Biftu FM
Biftu FM
  • 153
  • 92 230
KALRO YATAKIWA KUBORESHA MBEGU ZA MAHINDI SAKU.
MIALE YA BIFTU
30TH JULY 2024 7:00PM.
Wakulima katika eneo bunge la Saku jimbo hili la Marsabit sasa wanalitaka shirika la Utafiti wa Kilimo na Mifugo Kalro kufanyia utathmini ubora wa mbegu zinapandwa katika eneo hili.
Hii ni kufuatia mazao ya kuridhisha ya mahindi yaliyovunwa msimu huu katika baadhi yamashamba.
Kulingana na Bi. Mare Sante mkulima katika eneo la Dakabaricha wadi ya Marsabit Central ameitaka KALRO na maafisa wa kilimo katika kaunti ya Marsabit kuchukua mbegu zake za mahindi na kuzifanyia uchunguzi wa kina kwa kile anachosema huenda ikawa suluhisho katika utoshelevu wa chakula katika jimbo hili.
มุมมอง: 121

วีดีโอ

EACC INAMWANDAMA SENETA CHUTE KUHUSU SAKATA YA KSH.2B NA KSH350 M.
มุมมอง 339หลายเดือนก่อน
Edit with InShot: v.inshotapp.net/invite
Jamii za Songa na Jaldesa zanufaika na tenki 120 kutoka NRT.
มุมมอง 59หลายเดือนก่อน
Edit with InShot: v.inshotapp.net/invite
VIWANGO VYA CHINI VYA ELIMU VIMECHANGIA KAMPENI YA UHAMASISHAJI- MENEJA SHABIA
มุมมอง 332 หลายเดือนก่อน
Meneja wa mradi wa Carbon Credit, Hewa Ukaa shirika la kuhifadhi mazingira la Northern Ranglands Trust NRT Mohamed Shibia amesema changamoto ya viwango vya chini vya elimu miongoni mwa wakaazi wa maeneo wanayofanyia kazi imechangia pakubwa uzinduzi wa mpango wa siku 45 kueleimisha umma kuhusu mradi huo. Washika dau mbali mbali ikiwa ni pamoja na serikali za majimbo ya Laikipia, Marsabit, Isiolo...
NRT YAZINDUA PROGRAMU YA KUELIMISHA UMMA KUHUSU CARBON CREDIT.
มุมมอง 192 หลายเดือนก่อน
MIALE YA BIFTU JULY 3, 2024 7:00PM. Shirika la kuhifadhi mazingira la Northern Ranglands Trust NRT limezindua programu ya kuhamasisha umma kuhusu mapato na miradi inayotokana na fedha za hewa ukaa yaani Carbon Credit. Uzinduzi huo umefanyika katika kituo cha hifadhi cha Kalama Community Wildlife Conservancy kilichoko kaunti ya Samburu. Wakati wa uzinduzi huo Mkurugenzi Mkuu wa NRT Tom Lalampaa ...
WAKAZI NA VIONGOZI WA KISIASA WASIFIA MIRADI YA HEWA UKAA.
มุมมอง 1372 หลายเดือนก่อน
MIALE YA BIFTU JULY 3, 2024 7:00PM. Viongozi na wakazi wa majimbo ya Samburu, Laikipia, Marsabit na Isiolo wamesifa pakubwa manufaa wanayopata kutokana na mradi wa Carbon Credit, hewa ukaa. Mwakilishi wa kike kaunti ya Samburu Bi Pauline Lenguris amesema shirika la NRT linatekeleza miradi ambayo inastahili kutekelezwa na serikali ya kitaifa akiongeza kuwa uongozi wake utashirikiana na NRT kwa m...
MARWASCO : Mji wa Marsabit na viunga vyake kukosa usambazaji wa maji kwa siku 7.
มุมมอง 682 หลายเดือนก่อน
