MightyLumber69
MightyLumber69
  • 6
  • 1 626 238
Majonzi Moyoni (Zahoro Bangwe)
Mambo ya Zahoro Bangwe hayooo. Huyu kijana hatari sana kwa ukun'gutaji solo TZ nzima....yaani anatisha.
มุมมอง: 33 923

วีดีโอ

Ndoa Ya Manyanyaso (Edo Sanga)Ndoa Ya Manyanyaso (Edo Sanga)
Ndoa Ya Manyanyaso (Edo Sanga)
มุมมอง 47K16 ปีที่แล้ว
Kijana Edo Sanga akiigiza sauti ya TX (R.I.P. ) Moshi katika huu wimbo wake.
Baba Gift (Joseph Maina...R.I.P.)Baba Gift (Joseph Maina...R.I.P.)
Baba Gift (Joseph Maina...R.I.P.)
มุมมอง 26K16 ปีที่แล้ว
Utunzi wa Joseph Maina. Msondo, kazeni buti wazee wa kazi! Huu ni wimbo wa mwisho wa marehemu Joseph Maina aliyefariki leo hii 17/02/2009. Mungu amlaze mahala pema peponi, amin.
Kaza MoyoKaza Moyo
Kaza Moyo
มุมมอง 205K17 ปีที่แล้ว
Mambo ya Msondo hayoo jamani.
Nimebadilika Nini?Nimebadilika Nini?
Nimebadilika Nini?
มุมมอง 40K17 ปีที่แล้ว
The title translates in English as "How did I Change?" The Composer & Singer Karama is questioning his Ex-girl friend why is she still following him around while it's her who led him to leaving her, so how or what has he changed?
Orch: Msondo Ngoma - "Mtanikumbuka."Orch: Msondo Ngoma - "Mtanikumbuka."
Orch: Msondo Ngoma - "Mtanikumbuka."
มุมมอง 1.3M17 ปีที่แล้ว
This is Tanzania's equivalent of Congo's Le T.P. O.K. Jazz or Zaiko Langa Langa. This band has been around since 1964, with the current leader Maalim Gurumo, being the only original member left.

ความคิดเห็น

  • @ProsperMdindile
    @ProsperMdindile 21 วันที่ผ่านมา

  • @MacadamMarcus-y1x
    @MacadamMarcus-y1x 2 หลายเดือนก่อน

    Young Matthew Miller Linda Jackson Daniel

  • @ms123ru
    @ms123ru 2 หลายเดือนก่อน

    2024

  • @danielnjoroge5383
    @danielnjoroge5383 5 หลายเดือนก่อน

    Wapi likes za Mzee Gurumo aka Kamanda

  • @JohnChatila-z7c
    @JohnChatila-z7c 6 หลายเดือนก่อน

    Nitakaza moyo tena 2024 gonga like kama bado upo na huu wimbo❤❤

  • @AllyKanyaki
    @AllyKanyaki 6 หลายเดือนก่อน

    Hizi ndio ngoma

  • @magrethngoloko
    @magrethngoloko 7 หลายเดือนก่อน

    Yaani kitu kimetulia ni mziki wa maana

  • @magrethngoloko
    @magrethngoloko 7 หลายเดือนก่อน

    Na nikifa watanikumbuka kupitiliza

  • @magrethngoloko
    @magrethngoloko 7 หลายเดือนก่อน

    Aha maneno ayo yanagusa familia

  • @banisaid
    @banisaid 7 หลายเดือนก่อน

    Hii ngoma napenda kusikiliza sanaa ina funzo kubwa

  • @EmmanuelStepho
    @EmmanuelStepho 9 หลายเดือนก่อน

    Nakweri tuta kuku mbuka

  • @salumchapa375
    @salumchapa375 10 หลายเดือนก่อน

    2024 nimekua wakwanza kutazama ujumbe mzr sana

  • @SingiloPamba-fi8wi
    @SingiloPamba-fi8wi 10 หลายเดือนก่อน

    Maneno ya ottu

  • @FestoJackobo-gm4ut
    @FestoJackobo-gm4ut 11 หลายเดือนก่อน

    Ulale salama baba

  • @MesunaciprianosumailCiprianosu
    @MesunaciprianosumailCiprianosu ปีที่แล้ว

    Umeipenda hiyo

  • @dumbadunia1655
    @dumbadunia1655 ปีที่แล้ว

    26/11/2023

  • @athmanimkangara9290
    @athmanimkangara9290 ปีที่แล้ว

    2023 R.IP Tx

  • @solomongimbagu
    @solomongimbagu ปีที่แล้ว

    Ubinadamu kazi

  • @maxlupapa4554
    @maxlupapa4554 ปีที่แล้ว

    Kila ninasikiliza wimbo huu machozi yananitoka unanidusa kila pande rest in peace moshi na wengine

