zaid
Asante kuniunga mkono kwa mawazo yangu
@@abidandastanmaliyatabu1373 karibu
Nahtaj sana elm iyoooo
@@CHARLYASSEY tuko pamoja, endelea kufuatilia mtitiriko wa maudhui yangu, naimani elimu unayoihitaji utaipata
Mayai yanatakiwa yatotolewe baada ya mda gani?
@@DanielMbena Iwe ni kuku kaatamia au umeweka kwenye mashine mayai huanza kuanguliwa au kutotolewa baada ya siku 19 - 23 ambayo wastani ni siku 21.
@Ahikigufa Yani maana yangu ili mayai yatotoleke toka yatagwe yanatakiwa yakae siku ngapi ili yawe yanafaa kutotoleka?
@DanielMbena ni siku 14 kwa maan wiki mbili. Ila yakikaa siku 12 yanaleta matokeo bora zaidi. Zaidi ya hapo kaa tayari kwa video inayofuata nimeeleza yote hayo.
Elimu nzuri ubarikiwe
@@jestinasimon4130 shukran sana, tubarikiwe sote
@@jestinasimon4130 Amina, tubarikiwe sote
🔥🔥👍
@@geralddeus1434 🔥🔥🔥
Kazi safi kaka Asante
Ujumbe muhimu,ongera
@@stephenmuli-j4q shukran sana
BARIKIWA SANA ELIMU NZURI
@@filipinadaud885 shukran sana. Tubarikiwe sote.
Hongera somo limeeleweka