Wakazi wa mji wa Marsabit na viunga vyake watakosa huduma ya usambazaji maji kwa karibia wiki moja kutokana na shughuli ya kusafisha bwawa la Bakuli 2. Meneja mkuu wa kampuni ya usambazaji maji Marsabit MARWASCO Sora Katelo amesema kwa sasa shughuli hiyo inaendelea katika msitu wa Marsabit.
Ndege isiyokuwa na rubani kutumika kusafirisha damu Marsabit.
มุมมอง 2472 หลายเดือนก่อน
Ndege isiyokuwa na rubani kutumika kusafirisha damu Marsabit. Hapa inafanyiwa majaribio hospitali ya rufaa ya Marsabit.
RAUKA NA BIFTU 100.3 | WEWE NI SISI na HAPA NDIO NYUMBANI - sammie REI
มุมมอง 512 หลายเดือนก่อน
RAUKA NA BIFTU 100.3 | WEWE NI SISI na HAPA NDIO NYUMBANI - sammie REI
Muhimu zaidi ni tuweka amani Marsabit.
มุมมอง 6112 หลายเดือนก่อน
Edit with InShot: inshotshare.app
Naibu Gavana Gubo: Serikali ya Marsabit itashirikiana na wadau kujenga Bustani ya Kumbukumbu.
มุมมอง 1822 หลายเดือนก่อน
Edit with InShot: inshotshare.app
Adan Chukulisa: Nusura niabiri ndege hiyo iliyoanguka na kuwauwa viongozi wetu.
มุมมอง 1.8K2 หลายเดือนก่อน
Edit with InShot: inshotshare.app
Sora Guyo: Bustani itatumika katika kuandaa mikutano na pia vikao vya amani.
มุมมอง 4552 หลายเดือนก่อน
Mwenyekiti wa kamati ya amani Marsabit Sora Guyo amependekeza ujenzi wa Bustani ya Kumbukumbu ambayo ambayo itatumika katika kuandaa mikutano na pia vikao vya amani.
Mbunge wa Turkana North Ekwom Nabuin asema Bustani ya Kumbukumbu lazima itajengwa Marsabit.
มุมมอง 1602 หลายเดือนก่อน
Naibu mwenyekiti kamati ya bunge kuhusu michezo na utamaduni ambaye pia ni mbunge wa Turkana North Ekwom Nabuin amesema kamati yake itaishawishi bunge la kitaifa kutoa fedha ili kujenga Bustani ya Kumbukumbu kuwakumbuka viongozi wa jimbo hili waliofariki katika ajali hiyo ya ndege miaka 18 iliyopita. Ekwom amesema bustani hiyo itakuwa historia kwa sio tu wakazi wa Marsabit bali pia taifa zima k...
CEO Baraza la Taifa la Mashujaa Charles Wambai amesema Bustani ya Mashujaa itajengwa Marsabit.
มุมมอง 682 หลายเดือนก่อน
MIALE YA BIFTU Saturday , June 6, 2024 7PM. Sasa Bustani ya Mashujaa itajengwa katika eneo la ajali ya ndege iliyotokea miaka 18 iliyopita na kupelekea vifo vya watu 14 katika Mlima wa Kofia Mbaya ili kuwakumbuka mashujaa wa amani waliopoteza maisha yao wakitafuta amani Marsabit. Haya yamesemwa kwa pamoja na Baraza la Taifa la Mashujaa, National Heroes Council na kamati ya bunge la kitaifa inay...
Busia Women Rep Bi Omanyo: Nitawasilisha mswada bungeni kusaidia familia za mashujaa wanapofariki.
มุมมอง 992 หลายเดือนก่อน
Busia Women Rep Bi Omanyo: Nitawasilisha mswada bungeni kusaidia familia za mashujaa wanapofariki.
Bi. Naomi Waqo: Bustani ya Kumbukumbu Mlima Kofia Mbaya ni heshima stahiki kwa waliofariki.