  • @suleimanalihaji9386
    @suleimanalihaji9386 ปีที่แล้ว

    Masikini Maina katunga wimbo ila hakuwahi kurekodi

  • @FadhiliMiraji
    @FadhiliMiraji ปีที่แล้ว

    Nazipenda san

  • @kassimlugome7041
    @kassimlugome7041 ปีที่แล้ว

    Hapo mtoto atumwidukani,

  • @FuhuzaMaganga-lu3cl
    @FuhuzaMaganga-lu3cl ปีที่แล้ว

    Nawakubali sana msondo ngoma

  • @graysontogo4251
    @graysontogo4251 ปีที่แล้ว

    Here 2023

  • @hijauwesu7661
    @hijauwesu7661 ปีที่แล้ว

    If your here 😊2023

  • @strattonkinabo5561
    @strattonkinabo5561 ปีที่แล้ว

    000000

  • @sangomamourice3539
    @sangomamourice3539 ปีที่แล้ว

    Asante kwa wakat mzurii

  • @shaabankuhanda2679
    @shaabankuhanda2679 ปีที่แล้ว

    Nyimbo zenye ujumbe mzuri usiochuja sio nyimbo Ina hit siku 14

  • @mossessaanane7709
    @mossessaanane7709 ปีที่แล้ว

    Nyimbo za huyu mnyatuzu Zina mafundisho

  • @sarimukatongo8883
    @sarimukatongo8883 ปีที่แล้ว

    Yakale ni Dhahabi

  • @maimapeter6490
    @maimapeter6490 ปีที่แล้ว

    Oh my Goodness! I've been yarning for this music. Asaaante ssana.

  • @mpingashalua1166
    @mpingashalua1166 2 ปีที่แล้ว

    Ni ukweli kwa wale waliojitoa kusaidia malipo yake huwa masimango na maneno makali miziki huu ni shule ya kutosha .

  • @jacksonchristopher6310
    @jacksonchristopher6310 2 ปีที่แล้ว

    Wakati tunakua bhana ulikua noma sana

  • @josephatamos3716
    @josephatamos3716 2 ปีที่แล้ว

    Nakubali sana

  • @yusuphabdallah2890
    @yusuphabdallah2890 2 ปีที่แล้ว

    Nakumbuka nyumban

  • @alinanuswekabungo8628
    @alinanuswekabungo8628 2 ปีที่แล้ว

    Mambo ya Msondo Ngoma

  • @dontusethis481
    @dontusethis481 2 ปีที่แล้ว

    th-cam.com/video/YTbmx3yepCk/w-d-xo.html Simulizi y’a maisha y’a Gilbert Amoni Aliyeishi bila kulala mwezi 1 na kupelekwa Kuzimu akiwa Hai.

  • @gregorypungwe6838
    @gregorypungwe6838 2 ปีที่แล้ว

    Nyimbo nzuri naitazama 23.9.2022

  • @josephatmakuka4860
    @josephatmakuka4860 2 ปีที่แล้ว

    Hakika Tx mosh William mwana kishiwa.

  • @karimumtalubukwapolenamsib1393
    @karimumtalubukwapolenamsib1393 2 ปีที่แล้ว

    Izi ndo nyimbo za zaman

  • @silaslubisu6921
    @silaslubisu6921 2 ปีที่แล้ว

    Momba tx Moshi ngurumo na said mabela tutawakumbuka

  • @paulex2in1
    @paulex2in1 2 ปีที่แล้ว

    Huu wimbo hauna mfano ningeweza kupewa ridhaa ninge fanya remix

  • @martinodondi4378
    @martinodondi4378 2 ปีที่แล้ว

    I love this band so much, are some old band members still there? and are they still performing.

  • @martinodondi4378
    @martinodondi4378 2 ปีที่แล้ว

    That accident robbed the music world of great talents, RIP Tx William Moshi...

  • @patrickbulugu772
    @patrickbulugu772 2 ปีที่แล้ว

    Keep on resting kamanda Joseph Maina we still remember you.

  • @dorismayemba7457
    @dorismayemba7457 2 ปีที่แล้ว

    Wimbo huu hauchuji.

  • @jothamkibona2919
    @jothamkibona2919 2 ปีที่แล้ว

    2022 naitazama hii gonga like

  • @benlidigu5161
    @benlidigu5161 2 ปีที่แล้ว

    Powerful vocalists, powerful instrumentation and powerful Saxophonist and trumpets.

  • @astonkuger7033
    @astonkuger7033 2 ปีที่แล้ว

    2022

  • @bethabetha5269
    @bethabetha5269 2 ปีที่แล้ว

    😂