มุมมอง 8712 หลายเดือนก่อน
Bi. Naomi Waqo: Bustani ya Kumbukumbu Mlima Kofia Mbaya ni heshima stahiki kwa waliofariki.
"Tunataka ekari 5 pajengwe Bustani ya Kumbukumbu"- Mkewe marehemu Abdi Tarri Sasura.
มุมมอง 3K2 หลายเดือนก่อน
"Tunataka ekari 5 pajengwe Bustani ya Kumbukumbu"- Mkewe marehemu Abdi Tarri Sasura.
Mzee Guyo Ungaye - Viongozi wachochezi watasambaratisha kaunti.
มุมมอง 2.3K3 หลายเดือนก่อน
Mzee Guyo Ungaye - Viongozi wachochezi watasambaratisha kaunti.
Pius Wario : Ulifuja mabilioni ya Badasa Dam, tutafufua hiyo file, Chute aambiwa.
มุมมอง 2873 หลายเดือนก่อน
Pius Wario : Ulifuja mabilioni ya Badasa Dam, tutafufua hiyo file, Chute aambiwa.
Yatani:Acha uchochezi Chute..tunaweza fungua faili yako, wewe sio mweupe.
มุมมอง 1.3K3 หลายเดือนก่อน
Yatani:Acha uchochezi Chute..tunaweza fungua faili yako, wewe sio mweupe.
"Tumekuwa na amani kauti yetu, usipoziba ufa utajenga ukuta": Gavana Mohamud Ali.
มุมมอง 5773 หลายเดือนก่อน
"Tumekuwa na amani kauti yetu, usipoziba ufa utajenga ukuta": Gavana Mohamud Ali.
UZINDUZI WA WODI YA WANAUME HOSPITALI YA LAISAMIS ASANTE KWA LTWP KIMA CHA 15.3M.
มุมมอง 283 หลายเดือนก่อน
UZINDUZI WA WODI YA WANAUME HOSPITALI YA LAISAMIS ASANTE KWA LTWP KIMA CHA 15.3M.
Gavana Ali amefanya mengi; Marsabit County Scholarship Fund, KMTC-MBT, Sololo Level 4 na zaidi.
มุมมอง 9773 หลายเดือนก่อน
Gavana Ali amefanya mengi; Marsabit County Scholarship Fund, KMTC-MBT, Sololo Level 4 na zaidi.
Gavana Mohamud Ali akihutubia umati mkubwa nje ya makao makuu ya EACC ukanda huu mjini Isiolo.
มุมมอง 7084 หลายเดือนก่อน
Gavana Mohamud Ali akihutubia umati mkubwa nje ya makao makuu ya EACC ukanda huu mjini Isiolo.
Ni fedheha kubwa kwa EACC kuhanngaisha familia yangu; Gavana Mohamud Ali wa Marsabit.
มุมมอง 1834 หลายเดือนก่อน
Ni fedheha kubwa kwa EACC kuhanngaisha familia yangu; Gavana Mohamud Ali wa Marsabit.
KAULI ZA WASIKILIZAJI BAADA YA MAHOJIANO NA RASHID KOTOTE MGOMBEA UBUNGE MOYALE 2027.
มุมมอง 2264 หลายเดือนก่อน
KAULI ZA WASIKILIZAJI BAADA YA MAHOJIANO NA RASHID KOTOTE MGOMBEA UBUNGE MOYALE 2027.
RASHID KOTOTE MGOMBEA UBUNGE MOYALE 2027 AWASUTA WAKOSOAJI WA GAVANA MOHAMUD ALI.
มุมมอง 2.3K4 หลายเดือนก่อน
RASHID KOTOTE MGOMBEA UBUNGE MOYALE 2027 AWASUTA WAKOSOAJI WA GAVANA MOHAMUD ALI.
Chachu Tadicha amesaliti Warjida - Borana Council Of Elders.
มุมมอง 6108 หลายเดือนก่อน
Chachu Tadicha amesaliti Warjida - Borana Council Of Elders.
Raso Unfit To Contest For Marsabit Gubernatorial Seat, Declares Section Of Borana Council Of Elders.
มุมมอง 1.1K8 หลายเดือนก่อน
Raso Unfit To Contest For Marsabit Gubernatorial Seat, Declares Section Of Borana Council Of Elders.

ความคิดเห็น

  • @KhalidDawa-sc3dk
    @KhalidDawa-sc3dk 24 วันที่ผ่านมา

    Sare garacha😅

  • @adanabdi3416
    @adanabdi3416 2 หลายเดือนก่อน

    As mbt county people we never got such a leader like Dr.Bonaya,Abdi Sasura and Dr Guracha ...We still feel for them

  • @hassanboru
    @hassanboru 2 หลายเดือนก่อน

    Tuweze pata leader kama Hawa tena😢

  • @hassanboru
    @hassanboru 2 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana Kila Moja wetu njia ni hiyo tu ya Allah 🤲 wape jannatul fardoz 🤲

  • @KARUDALACHADIDO
    @KARUDALACHADIDO 2 หลายเดือนก่อน

    Sam ,kesho nigongee ngoma ya kitu sewer ft frank mteule, wanasiasa.#reject finance bill.

  • @KARUDALACHADIDO
    @KARUDALACHADIDO 2 หลายเดือนก่อน

    Number

  • @JamalHirphasa
    @JamalHirphasa 2 หลายเดือนก่อน

    April 10 Monday 2006

  • @lulkul7784
    @lulkul7784 2 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭 poleni sana

  • @hassanadano5019
    @hassanadano5019 2 หลายเดือนก่อน

    What goes around......

  • @irabayeduba8926
    @irabayeduba8926 3 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana, our brothers and sisters MBT all.❤❤

  • @jamaljara149
    @jamaljara149 3 หลายเดือนก่อน

    Your are project of Abshiro, who trust you? Senior thieve everybody knows you.

  • @PeterBoru-sq3ve
    @PeterBoru-sq3ve 3 หลายเดือนก่อน

    Ww nayo wacha kuropoka

  • @kiyahalakhe2326
    @kiyahalakhe2326 3 หลายเดือนก่อน

    Mengi as in? fafanua kwa mfano mradi unayojua imekamilika kwa muda ya utawala wake, ama uyataje mradi unayoendelea kukamilika bila kukasirika,

  • @KanaArero-lb7wt
    @KanaArero-lb7wt 3 หลายเดือนก่อน

    Kotote❤❤❤juuuu

  • @golicharoba1016
    @golicharoba1016 3 หลายเดือนก่อน

    Ordha never guyo waqo nonstop dont disturb yourself .

  • @amanuelwariyo1935
    @amanuelwariyo1935 4 หลายเดือนก่อน

    Dhowartuu!

  • @BabaRash-yf1sc
    @BabaRash-yf1sc 4 หลายเดือนก่อน

    Kwani gavanor kesaan propheti? RABB KARAYU BARCHUMA CHUUFAA ISSAN DHOOWIN,YA BORAN RAKIFTANI

  • @BabaRash-yf1sc
    @BabaRash-yf1sc 4 หลายเดือนก่อน

    Abshiron duraa Boran hinawalani? Saree ufuuma duut. R.kotote we know you well, you are just after stomach.amm agg atiin shaid ufiit baateen laal, atiin amm namm faarsuut jirta? Warr boran gargar baasu! Abshiro Dr Gureen mchango itii toochee niitii hinfuusifne? Atiin 2027 barchuma jikoni Abshiro egaadhu. Sirgoo

  • @BabaRash-yf1sc
    @BabaRash-yf1sc 4 หลายเดือนก่อน

    Offtee sii boran malle nuhu namichi sidam diimaa,taak enn ufiraa dhoowartan? Hatu

  • @BabaRash-yf1sc
    @BabaRash-yf1sc 4 หลายเดือนก่อน

    Upuzi ya team kaloo, Dr Guyo anafanya kazi yake.this is not time of politics.hakuna mm mwenyewe ni AJEEJII sina habari ya iyo korr yenu ya MBT. Kotote wacha history ya jikoni ya ABZIROO. Qaee karayu chuufaat itii keenee? Qaeen siba qaaee dayu basootiniti bekh boroka. Dayyuu BAASUU maan iraa qubqabaadhan. Upuzi

  • @bubichamohammed2553
    @bubichamohammed2553 8 หลายเดือนก่อน

    Nyaatu waalt Yatee maan asoft

  • @user-dz3rv3yy6c
    @user-dz3rv3yy6c 8 หลายเดือนก่อน

    What bad school 😢😢

  • @salim9123
    @salim9123 11 หลายเดือนก่อน

    Ukweli kabisa may God bless you sir.

  • @adanhassan4750
    @adanhassan4750 11 หลายเดือนก่อน

    ukur ako Tiyar 2027 tutafanya aje😂😂

  • @abdullaiadan4366
    @abdullaiadan4366 ปีที่แล้ว

    We know dat Chute is a Super Senoter...who are you tebu Jitabulishee kwanzaa

  • @abdullaiadan4366
    @abdullaiadan4366 ปีที่แล้ว

    Who are yuh to tell As about our Senoter Shem on You.! don't cheat our people..Conman wewh

  • @alidida-zi6se
    @alidida-zi6se ปีที่แล้ว

    Tell your grandmother

  • @jirmomohamed7595
    @jirmomohamed7595 ปีที่แล้ว

    Go and tell your mother

  • @guyoadanobuna5688
    @guyoadanobuna5688 ปีที่แล้ว

    Hapo n wapi,,,,,thanks to God

  • @Time12345A
    @Time12345A 2 ปีที่แล้ว

    I am Borana but I would like to say Well done for your efforts Honoraboule Chachu Ganya if it wasn't for the hate of the former C.S you would have been the governor of Marsabit County.... Allah SWT will grant you that seat one day In sha Allah. Peace to Borana and Gabra people 🙏 ✨ ❤

  • @g.gdadachachannel
    @g.gdadachachannel 2 ปีที่แล้ว

    Be blessed mheshimiwa,tunakupenda sana.

  • @patriotkenya
    @patriotkenya 2 ปีที่แล้ว

    Check volume on ur videos. It's not audible

  • @kitishbish4594
    @kitishbish4594 2 ปีที่แล้ว

    Mca wetu mama miradi, muchude and moha..big up for your solidarity....sisi hatupangingwi... There was no endorsement whatsoever...period!?!

  • @leiladaizy7412
    @leiladaizy7412 2 ปีที่แล้ว

    Thanks to Garre for supporting Abshiro tano tena ishaallah

  • @leiladaizy7412
    @leiladaizy7412 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah governor kayo kumi bila break inshaallah

  • @safiajaldesa6989
    @safiajaldesa6989 2 ปีที่แล้ว

    Tosha

  • @jameskagweria6803
    @jameskagweria6803 2 ปีที่แล้ว

    waaa tafadhali msijaribu.................................tulihama huko juu yake

  • @maalimhassanali2327
    @maalimhassanali2327 2 ปีที่แล้ว

    Garii tuko na sele na chachu

  • @saidowali8902
    @saidowali8902 2 ปีที่แล้ว

    Tano tena 💪

  • @sarahadesh9406
    @sarahadesh9406 2 ปีที่แล้ว

    Wacha kuropoka jack toshaa

  • @mrunitedthereds7080
    @mrunitedthereds7080 2 ปีที่แล้ว

    Useless

  • @hassanrashid5770
    @hassanrashid5770 2 ปีที่แล้ว

    Maashalah

  • @darchedaino7031
    @darchedaino7031 2 ปีที่แล้ว

    Am still amazed and astonished by your very words... "Mimi ni mwana siasa mkongwe''... Stop chest thumping and spreading hatred to another level. Recognize your leaders first then tell us your achievements. You are not speaking on my behalf but on behalf of your big stomach. Come politically for politics is collective positive development not individual agenda

  • @abrahammamo4698
    @abrahammamo4698 2 ปีที่แล้ว

    Fayo for ten yrs ulikuwa kwa county broo ulitusadia nn ka jamii ya burji.....always opposing why why

  • @domcya0018
    @domcya0018 2 ปีที่แล้ว

    Borokas.....

  • @domcya0018
    @domcya0018 2 ปีที่แล้ว

    Project 🤣🤣🤣the traitors

  • @adanalaha8169
    @adanalaha8169 2 ปีที่แล้ว

    ongea kiborana watu awajasikia

  • @koscocosco5309
    @koscocosco5309 2 ปีที่แล้ว

    This guy disgusts me... I don't know how I voted for him last time.

  • @g.gdadachachannel
    @g.gdadachachannel 2 ปีที่แล้ว

    𝑲𝒘𝒂𝒏𝒊 𝒖𝒍𝒊𝒌𝒖𝒘𝒂 𝒍𝒐𝒏𝒅𝒐𝒏?

  • @husseinkumbi9083
    @husseinkumbi9083 2 ปีที่แล้ว

    Gabra Borana wooma hirra inqabdhu